Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeenh, mawazo ya watu wengine yanasikitisha.mkuu tengua kauli yako utawala wa magufuli auna uwezo wa kusema Nani afe Nani asife. waliochukua hatua zote lakini bado watu wao wanafaliki
ZINGATIA. akuna mbadala wa kukwepa kifo
Umesahau na lile kundi ambalo wana uelewa ila wametanguliza sana siasa mbele,hili kundi lilifanya makosa sana kipindi cha kampeni mwaka jana kwa kuungana na hao wasio na uelewa walisambaza sana maambukizi ya corona kipindi kile wakafanya hata Mkuu kujisifu kwamba hao waliyokuwa wanamkosoa nao wamekubaliana nae kwamba hakuna corona,cha ajabu nao wakaja na utetezi wa kijinga et kipindi kile corona ilipunguaKuna watanzania wengi sana wa uelewa mdogo hata ujaribu kuwaelewesha unaona bora ukae kimya tu.
Jana nikamuuliza kijana mmoja kaka italetwa chanjo ya corona utachanja akajibu hatachanja sababu rais ashasema hazifai.
Juzijuzi nikiwa natembea nikasiki wamama wakisema, itabidi wazae tu sababu Rais anasema haya madawa ya uzazi hayafai.
Walisikia aliposema wasichana walichanjwa kinga saratani ya kizazi kumbe walikuwa wakizuia mimba hivo alikataza eti.
Hata kuvaa tu barakoa mpaka wamsikie rais akitamka. Aliposema tu walipima mapapai wakakuta yana korona haaa watu waliona ni ujinga tu kupoma korona
Hata humu tu kuna uelewa mdogo kuhusu anachosema mkuu. Hata kama hawaelewi alitania au alisema wakati gani wamejipanga tu kutetea hadi shingo zinakakamaa.
Hawa wanaotetea na kujipendekeza kulikopitiliza ndio wanaharibu nchi yetu.
Yaani hawataki kusikia mawazo mbadala.
Ona walisaidia sana kuua upinzani kama sauti mbadala eti wanasaidia azma ya mkuu kumbe hata hawkumuelewa.
Waimba pambio wamegeuka wapembe wa mganga wakitafsisri asichomaanisha mganga.
Tupaaze sauti kuwakemea hawa watu la sivo tutaweza kutumbukia shimoni
Kwa bahati mbaya wakosoaji wengi bongo hawakosoi ili hilo jambo lipatiwe solution,mfano sasa hivi solution hapo utaambiwa ni serikali kukiri kuwepo corona nchini kupima na kutoa takwimu na kuwaambia watu wachukue tahadhari. Ila mie nakwambia hata hayo yakifanyika bado lawama zitaendelea kuwepo kama ilivyokuwa mwaka jana mwanzoni ambapo hayo mambo yalikuwepo ila bado wakosoaji waliendelea kukosoa kwamba ilionekana bado hayo mambo hayatoshi na wengine walibeza kuwa hatuwezi kuondoa corona kwa kunawa mikono. Ajabu kampeni zilipoanza hakukua na ukosoaji tena hadi sasa ndio yameanza tena.Anataka nini !? Mbona hajapendekeza solution...
Camooon meeen!!!Huna haki ya kuishi kwa sababu wakati wahuni na mabumunda wanachukua nchi kwa njia za hila na za kihuni wewe uliishia kukenua meno!Sasa hivi ni wakati wako wewe kulipa uzembe uliofanya,na utalipa kupitia kifo.
Duh; hata kama ni kulipia uzembe malipo yamekuwa ya gharama kubwa kupitiliza. Adhabu hailingani na kosa.Huna haki ya kuishi kwa sababu wakati wahuni na mabumunda wanachukua nchi kwa njia za hila na za kihuni wewe uliishia kukenua meno!Sasa hivi ni wakati wako wewe kulipa uzembe uliofanya,na utalipa kupitia kifo.
Ukweli lazima usemwe. Nitasema kweli dhaima, fitina kwangu mwiko. Watu wanapukutika kama Nzige waliopigwa dawa kwa sababu ya Irresponsible Government!Camooon meeen!!!
Hili sio la kulaumu utawala ( serikali hii tu ), misingi katika sector ya afya kabla ya JPM haikuwa mizuri ( ni kitu endelevu kinaendelea kuboreshwa siku hadi siku ), capacity ya miundombinu na pesa kutokana na mlipuko wa gonjwa hili havijaendana na sio kwamba serikali imetelekeza watu wake.
