Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,240
- 2,010
Wew boya umenichekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Kule bungeni kuna Hugo ndugainyoMtu Kama Diego Armando Kabudi ujasiri wa kumkosoa Fernando Redondo Magufuli anaupata wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew boya umenichekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Kule bungeni kuna Hugo ndugainyoMtu Kama Diego Armando Kabudi ujasiri wa kumkosoa Fernando Redondo Magufuli anaupata wapi?
Mbrazili wa Kigogo kwa nyuma?Wew boya umenichekesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Kule bungeni kuna Hugo ndugainyo
Ndiyo mkuu...hawa wapuuzi dahMbrazili wa Kigogo kwa nyuma?
Huyo wa Hanang aliporejea ccm aliambiwa na meko kuwa alikumbwa na mapepo ndipo akahamia Chadema na jamaa akaitikia kama zuzu hope this was because of compromatMzee Ruksa hata hajielewi sasa hivi, Mkwele naye kama kaamua kumpotezea tu ngosha! Mamvi na yule wa Hanang tangu watoke na kurudi ccm wamekosa kujiamini kabisa! Na lijamaa lilisha waambia waache vihere here! Nchi imekuwa ya mtu mmoja hii!
BWM ni mtu hatari sana, naona una makengeza. Huyu ambaye hata baba wa taifa alimwambia atauza magereza! Bado hatujasahau, BWM pamoja na mazuri yake aliuza viwanda vyote kwa bei ya peremende na akajichukulia mchuchuma.Viongozi wetu wazee wastaafu wamekuwa walagi wazuri sana wa kodi na kuishi kifalme lakini wamelegea sana kwenye ushauri.
Tanzania tuna janga ya magojwa na uchumi lakini ni Warioba tu ndiye anaweza kuongea kidogo bila woga. Madaktari wanakufa kwa kasi sana na kila mtu anajua tunadanganywa sana kwenye Corona lakini wazee wetu wamekuwa wakikagua nyumba zao za mabilioni wanazo jengewa na pesa ya walipakodi lakini hakuna ushauri wowote wakiona serikali ina sua sua. Kweli kama nchi Mkapa amekuwa pengo kubwa sana
Nani huyo anawaambia wenzake waache viherehere?Mzee Ruksa hata hajielewi sasa hivi, Mkwele naye kama kaamua kumpotezea tu ngosha! Mamvi na yule wa Hanang tangu watoke na kurudi ccm wamekosa kujiamini kabisa! Na lijamaa lilisha waambia waache vihere here! Nchi imekuwa ya mtu mmoja hii!
Na Wanafamilia wanaangaliwa vema.....mwingine Mama na Mtoto wapo Mjengoni, mwingine Kijana kashika hatamu kule Kisiwani...basi ni raha mustarehe watafute tena matatizo ya nini?
Pambania maisha yako mkuu huku kwingine kila mtu ana hofu na hatima yake.
Mnaambiwa mnawashwa washwa, muda wenu umekwisha acheni na mimi nifanye, mimi ndiye rais wa nchi hii!.
Analinda yale mashamba ya Nafco aliyojimilikisha kule Mvero.Huyo wa Hanang aliporejea ccm aliambiwa na meko kuwa alikumbwa na mapepo ndipo akahamia Chadema na jamaa akaitikia kama zuzu hope this was because of compromat
Yeye uyo ndiye chanzo cha haya yote katuachia msala mzito sanaViongozi wetu wazee wastaafu wamekuwa walagi wazuri sana wa kodi na kuishi kifalme lakini wamelegea sana kwenye ushauri.
Tanzania tuna janga ya magojwa na uchumi lakini ni Warioba tu ndiye anaweza kuongea kidogo bila woga. Madaktari wanakufa kwa kasi sana na kila mtu anajua tunadanganywa sana kwenye Corona lakini wazee wetu wamekuwa wakikagua nyumba zao za mabilioni wanazo jengewa na pesa ya walipakodi lakini hakuna ushauri wowote wakiona serikali ina sua sua. Kweli kama nchi Mkapa amekuwa pengo kubwa sana
Mbona watu wanahoji sana tu, ila tunaambulia majibu pori.Tanzania limekuwa ni Taifa la wasioweza kuhoji,