Jamani tunapaswa kuwa makini sana na haya mafua, kuna vitu vingi hatuvielewi! Hebu someni hapa, nimekutana nayo njiani!
Kwani lazima utujulishe! Sisi siyo watoto wenu, tutajilinda wenyewe kwani maisha yetu ni jukumu letu.
 
Za Kuambiwa changanya na zako, Wenzenu ventilator ziko mpka jikon we jifanya 5G radiation
 
Kwani lazima utujulishe! Sisi siyo watoto wenu, tutajilinda wenyewe kwani maisha yetu ni jukumu letu.
Nani kakulazimisha usome na ukomenti kama hutaki ndg! Karibu February!
 
Kwani lazima utujulishe! Sisi siyo watoto wenu, tutajilinda wenyewe kwani maisha yetu ni jukumu letu.
Nani kakulazimisha usome na ukomenti kama hutaki ndg! Karibu February!
 
Sasa ukinyamaza ndo hawafi ?
 
All of your methods have not produce positive results.njia zako zote hizo hazijasaidia .suala ni kumuomba mung aktunusuru jambo ambalo limeshatangazwa naserikal kujifusha.au steam nayo mi tiba
tawakal kwa dawa malimao asbab tu.
 
Without documentation how do you know we don't have millions of deaths so far?
Good,without documentation how do you know we have millions of deaths so far?means unafanya guess work kama wapiga ramli wengine?
 
Viongozi wetu wazee wastaafu wamekuwa walaji wazuri sana wa kodi na kuishi kifalme lakini wamelegea sana kwenye ushauri.

Tanzania tuna janga ya magojwa na uchumi lakini ni Warioba tu ndiye anaweza kuongea kidogo bila woga. Madaktari wanakufa kwa kasi sana na kila mtu anajua tunadanganywa sana kwenye Corona lakini wazee wetu wamekuwa wakikagua nyumba zao za mabilioni wanazo jengewa na pesa ya walipakodi lakini hakuna ushauri wowote wakiona serikali ina sua sua. Kweli kama nchi Mkapa amekuwa pengo kubwa sana
 
Nini kifanyike Mkuu?? Huyo unaetaka ashauriwe, yeye ndiye anaetaka kuwashauri hao unaewataka wamshauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…