Baada ya wagonjwa wa Nimo.. nia au Co... oona kufariki, Wengi ya wale wanaouguza wanafariki baadae ambao wengi ni ndugu wa marehemu Dada, Kaka, Mke, watoto na majirani wanakwisha
Kutokuchukua tahadhari kumegharimu wauguzaji wengi sana, Baada ya mgonjwa kufariki wanaofuatia ni wauguzaji
Madaktari wameshaingiwa na hofu, Hawawezi kusema ukweli tena wameamua liwalo na liwe,Unaambiwa na daktari mgonjwa wako anaumwa kifua na kubanwa mbavu au Nimo.. nia kali, Baadae mgonjwa anafariki, Wauguzaji wengi wanakwisha na co... ona kwa kupotoshwa na madaktari ambao wamegeuka wanasiasa
Msiba ni mchungu ukiwa kwako ukiwa kwa jirani unaendelea na ratiba zako
Tusidanganywe na madaktari kuwa mgonjwa anaumwa kifua cha kawaida na hivyo kujiachia kumuhudumia bila barakoa au gloves tunakwisha
Huko Njombe, Askofu msaidizi kutoka KKKT usharika wa Songea alikwenda kuendesha misa ya co.. oona Njombe, Baada ya hapo huyo Askofu amepoteza maisha na zaidi ya wauguzaji kumi na watu wa karibu wa mgonjwa nao wamekwisha kutokana na co... ona au ugonjwa wa Ni.. monia kali