Kufa wewe ndo tutajua kuna tatizo kubwa hivyo,
Kama huko.wanakufa 2500 kwa siku ma hapa mkafa 2 kwa siku anayetakiwa kuchukua tahadhali zaidi ni nani?
Watu kama ninyi mlitakiwa kufa ili mkatie ushuhuda huko ahela.
 
Huyo mkimbizi atulize matako huko akazane na kesi za makaratasi, ubwege wake siku ataambiwa huna haki ya makaratasi Tanzania nchi ya amani tunakurudisha ndio atapokoma.
Jamaa wanamlia timming tu.
Kelele zote hizo za nini Sasa?. Kwani alichokisema kipo au hakipo???
 

Wewe mpaka sasa kuna mtu haelewi umuhimu wa nyakati tunazoishi? Kuna mtu anataka afundishwe mpaka leo hii?
 
Kufa wewe ndo tutajua kuna tatizo kubwa hivyo,
Kama huko.wanakufa 2500 kwa siku ma hapa mkafa 2 kwa siku anayetakiwa kuchukua tahadhali zaidi ni nani?
Watu kama ninyi mlitakiwa kufa ili mkatie ushuhuda huko ahela.
We unajuaje watanzania hamfi kwa korona wakati hakuna taarifa yeyote ya vifo vya korona inayo ripotiwa??

Je? Unajuaje kama huko kwenye vifo 2500 ni vichache sana kwasababu ya tahadhari zinazo endelea kutolewa? Na kinyume na hapo ingekuwa mara 3 ya hapo

Ninacho kiona kinafanywa na serikali hii ni kujaribu kuzuia kunya kwa kuuziba mkundu na wakati huo bado mnakula , subirieni kinacho fuata baada ya mavi kujaa ndani ya tumbo.
 
Daylight fact. It is terrorism!
 
Hili ni pigo kubwa kwetu kwani ndani ya ukimya uliopo watu tunaendelea kufa.
Technically hawapo “kimya” as such. Wanaongea kwa mafumbo na kumuacha kila mtu atumie bongo yake, which ofcourse is very dangerous.

Wameamua kutokuchukua hatua yoyote kwa kuwa labda wao wanaona hakuna hatua inayoweza kusaidia sana kwa kuwa hata huko walikochukua hatua hizo hakuna any meaningful success stories.

Kwa sasa kila mtu anapaswa kuichukua hii kitu kama ni vita binafsi maana preventive measures karibia zote zinafahamika sasa
 
nimegundua wapenzi wa chadema wote ndio wanaona serikali imekosea;
tuwe wakweli,wanataka SERIKALI ifanye nini?,
niliwahi kumuuliza mtu mmoja hapa jukwaani hakujibu,kwanini hili suala linachukuliwa kisiasa badala ya kitaifa?,
mbona tahadhari zimesemwa?,
mbona ndoo za kunawa zimewekwa?,
kwanini tunakua waongo kwa mambo ya kweli?,
hata kama hamumpendi Maghufuli,basi ipendeni nchi yenu;
 
Kwa hiyo wakikupa taarifa ya waliokufa utazuia vifo vingine?
Mbona huko wanakotoa taarifa bado watu wanakufa bila kukoma?
Cha msingi ni kujikinga hapo ulipo kwa ujuavyo.
Na kama umeoangiwabkufa utakufa tu na corona hatbkama watatangaza na vipaza sauti.
Huko ulaya kama hatua wanazochukua wangekuwa wameutokomeza basi nasi tungefanya hivyo, lakini bado wanahangaika pamoja na kika hatua wanayofanya.
 
Sikuwa na maana ya "open spaces" (sokoni, ferry, viwanja vya michezo) ambako kwa hali ya mambukizi ya sasa watu wanaojali maisha yao huvaa barakoa.

