Mnafarijiana?Hivi leo hii uwe nchi za mbali kama USA au Canada useme umepakumbuka Kimboka kwa lipi hasa?Kaa chini ujikune kiribatumbo hicho ndiyo muwe mnajibu kwa akili.
Wewe kumbe ndio ujielewi,ujawai ona huko hapa Dar lakini unawaza washikaji wako huko kijijini na unanza kukumbuka mlikuwa nmakunywa mbege na nyamachoma kwa bei laisi.
 
Kwamba serikali haita copy blindly mbinu wanazotumia nchi nyingine ndiyo kusema je jombi?
Sijui jombaa. Ila alisema hawawezi kukimbilia chanjo wakati kuna chanzo zaidi ya tatu zipo touted lakini hakuna ajuaye ipi inawafaa waTZ. Hivyo basi, hatuwezi kuwa sehemu ya majaribio (guinea pigs). Kwamba wakishajua ipi ni ipi then Serikali itajoin
 
Hata ibilisi hakosi wafuasi .
Hata ibilisi hakosi wafuasi .
 
Kaka, hata maelezo yako haya yamejaa probabilities nyingi so yanasadifu kuwa hakuna njia yenye uhakika wa kudhibiti corona.

hata njia aliyochukua Mwaka jana, utafiti wa vyombo kama bbc ulithibitisha kuwa hakuna hatari ya ugonjwa huwa tanzania.

tuendelee tu kuchukua tahadhari huku maisha yakiendelea.
 
Sijui jombaa. Ila alisema hawawezi kukimbilia chanjo wakati kuna chanzo zaidi ya tatu zipo touted lakini hakuna ajuaye ipi inawafaa waTZ. Hivyo basi, hatuwezi kuwa sehemu ya majaribio (guinea pigs). Kwamba wakishajua ipi ni ipi then Serikali itajoin
Niitambue hatua yako ya kuwa muwazi:

"Hazijulikani hizo mbinu alizo ashiria Dkt Abbas." Kwa maana rahisi ni kuwa hazipo!

Hili ni pigo kubwa kwetu kwani ndani ya ukimya uliopo watu tunaendelea kufa.

Kwa maana nyingine dunia na serikali yetu wanatutumia sisi kama ma "guinea pigs" kwenye ugonjwa huu. Wako kwenye kujifunza kuwa ni nini hasa kitatokea kama hamna hatua zozote zinapokuwa hazichukuliwi.

Kwamba wanasubiri waone dawa ili inatufaa ni visingizio tu. Kwa mpango kazi upi na wa muda gani?

Wameyaweka mazingira yote kuhakikisha mikusanyiko ya watu inashamiri vilivyo ikiwamo kuihamasisha.

Nini maana ya kuongeza kodi kama si kuwataka watu watoke majumbani kwenda kuhangaika zaidi na zaidi?
 
Ukiacha ujinga utapata nafasi ya kuwa na busara.
Hebu tuonyeshe takwimu za TANZANIA, acha kushoboka na takwimu za wengine.

Moaka mama yako afe ndo akili itakujia.
Hujui hata maana ya rais kutoa neno, kwako wewe akisema yule mwehu gwajima ni sawa na rais....mbuzi kabisa.
 

Ugonjwa huu upo tangia mwaka juzi. Unafahamika kuwa unasababishwa na nini, unaambukizwa vipi na zipi namna za kujikinga nao.

Inafahamika hata hadi sasa umebadilika vipi kama ilivyotegemewa kwa magonjwa ya virusi.

Ugonjwa huu si mgeni tena. Unafahamika vya kutosha.

Chanjo zaidi ya tatu zimetambuliwa na kuthibitishwa na shirika la afya duniani kuwa zinafaa kwa ajili ya ugonjwa huu.

Kuwa haipo njia ya uhakika ya kuudhibiti ugonjwa? Mbona h up ni upotoshaji wa wazi wenye Nia ya kutumia elimu ndogo kwa watanzania walio wengi, ili kuwa hadaa kwa maslahi binafsi ya watawala na genge lao?

Kwanini wasiachiwe wataalamu wa afya hatamu za uongozi wa kupambana na ugonjwa huu?

Kwanini kuwatelekezea gonjwa hili wazee na wote wenye magonjwa mengine wajifie zao bila ya msaada ndiyo inaonekana kuwa ndiyo njia bora zaidi ya kufanya?

Pana hata habari kuwa machampioni wakataa chanjo tayari wao wamechanjwa.

Ubinafsi uliopo kwenye hatima ya maisha kuhusiana na ugonjwa huu haukubaliki.
 
Wenzetu wameweka hadi lockdown ila bado inawasumbua ila huku tunaamini kuwa tunaweza kupambana na corona pasina kuweka lockdown,watu ambao kipindi kile cha level seat tulikuwa tukipanda kwenye daladala na kukaa chini ili kukwepa kuonekana na traffic ila ukipanda Mwendo kasi ilikuwa haina leve seat na watu walikuwa wanajazana tu kama kawaida,halafu mtu anaona hatuhitaji lockdown.
 
mkuu tengua kauli yako utawala wa magufuli auna uwezo wa kusema Nani afe Nani asife. waliochukua hatua zote lakini bado watu wao wanafaliki
ZINGATIA. akuna mbadala wa kukwepa kifo
Hata kama wakipona wawili ila hatua lazima zichukuliwe braza.. yani ungonjwa unaambukizwa kwa hewa na kugusana unataka watu waendelee kugusana..sasa kama wamewez marekani kuokoa watu milion 290+ wakafa hao 1m huoni kama ni achievement kwa taifa. Hii ni weakest point tafuta nyingne

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Unajua U.S.A ina idadi ya watu wangapi jumla mpaka unasema njia hazijawasaidia k2?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ko unahisi wasingeweka njia za kuzuia idadi ingepungua daaa bongo bana hatari wakati marekani kilichowaua zaid ni trump kukataza njia za udhibiti

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Icho kichwa cha habari kilivyoanza nikajua Godbless Lema R.I.P.
 
Acha utani bro kampeni za kujizua na maambukizi ya ukimwi zilichukua muda mrefu sana mpaka watu kuja kujitambua serikali ilitumia gharama za kutosha nakumbuka nikiwa shule ya msingi 2 ililaunchiwa kampeni ya kujikinga na ukimwi na magonjwa ya zinaa mashule karibu yote na kampeni nyingine zinaendelea hadi leo vijijini. Sas hujui kama covid ni ugonjwa mpya

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Unadhani kila m2 yupo JF anapata habari kama ulivopewa wewe hivi na akina lema kun vijijini huko wanategemea habari za radio

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Huyo mkimbizi atulize matako huko akazane na kesi za makaratasi, ubwege wake siku ataambiwa huna haki ya makaratasi Tanzania nchi ya amani tunakurudisha ndio atapokoma.
Jamaa wanamlia timming tu.
 
Sasa unataka raisi afanye nn sasa ? Ukitoa hoja lete pia ushauri wako nn kifanyike ? Hii tz ndio nchi yetu hatuna nyingine kama nyie mliokimbilia utumwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…