Watu wanakufa kimyakimya..huruma Sana.
 
Keani watu wakukumbushana Corona ipo wewe unapungukiwa nini?
 
Tuache unafiki hii korona ni kagongwa kadogo tu.

Tusipende kucheza miziki ya mabeberu ya kichawichawi ili baadae watuchanje chale
 
HIV kila siku kampeni,dawa na sehemu za vipimo zipo kibao,the same effort ingekuwa imewekwa kwa corona millions of people's lives could be saved.
How millions deaths have occurred so far?
 
Na kwanini mkumbushane kwani Kuna mtu asiyejua kuwa Kuna Corona?
Unaumwa wahi hospital.
Una mgonjwa mpelekee hospital.
Lakini hizi kelele za kushindana kuwa CORONA IPO AU HAMNA
KIUFUPI HAZISAIDII.
maana magufuli Hana Cha kupoteza.
Una taarifa za mgonjwa wa corona peleka hospital.
Mbona mnafanya vitu viwe vigumu?
Keani watu wakukumbushana Corona ipo wewe unapungukiwa nini?
 
1.Ningehakikisha watu wanakua na awareness kuwa ugonjwa huu upo.

2.At least partially lockdown, at least watu wa mkoa mmoja wasiende mkoa mwingine mpaka hali itakapotengamaa.

3.Ningefunga mipaka au ningeweka strict restrictions kwenye hio mipaka
Partial lockdown huh?

Ndo analysis mnazofanya mkikaa huko magorofani kwenye mi-laptop yenu?yaan ufungie mkoa na mipaka biashara zisifanyikethen hizo familia za watu,utazilisha wewe?Au kisa hata ukikaa home kwenye laptop yako na kuandika andika vi-report huku ukiendelea kulipwa unafikiri watu wote ni hivyo?
 
Wewe ungekuwa Rais wa JMT ungechukua hatua gani?
Ningepiga lockdown kuanzia saa sita usiku hadi kumi asubuhi, full kunawa mikono kwa sabuni ya mche, update Kila miezi mitatu, no kifo, ni kupona tu, wakubwa wangeshusha pressure, vinginevyo sisi ndo tu tutapigwa lock up na jumuia ya kimataifa.
 
Hatuna corona...
kama ipo basi ni kwa hao wanaosafiri safiri kwenda nchi zenye corona...




Cc: mahondaw
 
Wameamua kupitia mlango wa uani though wanaweza kufanya hivo direct.Inawezekana vipi tubishane uwepo wa Ugonjwa HATARI wakati matokeo yake ilitakiwa yaseme yenyewe?
Mkuu mie nna rafiki yangu anaitwa Nancy Mama yake mdogo amefariki kwa Covid kabisaa na alikua isolated from the family toka madaktari wamshtukie. Then kuna rafiki yangu anaitwa Witness pia Baba yake its confirmed kabisa ila anatibiwa nyumbani ''amelazwa'' wiki zimepita kma 4 sasa.

Ambacho ungesema ni kwamba maambukizi yako ila pengine ni madogo sana but sio kupinga kuwa hakuna Covid hapa TZ wakati mipaka hatujafunga its illogical.

Ni hayo tu
 
Mbona hamuombi takwimu za malaria wakati malaria ndio inaongoza kwa vifo duniani..au kwenye Corona ndio kuna biashara inayolipa zaidi...mnafirikia sana matumbo yenu kuliko uhalisia

Mbona mnatulazimisha tuombe za malaria wakati waombaji sisi tunaomba za corona? Kwani kwenye corona ni kipi ambacho mnataka sana kukificha?

Kwani za corona zina usiri gani? Au hizi za corona zina wanyima sana biashara ambayo ndiyo inayowalipa zaidi nyinyi?

Kwa hakika anayeendelea kukomaa na nyongeza za makodi ndani ya dhahama hili anafikiria zaidi kwa matumbo yake kuliko uhalisia. Huyo atakuwa si mwingine zaidi ya yule mzee baba na vijibwa vyake kama wewe jombi.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 

Nani alikwambia takwimu za corona zipo?

Hujui aliyepiga marufuku ukusanywaji wa takwimu za corona kesha sema corona haipo na kuwa maombi ya siku 3 yalimaliza kazi?

Kama hujui, kwa mujibu wa mzuia takwimu za corona, hizo ni nyara za serikali.

Itayafikirisha vipi mijamaa ya kile chama chenyewe kama yule bwana hayajamfika bado?

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kwanini unafikiri maambukizi pengine ni madogo sana Tz hali ya kuwa kuna kila sababu ya kuwa na maambukizi kuzidi hata majirani zetu? Maana kama majirani zetu ugonjwa unawasumbua na ndio wanazingatia tahadhari za kujikinga na huo ugonjwa basi ni akili ya kawaida tu kujua sie tusiozingatia tahadhari zozote za kujikinga tutakuwa na maambukizi makubwa.
 
Wapumbavu kama wewe ZWAZWA ni mzigo mkubwa nchini.


Kauli za waliozibiwa mirija ya madili, upigaji, uzembe kazini, uhujumu uchumi, safari za Dubai & London, wizi na rushwa na ubadhirifu wa mali za umma. Tunawajua sana, na hala hamtupatiii taabu. Tulieni hivyo2 tuijenge nchi, sawa!???
 
Misuli nilikuwa sijakuona siku nyingi. Kwa misuli nakuaminia. Akili kama zipo ni zlle za nywele. Au zile za akili isiyo akili. Kwako yatosha nichukue tahadhari: Don't argue with a fool

Pierre Nkurunziza kafa kwa corona hivi hivi anajiona maskini. Pamoja na kwamba mkewe alikuwa amelazwa Kenya kwa ugonjwa huo, hakuamini kuwa kuna corona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…