Jiwe ameshika hatamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
Kuna watanzania wengi sana wa uelewa mdogo hata ujaribu kuwaelewesha unaona bora ukae kimya tu.
Jana nikamuuliza kijana mmoja kaka italetwa chanjo ya corona utachanja akajibu hatachanja sababu rais ashasema hazifai.
Juzijuzi nikiwa natembea nikasiki wamama wakisema, itabidi wazae tu sababu Rais anasema haya madawa ya uzazi hayafai.
Walisikia aliposema wasichana walichanjwa kinga saratani ya kizazi kumbe walikuwa wakizuia mimba hivo alikataza eti.
Hata kuvaa tu barakoa mpaka wamsikie rais akitamka. Aliposema tu walipima mapapai wakakuta yana korona haaa watu waliona ni ujinga tu kupoma korona
Hata humu tu kuna uelewa mdogo kuhusu anachosema mkuu. Hata kama hawaelewi alitania au alisema wakati gani wamejipanga tu kutetea hadi shingo zinakakamaa.
Hawa wanaotetea na kujipendekeza kulikopitiliza ndio wanaharibu nchi yetu.
Yaani hawataki kusikia mawazo mbadala.
Ona walisaidia sana kuua upinzani kama sauti mbadala eti wanasaidia azma ya mkuu kumbe hata hawkumuelewa.
Waimba pambio wamegeuka wapembe wa mganga wakitafsisri asichomaanisha mganga.
Tupaaze sauti kuwakemea hawa watu la sivo tutaweza kutumbukia shimoni