#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Canada hamna nyama choma kama kwa mromboo laziima akumbuke home !!! sasa hivi shock ya kwanza atakayokuwa kakutana nayo yeye na familia yake ni chakula!
Mnafarijiana?Hivi leo hii uwe nchi za mbali kama USA au Canada useme umepakumbuka Kimboka kwa lipi hasa?Kaa chini ujikune kiribatumbo hicho ndiyo muwe mnajibu kwa akili.
 
Austraria ndiyo nchi gani? Huko wajinga wajinga kama tunaowaona hapa huko hawapo?

Kwamba kuna wajinga wajinga fulani mahala wanabwabwaja ujinga wao. Inatuhusu nini sisi tunapita kodi na kuitegemea serikali kuwajibika kwetu?
Ila si umeelewa namaanisha nchi gani ? Wewe mwenye juu hapo umekosea ( typing error ). Mkuu kuwa namuono tofauti isikufanye mambo yanayofanyika na serikali kuwa ya hovyo. Niambie hizo nchi ambazo zingine hata wamepigwa Lockdown athari zake na hapa kwetu zikoje ?
 
Tunaaminishwa kuwa si jukumu la serikali kuongeza vituo vya kupimia covid na walioathirika kupata matibabu stahiki.

Ninachoshangaa ni jinsi wahusika yalivyokaa kimya kuacha wananchi wahangaike kulipa mamilioni ya gharama za ventilators huku wengine wahitaji wakikosa! As if jukumu la kuwepo vifaa tiba ni la wananchi.

Viongozi wanajiongelesha mambo mengine wakati kwa nchi zingine priority ni kupambana na disaster ikiwemo kuboresha utoaji wa huduma stahiki!
 
Hospitali za Wilaya zina mitungi ya oxygen ya kuweza kukabiliana hata na mlipuko wa watu 100 kwa wakati mmoja. Kodi wanachukua lakini tiba wanasema wananchi wachume majani wajivukize.
 
Mnafarijiana?Hivi leo hii uwe nchi za mbali kama USA au Canada useme umepakumbuka Kimboka kwa lipi hasa?Kaa chini ujikune kiribatumbo hicho ndiyo muwe mnajibu kwa akili.
food shock ndio shock ya kwanza atakayokuwa kakutana nayo canada atakula junk foods mpaka akome
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Utawala unao kosea kwa makusudi na kusabibisha vifo vya watu kama ilivyo Tanzania sasa hauna tofauti na Magaidi.Kiburi cha Magufuli ni huzuni kwa Nchi kwa vifo ambavyo vingewezwa kuepukwa/ kupungua.Watu wanakufa na mizaha ina endelea.Watoto wana baki yatima,umasikini unaongezeka
Gap la upinzani imara limeshaanza kuonekana
 
food shock ndio shock ya kwanza atakayokuwa kakutana nayo canada atakula junk foods mpaka akome
Ndiyo akili zako za ki-CCM zinavyokutuma ufikirie utadhani umemuona.Watu waliokuzidi akili woooteee wale junky food?Fikiria tena na tena.Dodoma wanakula viwavijeshi umewaona?
 
Ila si umeelewa namaanisha nchi gani ? Wewe mwenye juu hapo umekosea ( typing error ). Mkuu kuwa namuono tofauti isikufanye mambo yanayofanyika na serikali kuwa ya hovyo. Niambie hizo nchi ambazo zingine hata wamepigwa Lockdown athari zake na hapa kwetu zikoje ?

Kwamba serikali imetutelekezea janga, kama watelekezewa janga tuna nini cha kuipongeza?

Sisi wazee na wenye magonjwa mengine tumeachwa kujifia kama kuku tu. Si ya hovyo hayo?

Marekani yenye states 50 watu 1000 kufa kwa siku, ni sawa na 20 kufa kwa siku kwa state.

State moja ni kama Tanzania 1. Kwa Tanzania yenye mikoa takribani 30 na kwa jinsi watu wanavyokufa sasa ni dhahiri kuwa tumewazidi mno hao unaojiuliza superficially kuwa lockdown imewasaidia nini.

Jifikirie kwa mkoa mmoja wanakufa watu wangapi wenye changamoto hizi? Ikumbukwe mkoa mmoja una wilaya ngapi. Ukweli mchungu tunapoteza watu wengi mno zaidi kuliko hao wanaochukua hatua.

Hatuna takwimu achilia mbali kuwa ukweli unapotoshwa. Imekuwa pneumonia, uzee, ajali, magonjwa nk. Kusingizia yasiyokuwapo.

Serikali hii ni ya kupigia kelele. Tunalipa kodi kwa matumaini ya kuwa watawajibika kwetu na si vinginevyo.
 
Hili sio la kulaumu utawala ( serikali hii tu ), misingi katika sector ya afya kabla ya JPM haikuwa mizuri ( ni kitu endelevu kinaendelea kuboreshwa siku hadi siku ), capacity ya miundombinu na pesa kutokana na mlipuko wa gonjwa hili havijaendana na sio kwamba serikali imetelekeza watu wake.

Serikali imetoa maelekezo na kwa kadri ya uwezo wake ikijumuisha utaalamu, vifaa tiba, na pesa. Sie kama Taifa ni lazima tukubali na tuelewa hali harisi ya taifa letu, Tusitake kuishi kama USA au QUTAR au U.K. Kuna mambo mengine twendeni na uharisia, tofauti na hapa tutaishia pingana pasipo na majibu.

