#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Hapa mitaani kwangu misiba ni mingi mpaka tunashindwa jigawa wapi tuende na wapi tusiende.Uamuzi umefikiwa misiba iwe inaunganishwa kama ni marehemu watatu watu wanakusanyika wote sehemu moja
 
Hapa mitaani kwangu misiba ni mingi mpaka tunashindwa jigawa wapi tuende na wapi tusiende.Uamuzi umefikiwa misiba iwe inaunganishwa kama ni marehemu watatu watu wanakusanyika wote sehemu moja
Ni mtaa gani huo boss wangu! Poleni lakini!
 
Ni kweli kabisa hata mimi mtaani kwangu hali ni vile vile tu wagonjwa ni wakawaida tu hivi sisi watanzania ni lini tutaacha kutishana alafu nyuzi kama hizi ndio huwa zinaleta hofu kwenye jamii unakuta mtu unavidalili vya homa tu lkn kwasababu ya hofu basi unaanza kuwaza ni corona hivi maradhi mengine hakuna?
Nipo hospt magonjwa yale yale, Hakuna jipya mpaka sasa
 
Hali ni mbaya sana watu wanakufa.. Mtaani kwangu walifariki wazee 3 kwa kufuatana wote ni watumishi wa umma walikua Dodoma. Lakini kama raia tunapaswa kuchukua tahadhari tusingoje Rais au mamlaka ziseme. Leo utaona kwenye kumbi za starehe watu wanavyojazana hawajali hata.. Kidimbwi na baa za maeneo ya Tabata watu hawajali kabisa
 
Jirani zangu wawili tayari, wote walimu,nadhani shule zifungwe tena.kama walinu wana corona, maana yake wanafunzi pia wako hatarini, huyu mmoja na mkewe anaugua nyumbani, yeye na mwalimu mwenzake wamelazwa,

Hawajapimwa kuthibitishwa ni yenyewe,lakini wana dalili zote za corona.
 
Watu wanakata kamba kinoma especially wazee.

Sasa unaona kumbe ni wazee[emoji15]hivi mlitegemea hao wazee tungeendelea tu kuwa nao pamoja mpaka lini?

Kwa mfano mzee maalimu anamiaka 78 ametangulia mbele za haki kwenye akili zetu tayari tumejenga dhana kuwa amekufa sababu ya corona ok inaweza kuwa kweli lkn muangalie na umri jaman...

Alafu kitu kingine ndugu watanzania wenzangu naombeni tusijisahau sisi ni wafu wa baade kikubwa tujiandae tu na wale wakubwa wenzangu huu ni wakati wa kujiuliza tunawaaachaje waliobaki na sio kusema corona tu
 
Korona inawamaliza sana wazee,vijana ndio wanawapelekea corona wazee majumbani.
 
Kusema ukweli tangu mwaka huu uanze katika mtaa wetu amekufa jamaa mmoja tu ambae nae alikuwa analewa sana mipombe mikali alafu hali.
 
Ni vitu vya kawaida... Death cant be escaped
We will all die. It was Enoch and also Elijah who were ascended to heaven only. Jesus once tested death and resurrected to heaven.
Mi mjomba wangu na jirani yangu last week kwa changamoto za kupumua wamekwenda.
 
Jirani zangu wawili tayari, wote walimu,nadhani shule zifungwe tena.kama walinu wana corona, maana yake wanafunzi pia wako hatarini, huyu mmoja na mkewe anaugua nyumbani, yeye na mwalimu mwenzake wamelazwa,

Hawajapimwa kuthibitishwa ni yenyewe,lakini wana dalili zote za corona.

Kwanza jiulize hizo shule unategemea zitafungwa mpaka lini na je vipi kuhusu ajira za hao walimu watakao kuwa nyumbani kwa kipindi chote hicho kuna watu wanamikopo bank italipika vipi ndugu yangu

Wenzetu wenye lockdowns wanatamani kutoka huko kenya juzi wameamua kufungulia shule zao alafu sisi ndio tuzifunge[emoji15]kwani ndugu yangu unafikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwili wako

Nahisi wewe utakuwa unaishi kwa wazazi haiwezekani mtu anaejielewa akurupuke kuleta huu upuuzi hivi unaijua athari za lockdowns wewe unadhani tunaweza kujimudu kweli?
 
We will all die. It was Enoch and also Elijah who were ascended to heaven only. Jesus once tested death and resurrected to heaven.
Mi mjomba wangu na jirani yangu last week kwa changamoto za kupumua wamekwenda.
Pole sana!
 
