Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Kufa wewe ndo tutajua kuna tatizo kubwa hivyo,Mjinga yeyote anamawazo kama yako, unapo aminisha watu hakuna tatizo unawafanya wasichukue tahadhari yeyote hivyo kama ilibidi wafe 10 basi watakufa 30 lakini ukiwapa tahadhari wangekufa 10 wengine wangepona kwa sababu wamechukua tahadhari
Hizo nchi unazo zisema yawezekana hivyo vifo kwao vimekuwa vichache kwa sababu ya tahadhari inayo endelea kutiliwa mkazo huenda kinyume na hapo ingekuwa mara tatu ya hivyo unavyo sikia
Pia wenzetu hawana ujinga ujinga wa kuficha ficha takwimu kwenye mambo sensitive , yawezekana tanzania tunakufa mara tatu ya wao ila ukweli unakwepeshwa kwa maslahi ya mtu mmoja pekee.
Kama huko.wanakufa 2500 kwa siku ma hapa mkafa 2 kwa siku anayetakiwa kuchukua tahadhali zaidi ni nani?
Watu kama ninyi mlitakiwa kufa ili mkatie ushuhuda huko ahela.