mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Wewe kumbe ndio ujielewi,ujawai ona huko hapa Dar lakini unawaza washikaji wako huko kijijini na unanza kukumbuka mlikuwa nmakunywa mbege na nyamachoma kwa bei laisi.Mnafarijiana?Hivi leo hii uwe nchi za mbali kama USA au Canada useme umepakumbuka Kimboka kwa lipi hasa?Kaa chini ujikune kiribatumbo hicho ndiyo muwe mnajibu kwa akili.