Korona inawamaliza sana wazee,vijana ndio wanawapelekea corona wazee majumbani.

Ndio maana nimekwambia hofu ndio inayotumaliza watanzania naomba niwaulize hivi kile kitendo mwaka jana rais kutangaza kuwa “HAKUNA CHA LOCKDOWNS WALA BABA YAKE NA LOCKDOWNS “na pia akaendelea kuzifungua mashule na mambo ya michezo watu walikuwa hawaendelei kufa na kama walikuwa wanakufa mbn mlikuwa hamshangai tena?

Tunaomba record ya vifo vitokanazo na corona kutoka mwezi wa 6 mpaka mwezi wa kumi na mbili
 
Wizara ya afya imesheheni madaktari, Dr Gwajima, Dr Mollel, Prof Mchembe na Prof Makubi wote ni madaktari hivyo katika kadhia ya Corona tuwaamini na tuwape muda watatuvusha.

Prof Makubi ambaye ni mganga mkuu wa serikali alishatuasa tusisubiri matamko bali tuchukue tahadhari.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwanza jiulize hizo shule unategemea zitafungwa mpaka lini na je vipi kuhusu ajira za hao walimu watakao kuwa nyumbani kwa kipindi chote hicho kuna watu wanamikopo bank italipika vipi ndugu yangu

Wenzetu wenye lockdowns wanatamani kutoka huko kenya juzi wameamua kufungulia shule zao alafu sisi ndio tuzifunge[emoji15]kwani ndugu yangu unafikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwili wako

Nahisi wewe utakuwa unaishi kwa wazazi haiwezekani mtu anaejielewa akurupuke kuleta huu upuuzi hivi unaijua athari za lockdowns wewe unadhani tunaweza kujimudu kweli?
Umeandika maneno mengi,halafu no sense!
Wapi nimeongela lockdown?
 
Habari za Jioni wapendwa katika bwana.

Watu wanaondoka kama masikhara vile kwa huu ugonjwa wa shida ya kupumua, tunapata taarifa za watu maarufu tu, pengine wapo wengi wasio maarufu wanakwenda pia ila taarifa hazitolewi.

tupeane update Apo ulipo, familia yako mtaani kwako, wilaya, mkoa hali ikoje?

Binafsi kwa familia yangu hatujakutana na iyo changamoto na hata mtaani kwetu pia mambo ni shwari kabisa.

Kama Yupo ambae ameshuhudia ndugu, jamaa au rafiki akiwa kwenye hii changamoto, au ambae amekutwa na hii changamoto tusaidie situation ilikuwaje?
Hali ni mbaya, mimi nimwpoteza tayari
 
Ndio maana nimekwambia hofu ndio inayotumaliza watanzania naomba niwaulize hivi kile kitendo mwaka jana rais kutangaza kuwa “HAKUNA CHA LOCKDOWNS WALA BABA YAKE NA LOCKDOWNS “na pia akaendelea kuzifungua mashule na mambo ya michezo watu walikuwa hawaendelei kufa na kama walikuwa wanakufa mbn mlikuwa hamshangai tena?

Tunaomba record ya vifo vitokanazo na corona kutoka mwezi wa 6 mpaka mwezi wa kumi na mbili
Kipindi kile vifo vilipungua na hata sasa ikifika may mwishoni vitaanza kupungua pia.
 
Kuna kupindi (wakati corona imepamba moto mwezi wa saba 2020 ) nilikuwa sihisi harufu yeyote hata perfume kali kiasi gani,kitu cha kushangaza hata niliokuwa nakaa nao kribu walikuwa na hali kama yangu hatukujua tatizo lilianza kwa nani,tulidhani mafua tu lkn baadae nikajakuambiwa ilikuwa corona...
 
Umeandika maneno mengi,halafu no sense!
Wapi nimeongela lockdown?

Wakati naandika nilijua utanijibu hili jambo lkn ndio tuseme zile hoja nyingine hukuziona au dharau?ok nimeona niliingize hilo swala la lockdowns kama sehemu ya mifano kwa niaba ya wengine kwakuwa dhana nyingi zilizopo vichwani kwa watu wengi ni kuwepo na lockdowns walau za muda mfupi na inawezekana hata wewe matamanio yako yanawezekana yakawa humo humo coz kitendo cha kutaka walau eti shule zifungwe iyo ni moja ya lockdowns
 
Back
Top Bottom