Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keani watu wakukumbushana Corona ipo wewe unapungukiwa nini?mbona kila siku mnaambiwa.naweni mikono,tumia sanitizer n.k.
Mnataka mfanyiwe nini?.
Mmepewa Uhuru wa kuishi mtakavyo watanza mbona namshukuru?
Au mnataka JWTZ waingie mitaani kuangalia akina Nani wamevaa barakoa?
Nawaonea huruma MTAKUJA kuteseka sana
How millions deaths have occurred so far?HIV kila siku kampeni,dawa na sehemu za vipimo zipo kibao,the same effort ingekuwa imewekwa kwa corona millions of people's lives could be saved.
Keani watu wakukumbushana Corona ipo wewe unapungukiwa nini?
Partial lockdown huh?1.Ningehakikisha watu wanakua na awareness kuwa ugonjwa huu upo.
2.At least partially lockdown, at least watu wa mkoa mmoja wasiende mkoa mwingine mpaka hali itakapotengamaa.
3.Ningefunga mipaka au ningeweka strict restrictions kwenye hio mipaka
Ningepiga lockdown kuanzia saa sita usiku hadi kumi asubuhi, full kunawa mikono kwa sabuni ya mche, update Kila miezi mitatu, no kifo, ni kupona tu, wakubwa wangeshusha pressure, vinginevyo sisi ndo tu tutapigwa lock up na jumuia ya kimataifa.Wewe ungekuwa Rais wa JMT ungechukua hatua gani?
Unakaa mitaa ipi nisipite kabisa mitaa yenuHuku mtaani hali mbaya sana ndugu zangu.. Watu wanakohoa sana na mafua makali.tuchukue tahadhari
Mkuu mie nna rafiki yangu anaitwa Nancy Mama yake mdogo amefariki kwa Covid kabisaa na alikua isolated from the family toka madaktari wamshtukie. Then kuna rafiki yangu anaitwa Witness pia Baba yake its confirmed kabisa ila anatibiwa nyumbani ''amelazwa'' wiki zimepita kma 4 sasa.Wameamua kupitia mlango wa uani though wanaweza kufanya hivo direct.Inawezekana vipi tubishane uwepo wa Ugonjwa HATARI wakati matokeo yake ilitakiwa yaseme yenyewe?
Mbona hamuombi takwimu za malaria wakati malaria ndio inaongoza kwa vifo duniani..au kwenye Corona ndio kuna biashara inayolipa zaidi...mnafirikia sana matumbo yenu kuliko uhalisia
Nani amekwambia takwimu za Corona hazipo mahospitalini...tatizo huwez kuona neno corona, utaona matatizo yanayoendana na Hilo...kwa hiyo umedanganywa kuwa hakuna takwimu jomba...sema hakuna haja ya kutangaza..Ni kwanini itangazwe..mbona huulizi malaria inayoua kuliko ugonjwa wowote kuwa haitangazwi...au wewe takwimu zake unazipataga wapi jomba..msitudanganye na propaganda zenu...hamtuambii chochote
Kwanini unafikiri maambukizi pengine ni madogo sana Tz hali ya kuwa kuna kila sababu ya kuwa na maambukizi kuzidi hata majirani zetu? Maana kama majirani zetu ugonjwa unawasumbua na ndio wanazingatia tahadhari za kujikinga na huo ugonjwa basi ni akili ya kawaida tu kujua sie tusiozingatia tahadhari zozote za kujikinga tutakuwa na maambukizi makubwa.Mkuu mie nna rafiki yangu anaitwa Nancy Mama yake mdogo amefariki kwa Covid kabisaa na alikua isolated from the family toka madaktari wamshtukie. Then kuna rafiki yangu anaitwa Witness pia Baba yake its confirmed kabisa ila anatibiwa nyumbani ''amelazwa'' wiki zimepita kma 4 sasa.
Ambacho ungesema ni kwamba maambukizi yako ila pengine ni madogo sana but sio kupinga kuwa hakuna Covid hapa TZ wakati mipaka hatujafunga its illogical.
Ni hayo tu
How millions deaths have occurred so far?
Kauli za waliozibiwa mirija ya madili, upigaji, uzembe kazini, uhujumu uchumi, safari za Dubai & London, wizi na rushwa na ubadhirifu wa mali za umma. Tunawajua sana, na hala hamtupatiii taabu. Tulieni hivyo2 tuijenge nchi, sawa!???