Serikali imetoa maelekezo na kwa kadri ya uwezo wake ikijumuisha utaalamu, vifaa tiba, na pesa. Sie kama Taifa ni lazima tukubali na tuelewa hali harisi ya taifa letu, Tusitake kuishi kama USA au QUTAR au U.K. Kuna mambo mengine twendeni na uharisia, tofauti na hapa tutaishia pingana pasipo na majibu.
Idadi ya vifo, haina takwimu sahihi, na pia wanao kufa hatuwezi sema wote ni Corona, kumezuka tabia ya kila kifo watu kuhusisha na covid 19. Jiulize kabla ya COVID 19 kwa siku walikuwa wanakufa watu wangapi na baada ya COVID 19 wanakufa watu wangapi ??
Tuchukue taadhari sie wenyewe zaidi kwanza, maana ni afya zetu na uhai wetu. Kabla ya kuanza tafuta kasoro za serikali.
Ungetoka nje wakati ule hata wewe ungesha RIP. Wale Askari walilipwa US$500 kwa siku kuhakikisha Kayafa anaapishwa.Huna haki ya kuishi kwa sababu wakati wahuni na mabumunda wanachukua nchi kwa njia za hila na za kihuni wewe uliishia kukenua meno!Sasa hivi ni wakati wako wewe kulipa uzembe uliofanya,na utalipa kupitia kifo.
Huna haki ya kuishi kwa sababu wakati wahuni na mabumunda wanachukua nchi kwa njia za hila na za kihuni wewe uliishia kukenua meno!Sasa hivi ni wakati wako wewe kulipa uzembe uliofanya,na utalipa kupitia kifo.
Kafa Mkapa na Mahiga na hakuna kilichobadilisha chochote mkuu.Watu hawajafa bado ;tusubilie atleast na mwakyembe atembee
Mkuu mie nakuelewa vizuri sana. Siangalii serikali katika negative pekee ( katika yale iliyo shindwa ), naangalia pia katika yale iliyoweza kuyafanya pia na yakawa na faida kwa jamii. Swala la afya nchi nyingi za africa zimekuwa nyuma, na zimekuwa zinategemea zaidi misaada katika sector ya afya hata katika janga la corona nchi nyingi hazina uwezo wa kukabiliana nalo wenyewe hadi pale ambapo wame wezeshwa misaada. Kwa nchi yetu imepata fund ya kutosha ?Janga la Corona halina cha kufanya na serikali zilizopita. Janga la Corona lina mambo ya msingi sana serikali zote duniani zinawajibika kuyafanya sasa.
Serikali yetu kwa mujibu wa katiba haina dini wala haifuati imani za kishirikina. Nchi yetu ni ya kidemokrasia inayopaswa kuendeshwa kwa masikilizano na si kwa matakwa ya mtu mmoja.
Serikali hii haitutendei haki sisi wazee na wenye magonjwa mengine kwa kututelekezea gonjwa. Tunayo haki ya kuishi kama ilivyo kwa mlipa kodi yeyote:
#COVID19 - Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa. Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa. Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...www.jamiiforums.com
Wewe huoni hivyo jombi?
Tunaaminishwa kuwa si jukumu la serikali kuongeza vituo vya kupimia covid na walioathirika kupata matibabu stahiki.
Niliwahi sema hivi hapa JF:Duh; hata kama ni kulipia uzembe malipo yamekuwa ya gharama kubwa kupitiliza. Adhabu hailingani na kosa.
Kwel jf kuna watomkuu tengua kauli yako utawala wa magufuli auna uwezo wa kusema Nani afe Nani asife. waliochukua hatua zote lakini bado watu wao wanafaliki
ZINGATIA. akuna mbadala wa kukwepa kifo
Kwel jf kuna wat mko na akili sana asante mkuu kwa. Kuona hilmkuu tengua kauli yako utawala wa magufuli auna uwezo wa kusema Nani afe Nani asife. waliochukua hatua zote lakini bado watu wao wanafaliki
ZINGATIA. akuna mbadala wa kukwepa kifo
Ungetoka nje wakati ule hata wewe ungesha RIP. Wale Askari walilipwa US$500 kwa siku kuhakikisha Kayafa anaapishwa.