Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuchukue hatua binafsi. Tuwaelimishe ndugu, marafiki, jamaa zetu.
Binadamu ku-adapt!, ushahidi ni kwamba hadi leo bado tupo, upo duniani. Despite majanga kibao.
Ubinafsi! maoni yako. Mimi nilishaipata hiyo Corona. Halafu hata sikujua, sikuumwa. Walipo angalia antibodies wakaona nilishaipata.Hivi na waliokwisha tangulia mbele za haki kwa ugonjwa huu na familia zao nao ulichoandika kinawahusu?
Au kwa kuwa tu wewe haujakusibu basi na ndiyo sasa dunia nzima iko salama na haipo haja ya takwimu sahihi?
Dalili za ubinafsi uliopitiliza!
Mbona mawazo duni namna hiyo jombi?
Lakini kuna kukosa kwingine ni kwa kipumbavu! Yule mzee katona sisi kama hamnazo ndiyo maana anafanya vitu bila kuzingatia ushauri wa wengine! Anajifanya yeye eti genius!Nobody is perfect, kila mtu ana madhaifu yake. Hata wewe ungekuwa Rais kuna sehemu ungekosea.
Ni Rais yupi alikuwa perfect kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete?Lakini kuna kukosa kwingine ni kwa kipumbavu! Yule mzee katona sisi kama hamnazo ndiyo maana anafanya vitu bila kuzingatia ushauri wa wengine! Anajifanya yeye eti genius!
Soon or later wote tutangulia mbele ya haki. Kwa sababu moja au nyingine.Ushahidi wa kuwa bado tupo inawahusu pia wale wote waliotangulizwa mbele za haki na ugonjwa huu wao na jamaa zao wa karibu?
Wale wastaafu wakiwamo wale wabunge na hata wasio kuwa na majina ya kufanya habari kubwa wanakuona jombi.
Tutus lako limefeli sana ingawa lenyewe linajiona eti limewazidi wengine!Ni Rais yupi alikuwa perfect kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete?
Sio lazima tuwe na lockdown ila tukivaa barakoa, kutopeana mikono (makanisani, misikitini na kwingine), kuosha mikono na maji safi, kusanitize na kujipa nafasi (social distancing) tutapunguza maambukizi kwa kiwango kikubwa sana..How do you expect any prosperity at all,any progress where all people are dead with hunger. Maskini wa kutupwa. Kisa wamefungiwa kufanya biashara halali.
Ubinafsi! maoni yako. Mimi nilishaipata hiyo Corona. Halafu hata sikujua, sikuumwa. Walipo angalia antibodies wakaona nilishaipata.
Hi hivi kama una magonjwa mengine, huu ugonjwa unaweza kukuua. Otherwise you are more likely to survive.
Kwani we unaamini kuna South African Covid ? 😂😂😂, acheni kulazimisha biashara za chanjo wakati tushawaambia hatuna Corona, mbona wabishi hivi nyie watu?Did we have South African Covid at the beginning?
Kuna variant ya covid ambayo imeanzia South Africa.. Leo wanamzika aliyekuwa Waziri katika ofisi ya Raisi, Jackson Mthembu, aliyefariki kwa corona.. Jana wametangaza mwana mziki maarufu wa zamani kidogo, Jonas Geangwa, amefariki kwa corona..Kwani we unaamini kuna South African Covid ? [emoji23][emoji23][emoji23], acheni kulazimisha biashara za chanjo wakati tushawaambia hatuna Corona, mbona wabishi hivi nyie watu?
Wameamua kupitia mlango wa uani though wanaweza kufanya hivo direct.Inawezekana vipi tubishane uwepo wa Ugonjwa HATARI wakati matokeo yake ilitakiwa yaseme yenyewe?Propaganda ili iweje? Kwani akitaka propaganda si anaweza wachoma sindano watu hta 100 zenye virusi vya Covid.... mtazuiaje? Wkt chanjo kibao wanawapa bure? Ndio waje kuhangaika na maneno matupu?
Hao mabeberu wakiamua kweli kufanya fitna kma anavyofanyiwa China na Iran unadhani TZ tutawazuia kwa lipi?
Nikuulize, idadi ya waliokuwa wanakufa kwa magonjwa ya upumuaji kwa mwaka Kabla ya Corona, na waliokufa kwa magonjwa ya upumuaji baada ya Corona ndani ya mwaka mmoja, imeongezeka? Kutoka ngapi hadi ngapi? Mbona mnachotwa akili kirahisi sana? Tumeshasema hizo chanjo hatununui, kwanza hiyo pesa hatuna na Corona hatuna pia , ikiwauma sana njooni mtuambukize kwa makusudiKuna variant ya covid ambayo imeanzia South Africa.. Leo wanamzika aliyekuwa Waziri katika ofisi ya Raisi, Jackson Mthembu, aliyefariki kwa corona.. Jana wametangaza mwana mziki maarufu wa zamani kidogo, Jonas Geangwa, amefariki kwa corona..
Kifupi, ipo variant ya covid iliyoanzia Sauzi na inaua.. Jana wamefariki 430+ kutokana na covid..
Aliwahi kusema jamaa yangu mmoja, njia wanayotumia watafiti sasa ni kuangalia idadi ya waliokufa kipindi hiki ndani ya miaka mitano, project idadi tegemewa ya watakaokufa na kulinganisha na wanaokufa sasa.. Utapata idadi ya wanaokufa kwa corona (pneumonia, TB, alishindwa kupumua etc)..
HIV kila siku kampeni,dawa na sehemu za vipimo zipo kibao,the same effort ingekuwa imewekwa kwa corona millions of people's lives could be saved.
I am not talking about perfectlion even Baba wa Taifa was not perfect, but this guy is a DISASTER and DISGRACEFUL for the country as he is unfit to lead anything under the sun.
Tunaelewa serikali inakwepa kununua chanjo maana hesabu kamili ni: idadi ya watu katika taifa (Tz tuna kama mil 60) * cost ya dawa (tu assume ni $100) = $bil 60 ndio inabidi itumike kununua chanjo.. Hilo sio lengo la tunaosema serikali itangaze uwepo wa korona. Narudia, sio lengo letu.Nikuulize, idadi ya waliokuwa wanakufa kwa magonjwa ya upumuaji kwa mwaka Kabla ya Corona, na waliokufa kwa magonjwa ya upumuaji baada ya Corona ndani ya mwaka mmoja, imeongezeka? Kutoka ngapi hadi ngapi? Mbona mnachotwa akili kirahisi sana? Tumeshasema hizo chanjo hatununui, kwanza hiyo pesa hatuna na Corona hatuna pia , ikiwauma sana njooni mtuambukize kwa makusudi