#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Unategemea Waganga wa kienyeji wakuvushe? Hao wote kazi imewashinda wanatakiwa wa_resign wao pamoja na boss wao.
 
Anza kupambana na hofu kwanza,...ukiiweza hofu, huo ugonjwa unakuja na kusepa.... Zizzou kapona, Saddy omane kapona,
Mwana FA kapona,...wewe nani usipone????? Jiweke sawa kisaikolojia na kimwili, tutashinda
Wamesahau zamani kila siku tulikuwa tunasikiliza matangazo ya vifo kwenye TBC haya na ile tuite ugonjwa gani?
 
Wife usiku wa kuamkia leo hali ilikua sio hali,mwili ulikua wa moto sio kawaida,na siku mbili zilizopita alikua analalamika mwili wote unamuuma pamoja na kichwa,nilipata mawazo sio ya kawaida moja haikai mbili haikai moyoni namuomba mungu aniepushie kikombe hiki kama ni corona,asubuh nikambeba nikamwambia tunaenda hospitali,kacheck tatizo ni maralia na mkojo ni mchafu,kapatiwa dawa sasa hivi hali ni shwari.
Kwahiyo pmj na corona magonjwa mengine bado yapo.
Muhimu tuchukue tahadhari wakuu
Mimi binafsi wiki mbili zilizopita nilijua nimeshaukwaa maana si kwakubana mbavu vile na kushindwa kupumua usiku huku joto likiwa juu, kizunguzungu with terrible headache. Hapo nimeenda hospitali nimekutwa na Malaria na typhod kwa pamoja, Sasa kwasababu sijawahi kuumwa typhod nikawa nachukulia labda zile symptoms ziko associated na typhod. Niseme ukweli ilifikia kipindi nikahisi hii ni Corona + hayo magonjwa niliyokutwa nayo pia. Sikuwahi kuumwa kwa design Ile maishani mwangu, usiku mawazo mengi, ubongo unanipeleka kufikiria kujiua (lucid dreams) kabla sijakutwa na kadhia ya mateso mapafu yakishafail maana hata kula nilikuwa siwezi. Nikajipeleka kwa b mkubwa maana sikuweza kujihudumia mwenyewe baada ya wiki na kuona hakuna mabadiriko. Nikapigwa nyungu, juice ya malimao na tangawizi kwa sana, baada ya siku mbili mbele nikamuomba mama anipeleke hospitali nikiwa nimekata tamaa kabisa. Nikamweleza Dr hali ninayopitia na dozi ninazotumia, nikapima pressure, na magonjwa yote kuanzia malaria, Typhod na UTI + walichukua damu mkononi kwaajiri ya vipimo vingine. Nikachomwa sindano ya kupunguza homa wakati nasubiri majibu. Nashukuru Ile sindano ilinipa ahueni.
Naenda kumuona dr, ananiambia sina ugonjwa wowote na nisitishe zile dozi nilizokuwa natumia baada ya kwenda Ile hospitali ya mara ya kwanza. Akaniandikia sindano za masaa na mucolin + vidonge flani (jina nimelisahau) baada ya siku tatu tu niko fresh kabisa.
Hapa napambana na kula ingawa Sina hamu kabisa, maji mengi kunirudisha mwili katika hali yake maana nahisi dawa bado zipo mwilini coz mwili unauma uma mpaka sasa.
 
Kwetu kwa kweli hari poa kabisa Ila nawashangaa wat wa dar mnalaumu sana afu jioni mnajazana mwensokasi badala uchukue bodaboda
 
Hawa wanaokunywa mkorogo wa kachumbari hadharani na kutuambia ni dawa ya corona ndio unaowategemea watuvushe?
Mollel!! Seriously?
Genge lililoweka taaluma zao kando na kufuata maagizo ya mkemia juisi ya korosho ndio watuvushe?
Ukapimwe .......
 
Mimi binafsi wiki mbili zilizopita nilijua nimeshaukwaa maana si kwakubana mbavu vile na kushindwa kupumua usiku huku joto likiwa juu, kizunguzungu with terrible headache. Hapo nimeenda hospitali nimekutwa na Malaria na typhod kwa pamoja, Sasa kwasababu sijawahi kuumwa typhod nikawa nachukulia labda zile symptoms ziko associated na typhod. Niseme ukweli ilifikia kipindi nikahisi hii ni Corona + hayo magonjwa niliyokutwa nayo pia. Sikuwahi kuumwa kwa design Ile maishani mwangu, usiku mawazo mengi, ubongo unanipeleka kufikiria kujiua (lucid dreams) kabla sijakutwa na kadhia ya mateso mapafu yakishafail maana hata kula nilikuwa siwezi. Nikajipeleka kwa b mkubwa maana sikuweza kujihudumia mwenyewe baada ya wiki na kuona hakuna mabadiriko. Nikapigwa nyungu, juice ya malimao na tangawizi kwa sana, baada ya siku mbili mbele nikamuomba mama anipeleke hospitali nikiwa nimekata tamaa kabisa. Nikamweleza Dr hali ninayopitia na dozi ninazotumia, nikapima pressure, na magonjwa yote kuanzia malaria, Typhod na UTI + walichukua damu mkononi kwaajiri ya vipimo vingine. Nikachomwa sindano ya kupunguza homa wakati nasubiri majibu. Nashukuru Ile sindano ilinipa ahueni.
Naenda kumuona dr, ananiambia sina ugonjwa wowote na nisitishe zile dozi nilizokuwa natumia baada ya kwenda Ile hospitali ya mara ya kwanza. Akaniandikia sindano za masaa na mucolin + vidonge flani (jina nimelisahau) baada ya siku tatu tu niko fresh kabisa.
Hapa napambana na kula ingawa Sina hamu kabisa, maji mengi kunirudisha mwili katika hali yake maana nahisi dawa bado zipo mwilini coz mwili unauma uma mpaka sasa.
Pole sana mkuu,nina imani utakua sawa soon,hii corona inasababisha hata vile viugonjwa tulivyokua tunavichukulia poa ukivipata sahvi ukivipata ndo unaona huna hata masaa 24 utalamba udongo.
Ni kumpambana na hofu zetu pmj na kwenda kwa watalaamu kwa msaada zaidi
 