Mfano niliotoa ulilenga sehemu faragha za jumuia na zisizo wazi (public private & closed areas) ambako wengi wetu huamini ni salama kwa maambukizi kumbe ndiko ambako virusi vilivyo kwenye mate, makohozi au mafua huelea hewani. Hivyo nashauri hizo sehemu muhimu kuvaa barakoa
 
Hata huko Marekani ambako vimeripotiwa vifo vingi kutokana na Corona kuna familia hazijaugua ugonjwa huu na hata majirani zao.
Kwa hiyo kutokuwa na jamaa yako au jirani ambaye hajaugua au kufa kwa Corona si kigezo cha kutokuwepo na gonjwa ili.

Lakini ni kwa vile wewe na jamaa zako mko salama ukweli ni kwamba gonjwa lipo na watu wengi wamewapoteza wapemdwa wao.
Watu wanachukulia poa gonjwa ili, chukua tahadhari na omba sana lisikukute.
 
Awareness kama tunayo inatosha ss kujikinga wenyewe. Serikali haijakataza raia kujikinga na covid...
Kama serikali hiyo hiyo inabeza wanaovaa barakoa, hata kufika hatua ya kuwalazimisha watu wazivue hapo unategemea nini?,
 
Kama serikali hiyo hiyo inabeza wanaovaa barakoa, hata kufika hatua ya kuwalazimisha watu wazivue hapo unategemea nini?,
Tunaye Rais aliyeutafuta Urais ili atumie hela za watanzania kujenga kijiji chake, na miundombinu ya kuelekea kijijini kwake, lakini hana habari na uhai wa watanzania.
 
After 30 days TUKUTANE HAPA ...hiki kimbunga hakitaacha mtu salama....
 

Ungetusaidia sana sisi ambao haya yanatuhusu mno:



Tunaiepuka vipi misongamano ya namna hiyo kwenye mazingira hayo ya serikali?

Majibu yako tafadhali.
 
Kwa Mara ya kwanza dini iliburuzwa na dola kuwaaminisha watu kwamba Corona haipo na kwamba Mungu ameiondoa Corona Tanzania.

Dini zikaja kushtuka kwamba hapa tumeingizwa cha kike wao dini wakajirudi wakalamba matapishi Yao kwasasa nimewasikia wakiwaambia watu waanze kunawa mikono na kuchukua tahadhari zote za kiafya.Na hii ni kwa dini zote za kikristo na kiislamu.

Dola kwa upande wao wanaona aibu kulamba matapishi yao wao wameshupaza shingo ni kama hawafurahishwi na sisi tukiitajataja Corona Ila wanaona aibu kuuambia umma waliouambia mwanzo kwamba Mungu kaiondoa korona Tanzania.

Kumbukeni hata Mungu alisema. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
kama miaka yote hiyo unaweza kujikinga na ukimwi unashindwaje kujikinga na korona?
 
Kwa hiyo wakikupa taarifa ya waliokufa utazuia vifo vingine?
Mbona huko wanakotoa taarifa bado watu wanakufa bila kukoma?....
We jamaa kichwa chako kigumu na ni kizito sana kuelewa aisee , swala sio kutangaza vifo swala hapa ni kutoa tahadhari watu wachukue hatua stahiki za kujikinga sio blah blah zinazo fanywa sasa.

Sasa unapo wambia watu hatuna tatizo mara ooh! Mafua ya ajabu ajabu unafanya watu wasione kama kuna tahadhari inayo takiwa kuchukuliwa matokeo yake ugonjwa unaendelea kusambaa kiasi kwamba serikali inazidiwa kwa sasa hata mitungi ya oxygen ni mtihani.

Hao wenyewe wanao wambia hakuna tatizo masaa yote wamezungukwa na madaktari , na hadi ndege ya taifa imetumwa Madagascar kufata dawa watu wanajitibu kimya kimya halafu usoni huku wanapotosha hakuna tatizo huu ni ubinafsi na uuaji mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…