#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Una maana kila mtu akiwemo Magufuli na serikali?

Kwa sababu tunatofautiana ki mamlaka na kiuwezo kutambua uwepo wa ugonjwa huu kwa wawili hawa kwa taifa, hakuwezi kulinganishwa na utambuzi wako, wangu au kina yakhe wowote.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Maisha ya mtu yako mikononi mwake kwa jinsi ileile anavyojitawaza msalani pasipo kusimamiwa.

Usisubiri AMRI, chukua hatua kulinda maisha yako km kuvaa barakoa, kujitakasa mikono, kuepuka misongamano ya watu, na hasa kwenye maeneo ya jumuia km vyoo vya jumuia usiache kuvaa barakoa

Kumbuka kila binadamu huenda ameambukizwa
 
Wana roho mbaya sana hawa estou!

Sasa watu wengi hiyo SGR yao atapanda nani?
Jana niliposikia yuko Morogoro nilitegemea amefika kufungua reli ya SGR ya treni za kisasa za umeme iliyokuwa ifunguliwe mwaka 2019 kumbe anafungua Soko la mamantilie na machinga. Ameishiwa na cha kufanya, angejikalia Chato akijifukiza!
 
Maisha ya mtu yako mikononi mwake kwa jinsi ileile anavyojitawaza msalani pasipo kusimamiwa.

Usisubiri AMRI, chukua hatua kulinda maisha yako km kuvaa barakoa, kujitakasa mikono, kuepuka misongamano ya watu, na hasa kwenye maeneo ya jumuia km vyoo vya jumuia usiache kuvaa barakoa

Kumbuka kila binadamu huenda ameambukizwa

Ninaepuka vipi misongamano masokoni, magulioni, kwenye ma ferry, mabasi nk ninapolazimika kwenda kutafuta si riziki yangu tu bali na mzigo zaidi wa kulipa kodi za serikali zinazoongezwa mfululizo kana kwamba hatuna janga lolote baina yetu?

Huoni kuwa mfano wako wa kuchamba kwako kwa hakika hapa si mahala pake kabisa?

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kwani walioiba kura wana mapafu dhaifu na kinga laini kuliko walioibiwa kura?

Ni akina nani waliiba hizo kura?

Kuiba kura kunasababisha Corona?

Kura ziliibiwaje wakati kulikuwa na walinzi wa Serikali na vyama vya siasa vilikuwa na mawakala?

Kura ziliibiwa zikapelekwa wapi?

Kura ni ile karatasi yenye picha za wagombea au ni idadi ya alama ya v kwenye zile karatasi?
 
nimeona wengine wako busy wanajifukiza,

hii korona haitakuacha salama kama ulishiriki kwa namna moja au nyingine kuiba kura na kudhuluma haki za wataznania

ujiandae utubu maana hakika hutapona kwa hakika,ile huzuni iliyokuwa mioyoni wa watanzania imefikia kikomo sasa,glass imejaa maji inafurika,hukumu ni hapahapa duniani
lazima wote mlioshiriki mfe kwa korona,,,

Hukumu hapahapa duniani
Huyu alikuwa akiwaombea na kufurahia vifo vya wenzie kama wewe!
FB_IMG_1612936586534.jpg
 
nimeona wengine wako busy wanajifukiza,

hii korona haitakuacha salama kama ulishiriki kwa namna moja au nyingine kuiba kura na kudhuluma haki za wataznania

ujiandae utubu maana hakika hutapona kwa hakika,ile huzuni iliyokuwa mioyoni wa watanzania imefikia kikomo sasa,glass imejaa maji inafurika,hukumu ni hapahapa duniani
lazima wote mlioshiriki mfe kwa korona,,,

Hukumu hapahapa duniani
Mbona wewe unayo, je uliiba kura? Na wote tumuombee rosemarie apone haraka baada ya kutubu CCM
 
nimeona wengine wako busy wanajifukiza,

hii korona haitakuacha salama kama ulishiriki kwa namna moja au nyingine kuiba kura na kudhuluma haki za wataznania

ujiandae utubu maana hakika hutapona kwa hakika,ile huzuni iliyokuwa mioyoni wa watanzania imefikia kikomo sasa,glass imejaa maji inafurika,hukumu ni hapahapa duniani
lazima wote mlioshiriki mfe kwa korona,,,

Hukumu hapahapa duniani
[emoji848][emoji848][emoji848] Kwa hiyo wewe umechukua nafasi ya Mungu yaani unatoa hukumu. Kwani wewe na hao unaowatuhumu kuiba kura mna tofauti gani? Au wewe huwezi kufa na hiyo Corona?
 
nimeona wengine wako busy wanajifukiza,

hii korona haitakuacha salama kama ulishiriki kwa namna moja au nyingine kuiba kura na kudhuluma haki za wataznania

ujiandae utubu maana hakika hutapona kwa hakika,ile huzuni iliyokuwa mioyoni wa watanzania imefikia kikomo sasa,glass imejaa maji inafurika,hukumu ni hapahapa duniani
lazima wote mlioshiriki mfe kwa korona,,,

Hukumu hapahapa duniani
itaanza nawewe, kwanza kwa jina la Yesu Kristo aliye juu, kisha hao wengine itawaacha.
 
Do you think God is contract killer?? And death only comes to the wicked and spare the innocence one?? Nah.
Death is certain my dear kaa vyema usije ukapitiwa wewe
Okay, to make things correct. ........spare the innocent one....not innocence
 
Back
Top Bottom