Ni kweli kabisa. Cha msingi ni kuondoa hofu na kuendelea kuchukua tahadhali kadri tushauriwavyo.
 
Kwetu kwa kweli hari poa kabisa Ila nawashangaa wat wa dar mnalaumu sana afu jioni mnajazana mwensokasi badala uchukue bodaboda
Hapo ndo najiuliza, huu ugonjwa umechagua Maeneo fulani pekeake? Vipi kiwilaya kuna tetesi zozote zawatu kwenda na hili janga?
 
Wizara ya afya imesheheni madaktari, Dr Gwajima, Dr Mollel, Prof Mchembe na Prof Makubi wote ni madaktari hivyo katika kadhia ya Corona tuwaamini na tuwape muda watatuvusha.

Prof Makubi ambaye ni mganga mkuu wa serikali alishatuasa tusisubiri matamko bali tuchukue tahadhari.

Maendeleo hayana vyama!
Tatizo la utawala wa awamu ya tano ni presidaa tulionaye,hakuna waziri mwenye kutumia taaluma yake,wote wanasoma ramani bosi anataka nini,hatakama anachokitaka bosi kwa mujibu wa taaluma zao hakifai mawaziri wanamfurahisha kwa hofu yakutumbuliwa.

Waziri tena dk kwa taaluma anakwenda kwenye msiba uliosababishwa na corona havai barakoa kisa bosi wake hataki,yani njaa ni mbaya sana.

Hivyo kwa sababu hizo hii hoja yako haina mantiki yoyote kwani kwenye utawala huu tuna presidaa ambaye anajua kila kitu,mawaziri kazi yao kufuata miongozo.
 
Kwa wenye ujuzi na hili naomba mtusaidie.

Inachukua muda gani mtu kupata shida ya upumuaji tokea apate ivi virusi, Pia ni wote wenye hivi virusi lazima watapata shida ya upumuaji?

Nauliza ivyo kwa sababu wengi wanaopatwa na dalili za maumivu ya kichwa na mwili kuchoka ambazo zinafanana na dalili za cvd2x3x3+1 wanasema hawajakutana na iyo changamoto ya upumuaji, na wakienda hospital majibu ni UTI au Malaria, wakipata dawa wanapona kabisa.
 
Wizara ya afya imesheheni madaktari, Dr Gwajima, Dr Mollel, Prof Mchembe na Prof Makubi wote ni madaktari hivyo katika kadhia ya Corona tuwaamini na tuwape muda watatuvusha.

Prof Makubi ambaye ni mganga mkuu wa serikali alishatuasa tusisubiri matamko bali tuchukue tahadhari.

Maendeleo hayana vyama!
Dk Makubi is right.
 
Ni kweli kabisa hata mimi mtaani kwangu hali ni vile vile tu wagonjwa ni wakawaida tu hivi sisi watanzania ni lini tutaacha kutishana alafu nyuzi kama hizi ndio huwa zinaleta hofu kwenye jamii unakuta mtu unavidalili vya homa tu lkn kwasababu ya hofu basi unaanza kuwaza ni corona hivi maradhi mengine hakuna?

Ndugu yangu usiseme kutishana, ongea Kwa upande wako na Asante mungu Kwa neema mlionayo kwenye familia yenu na mtaani kwenu. Lakin Huku mbeya hali si hali. Kila kukicha nasikia msiba nyumba ya tatu. Nafikili week nzima Hii nimeenda msibani kasoro leo.
 
Hapa mitaani kwangu misiba ni mingi mpaka tunashindwa jigawa wapi tuende na wapi tusiende.Uamuzi umefikiwa misiba iwe inaunganishwa kama ni marehemu watatu watu wanakusanyika wote sehemu moja

Watu wanasema et tunatishana, hali ni mbaya kwa mtaani kwangu.
 
Hali ni mbaya sana watu wanakufa.. Mtaani kwangu walifariki wazee 3 kwa kufuatana wote ni watumishi wa umma walikua Dodoma. Lakini kama raia tunapaswa kuchukua tahadhari tusingoje Rais au mamlaka ziseme. Leo utaona kwenye kumbi za starehe watu wanavyojazana hawajali hata.. Kidimbwi na baa za maeneo ya Tabata watu hawajali kabisa

Kweli Hata Huku wengi ni wafanyazi wa uma.
 
Back
Top Bottom