Hakuna corona, nenda Google
Corona haipo kwenye google we kilaza!
Watanzania wenzangu msiwasikilize vilaza na political maggots wa tanzania. Kila mtu tujilinde, vaa barakoa, sanitize popote, social distancing kama kazi. Maisha ni yako na familia ndiyo waathirika wakuu.

Magu and the political babboons are just simple opportunists!. Dalili za corona ni wakati huyu fisi anapokimbilia chato huku akibweka "hakuna corona"
 
Imani bila matendo imekufa. Kujifanya kuomba na kusali huku hutendi inavyokupasa kutenda ni kazi bureee. Usitegemee Mungu kujibu maombi wakati kuna watu wanafanyiwa dhuruma na uonezi wa wazi wazi. Roho wa Mungu hakai sehemu yenye dhuruma, wizi, uonezi ubabe na kupuuzwa. Woga umetawala.

Hakuna njia ingine zaidi ya kurudi kwa Mungu tukiwa wapole, mikono nyuma na kuanguka kifudifudi na kutubu ukatili tuliowatendea wenzetu wasio na hatia.

Vilevile lazima tukiri waziwazi umma usikie unyama tuliowafanyia wenzetu ili toba yetu ikubaliwe. Kuendelea kujifanya roho ngumu huku tuliowaumiza wakiendelea kumlilia Mungu cha moto tutakiona.

Kwa Mungu hakuna njia ya mkato. "Practice what you preach"
 
nimeona wengine wako busy wanajifukiza,

hii korona haitakuacha salama kama ulishiriki kwa namna moja au nyingine kuiba kura na kudhuluma haki za wataznania

ujiandae utubu maana hakika hutapona kwa hakika,ile huzuni iliyokuwa mioyoni wa watanzania imefikia kikomo sasa,glass imejaa maji inafurika,hukumu ni hapahapa duniani
lazima wote mlioshiriki mfe kwa korona,,,

Hukumu hapahapa duniani
 
Mabibi na mabwana kwamba sasa hivi:

1. Misibani Dar zaidi 90% ya waombolezaji wametupia barakoa,

2. Kutofungua majeneza kwa ajili ya heshima za mwisho inazidi kushika kasi,

3. Matumizi ya microphone kwa ajili ya matangazo mbali mbali misibani inaanza kuwa old fashioned,

4. Waombolezaji bila kukumbushwa wanaanza wenyewe kupeana nafasi baina ya mtu na mtu,

Kwamba haya yanatokea kwa wananchi kujiongeza wenyewe, hizi ni ishara za wazi kuwa wale waliokuwa wakipotosha ukweli kuhusiana na ugonjwa huu wanaelekea kugonga ukuta.

Itambulike kuwa hayapo mashindano ya kutafuta mshindi dhidi ya ugonjwa huu bali ni umuhimu uliopo katika kuyahami maisha ambayo kwa hakika ni adimu kuliko vyote.

Itambulike kuwa somo linalotufikisha huku tumelifahamu kwa bei kubwa sana. Yaani baada ya kuandamwa na vifo vilivyo husishwa na shughuli za mikusanyiko ya watu kama hii.

Tuliita changamoto za kupumua na tunaendelea kuvumbua majina mapya kila uchao.

Haisaidii kuukimbia ukweli au kusingizia sababu za vifo. Kwamba ni changamoto za kupumua, pneumonia, uzee, ajali, magonjwa mengine, kufa ni jambo la kawaida nk wakati ukweli unajulikana?

Ama kweli njia ya mwongo ni fupi na mficha maradhi asitegemee mwuujiza.

Pasipo na kuuvaa ujasiri thabiti kama ulioonyeshwa wazi wazi na baadhi yetu, kwa hakika hatuwezi kutoboa.

Mikusanyiko ya watu misikitini, magulioni, masokoni, kwenye ma ferry, mabasi nk ni lazima idhibitiwe.

Kwa kuwaacha wananchi hawa kujifunza wenyewe namna ya kujifunza "in this very hard way," wenye mamlaka mjiandae tunayo maswali mengi kwenu.

Maswali ya kuwa mlitaka serikali ifanyeje yameshajibiwa mno na kwa hakika kwa sasa yako very irrelevant.

Ninawasilisha.
 
Chkua tahadhari za corona na magonjwa mengine
 
Serikali ingesema neno ingesaidia sana,
Kule Moshi nasika ndugu wameanza kutengana kwa kutohudhuria misiba. .. kumbe issue ni kubwa sana.. yani mtu mwenye weak immunity mambo ni magum sana

Wengine hawaelewi kabisa kwamba a thar za kuzika muathrika ni kubwa mno ...
 
La msingi kila mtu akubali ugonjwa haujaisha wala hautokomei hivi karibuni. Tutaishi nao kama magonjwa yote ya virusi.

Kila mtu Ajitambue, Ajikubali na Ajiandae kwa usalama wa maisha yake na ya binadamu mwingine
 
Hali inatisha hizi ni siku za mwisho Tumrudieni Mungu. Tufunge na kuomba.

Humanity is officially doomed!

Jesus help us
 
Jana nilikuwa sehemu napata lunch,nikawasikia jamaa wanasema 'wale wanaoombea wenzao kufa na corona,wanaanza wao kwanza' nikajisemea hii kali!
 
Mkuu wizi wa kura ulianza siku nyingi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi. Pesa inatumika sana. Sema tu mwaka huu imekuwa too much. Bila aibu watu wako bungeni nafsi zao zikiwahukumu. Ogopa sana kuchukua kitu ambacho si haki yako. Laana mtindo mmoja pamoja na familia yako.
 
Do you think God is contract killer?? And death only comes to the wicked and spare the innocence one?? Nah.
Death is certain my dear kaa vyema usije ukapitiwa wewe
 
La msingi kila mtu akubali ugonjwa haujaisha wala hautokomei hivi karibuni. Tutaishi nao kama magonjwa yote ya virusi.

Kila mtu Ajitambue, Ajikubali na Ajiandae kwa usalama wa maisha yake na ya binadamu mwingine
La msingi kila mtu akubali ugonjwa haujaisha wala hautokomei hivi karibuni. Tutaishi nao kama magonjwa yote ya virusi.

Kila mtu Ajitambue, Ajikubali na Ajiandae kwa usalama wa maisha yake na ya binadamu mwingine
La msingi kila mtu akubali ugonjwa haujaisha wala hautokomei hivi karibuni. Tutaishi nao kama magonjwa yote ya virusi.

Kila mtu Ajitambue, Ajikubali na Ajiandae kwa usalama wa maisha yake na ya binadamu mwingine

La msingi kila mtu akubali ugonjwa haujaisha wala hautokomei hivi karibuni. Tutaishi nao kama magonjwa yote ya virusi.

Kila mtu Ajitambue, Ajikubali na Ajiandae kwa usalama wa maisha yake na ya binadamu mwingine

Una maana kila mtu akiwemo Magufuli na serikali?

Kwa sababu tunatofautiana ki mamlaka na kiuwezo kutambua uwepo wa ugonjwa huu kwa wawili hawa kwa taifa, hakuwezi kulinganishwa na utambuzi wako, wangu au kina yakhe wowote.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…