Idadi ya vifo, haina takwimu sahihi, na pia wanao kufa hatuwezi sema wote ni Corona, kumezuka tabia ya kila kifo watu kuhusisha na covid 19. Jiulize kabla ya COVID 19 kwa siku walikuwa wanakufa watu wangapi na baada ya COVID 19 wanakufa watu wangapi ??

Tuchukue taadhari sie wenyewe zaidi kwanza, maana ni afya zetu na uhai wetu. Kabla ya kuanza tafuta kasoro za serikali.
 
Kumbe na Canada na Ubelgiji wana tatizo la Nimonia?!

Nyie vichaa hata hamumjui adui yenu mpaka leo bado mnarusha rusha miguu tu.
Wewe ndio kichaa na wote mnaomshabikia Lema ni vichaa!

Marekani na ulaya wamechukua hatua zote ikiwemo kujifungia ndani na wanakufa watu zaidi ya elfu kila siku je nako selikali zao ni magaidi?

Ujinga tu
 
Kwa kutokuchukua hatua utawala wa Magufuli umewatelekeza wazee na wenye magonjwa mengine kufa.

Pana haja ya watu kwenye makundi mawili haya sasa kuanza kumkataa Magufuli na genge lake kwa vitendo kwa maana pia Mathayo 10:33 imeandikwa:

"but whoever denies me before men, I also will deny before my Father who is in heaven."

Mkuki hauwezi kuwa kwa nguruwe peke yake.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Unataka Magufuli achukue hatua gani? Ambazo zimefaulu sehemu nyingine zitaje
 
Mnafarijiana?Hivi leo hii uwe nchi za mbali kama USA au Canada useme umepakumbuka Kimboka kwa lipi hasa?Kaa chini ujikune kiribatumbo hicho ndiyo muwe mnajibu kwa akili.
Kwa wajinga kama wewe mko tayari hata kuolewa ili mradi mko marekani au ulaya
 
Kuna watanzania wengi sana wa uelewa mdogo hata ujaribu kuwaelewesha unaona bora ukae kimya tu.

Jana nikamuuliza kijana mmoja kaka italetwa chanjo ya corona utachanja akajibu hatachanja sababu rais ashasema hazifai.

Juzijuzi nikiwa natembea nikasiki wamama wakisema, itabidi wazae tu sababu Rais anasema haya madawa ya uzazi hayafai.

Walisikia aliposema wasichana walichanjwa kinga saratani ya kizazi kumbe walikuwa wakizuia mimba hivo alikataza eti.

Hata kuvaa tu barakoa mpaka wamsikie rais akitamka. Aliposema tu walipima mapapai wakakuta yana korona haaa watu waliona ni ujinga tu kupoma korona
Hata humu tu kuna uelewa mdogo kuhusu anachosema mkuu. Hata kama hawaelewi alitania au alisema wakati gani wamejipanga tu kutetea hadi shingo zinakakamaa.

Hawa wanaotetea na kujipendekeza kulikopitiliza ndio wanaharibu nchi yetu.
Yaani hawataki kusikia mawazo mbadala.

Ona walisaidia sana kuua upinzani kama sauti mbadala eti wanasaidia azma ya mkuu kumbe hata hawkumuelewa.

Waimba pambio wamegeuka wapembe wa mganga wakitafsisri asichomaanisha mganga.
Tupaaze sauti kuwakemea hawa watu la sivo tutaweza kutumbukia shimoni
Ndo shida ya kuwa na akili za nyumbu au mbuzi mwitu. Raisi ni binadamu, fanya analysis ya anachosema kama kinafaa kwako ama la. Amesema hakuna corona ila ww unaiona basi jikinge. Sijui baadhi ya raia tumekuwaje. Serikali ina sababu zake ni kwann imeamua kufanya inalofanya kuhusu Covid. Ww na ww uwe na sababu za maamuzi yako maana maisha yako ni jukumu lako, unless ww huna ubongo.
 
Kuna watanzania wengi sana wa uelewa mdogo hata ujaribu kuwaelewesha unaona bora ukae kimya tu.

Jana nikamuuliza kijana mmoja kaka italetwa chanjo ya corona utachanja akajibu hatachanja sababu rais ashasema hazifai.

Juzijuzi nikiwa natembea nikasiki wamama wakisema, itabidi wazae tu sababu Rais anasema haya madawa ya uzazi hayafai.

Walisikia aliposema wasichana walichanjwa kinga saratani ya kizazi kumbe walikuwa wakizuia mimba hivo alikataza eti.

Hata kuvaa tu barakoa mpaka wamsikie rais akitamka. Aliposema tu walipima mapapai wakakuta yana korona haaa watu waliona ni ujinga tu kupoma korona
Hata humu tu kuna uelewa mdogo kuhusu anachosema mkuu. Hata kama hawaelewi alitania au alisema wakati gani wamejipanga tu kutetea hadi shingo zinakakamaa.

Hawa wanaotetea na kujipendekeza kulikopitiliza ndio wanaharibu nchi yetu.
Yaani hawataki kusikia mawazo mbadala.

Ona walisaidia sana kuua upinzani kama sauti mbadala eti wanasaidia azma ya mkuu kumbe hata hawkumuelewa.

Waimba pambio wamegeuka wapembe wa mganga wakitafsisri asichomaanisha mganga.
Tupaaze sauti kuwakemea hawa watu la sivo tutaweza kutumbukia shimoni
Ni kweli mkuu kuna wananchi wengi ni wajinga na ujinga kibao ni wa kusababishiwa hebu fikiri uvae barakoa leo majembe wa jiwe watakukamuaje
 
Back
Top Bottom