EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Hapa mitaani kwangu misiba ni mingi mpaka tunashindwa jigawa wapi tuende na wapi tusiende.Uamuzi umefikiwa misiba iwe inaunganishwa kama ni marehemu watatu watu wanakusanyika wote sehemu moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtaa gani huo boss wangu! Poleni lakini!Hapa mitaani kwangu misiba ni mingi mpaka tunashindwa jigawa wapi tuende na wapi tusiende.Uamuzi umefikiwa misiba iwe inaunganishwa kama ni marehemu watatu watu wanakusanyika wote sehemu moja
Nipo hospt magonjwa yale yale, Hakuna jipya mpaka sasaNi kweli kabisa hata mimi mtaani kwangu hali ni vile vile tu wagonjwa ni wakawaida tu hivi sisi watanzania ni lini tutaacha kutishana alafu nyuzi kama hizi ndio huwa zinaleta hofu kwenye jamii unakuta mtu unavidalili vya homa tu lkn kwasababu ya hofu basi unaanza kuwaza ni corona hivi maradhi mengine hakuna?
Watu wanakata kamba kinoma especially wazee.
Korona inawamaliza sana wazee,vijana ndio wanawapelekea corona wazee majumbani.Sasa unaona kumbe ni wazee[emoji15]hivi mlitegemea hao wazee tungeendelea tu kuwa nao pamoja mpaka lini?
Kwa mfano mzee maalimu anamiaka 78 ametangulia mbele za haki kwenye akili zetu tayari tumejenga dhana kuwa amekufa sababu ya corona ok inaweza kuwa kweli lkn muangalie na umri jaman...
Alafu kitu kingine ndugu watanzania wenzangu naombeni tusijisahau sisi ni wafu wa baade kikubwa tujiandae tu na wale wakubwa wenzangu huu ni wakati wa kujiuliza tunawaaachaje waliobaki na sio kusema corona tu
We will all die. It was Enoch and also Elijah who were ascended to heaven only. Jesus once tested death and resurrected to heaven.Ni vitu vya kawaida... Death cant be escaped
Jirani zangu wawili tayari, wote walimu,nadhani shule zifungwe tena.kama walinu wana corona, maana yake wanafunzi pia wako hatarini, huyu mmoja na mkewe anaugua nyumbani, yeye na mwalimu mwenzake wamelazwa,
Hawajapimwa kuthibitishwa ni yenyewe,lakini wana dalili zote za corona.
Pole sana!We will all die. It was Enoch and also Elijah who were ascended to heaven only. Jesus once tested death and resurrected to heaven.
Mi mjomba wangu na jirani yangu last week kwa changamoto za kupumua wamekwenda.
Korona inawamaliza sana wazee,vijana ndio wanawapelekea corona wazee majumbani.
Muulize jimmy carter au prince PhilipNani amekuambia?
Umeandika maneno mengi,halafu no sense!Kwanza jiulize hizo shule unategemea zitafungwa mpaka lini na je vipi kuhusu ajira za hao walimu watakao kuwa nyumbani kwa kipindi chote hicho kuna watu wanamikopo bank italipika vipi ndugu yangu
Wenzetu wenye lockdowns wanatamani kutoka huko kenya juzi wameamua kufungulia shule zao alafu sisi ndio tuzifunge[emoji15]kwani ndugu yangu unafikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwili wako
Nahisi wewe utakuwa unaishi kwa wazazi haiwezekani mtu anaejielewa akurupuke kuleta huu upuuzi hivi unaijua athari za lockdowns wewe unadhani tunaweza kujimudu kweli?
Hali ni mbaya, mimi nimwpoteza tayariHabari za Jioni wapendwa katika bwana.
Watu wanaondoka kama masikhara vile kwa huu ugonjwa wa shida ya kupumua, tunapata taarifa za watu maarufu tu, pengine wapo wengi wasio maarufu wanakwenda pia ila taarifa hazitolewi.
tupeane update Apo ulipo, familia yako mtaani kwako, wilaya, mkoa hali ikoje?
Binafsi kwa familia yangu hatujakutana na iyo changamoto na hata mtaani kwetu pia mambo ni shwari kabisa.
Kama Yupo ambae ameshuhudia ndugu, jamaa au rafiki akiwa kwenye hii changamoto, au ambae amekutwa na hii changamoto tusaidie situation ilikuwaje?
Kipindi kile vifo vilipungua na hata sasa ikifika may mwishoni vitaanza kupungua pia.Ndio maana nimekwambia hofu ndio inayotumaliza watanzania naomba niwaulize hivi kile kitendo mwaka jana rais kutangaza kuwa “HAKUNA CHA LOCKDOWNS WALA BABA YAKE NA LOCKDOWNS “na pia akaendelea kuzifungua mashule na mambo ya michezo watu walikuwa hawaendelei kufa na kama walikuwa wanakufa mbn mlikuwa hamshangai tena?
Tunaomba record ya vifo vitokanazo na corona kutoka mwezi wa 6 mpaka mwezi wa kumi na mbili
Umeandika maneno mengi,halafu no sense!
Wapi nimeongela lockdown?