Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kwa taarifa.
Ukienda hospitali unakuta kuna vifaa vya kunawia, wanakuambia magonjwa ya kuambukiza ni mengi hakikisha unanawa.
Ukweli ni huo imebakia tu kuchukua tahadhari mwenyewe no wayHamna kitu kinaniuma Kama Raisi wa nchi kufanyia hili janga mzaha na kuwa na kebehi.
Asiweke lockdown ila asisitize watu kujikinga na huu ugonjwa. Ata Kama watu wanakufa wachache, uhai wa mtu mmoja unathamani Sana.
CHUKUA TAHADHARI CORONA IPO NA INAUA KWELI KWELI.
Ipo sana. Kama mtu haaamini aende hospitali ya amana watu wanaumwa lakini hawambiwi ni nini,ila wanatumia oxygen (nina ndugu hapo) usiku kuna mzee mmoja kafa alikua anatumia oxygen pia
Kwaiyo serikari iwaambie Wazee wajifungie ndani .
Hakika mkuu neno la bwana lihimidiwe.