Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hapana. Wanapata wazee, wafanyakazi wa sekta kama za afya supermarkets na wenye magonjwa kwanza. Mimi simo makundi hayo.umeshapata chanjo?
Nime chill tu home.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Wanapata wazee, wafanyakazi wa sekta kama za afya supermarkets na wenye magonjwa kwanza. Mimi simo makundi hayo.umeshapata chanjo?
club na bar zinafunguliwa au bado lockdown??huko corona mmeshaizoeaHapana. Wanapata wazee, wafanyakazi wa sekta kama za afya supermarkets na wenye magonjwa kwanza. Mimi simo makundi hayo.
Nime chill tu home.
Clubs zinajiongeza kuwa restaurants.club na bar zinafunguliwa au bado lockdown??huko corona mmeshaizoea
dunia haiwezi msikiliza naibu waziri wa afya.. atawaongezea nini?Hivi ulimsikia naibu waziri wa afya alipokuwa anazungumza na watangazaji wa Wasafi Redio? Je alikuwa anaongea Siasa au sayansi ya tiba? Hoja zake zimesimama kisayansi na dunia inajifanya kuwa haijamsikia kumbe imekosa namna ya kujibu hoja zake!!
How come those whom you mentioned here are Partners in hypocrisy and sadism?Tanzania ya sasa kuna mgawanyiko mkubwa sana kuhusiana na ugonjwa wa corona ,Tunaishi katika ulimwengu tofauti kutokana na mataishi na vitendo vyao . Nitaanza na orodha ya majina machache...
Aisee!Serikali iache mbwembwe kwenye uhalisia wa afya ya wananchi. Corona au covid-19 haijawahi kwisha pamoja na kupigiwa sana chapuo,zaidi ni kuichochea kwa kuwajengea ujasiri wananchi kuwa ugonjwa huo umetokomezwa...
Wewe kweli Eng ZuzuSijasoma mpaka mwisho , Ila haina haja ya kukiri mana serikali haijafanya kosa, wananchi tunaenjoy life tu now, sababu ya maamuzi bora ya serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi sikiliza ujinga wakoWewe kweli Eng Zuzu
Je, ni kweli chanjo braza unaiamini ,by the way pole sie kiboko msheli bado tunazurura hata bila barakoa huku magomeniNimejisajili siku nyingi nasubiri kuitwa tu.
Kabla ya hapo nacheza ndani kama mwali anasubiri ngoma ya kutoka.
Unanipa pole kwa sababu gani?Je, ni kweli chanjo braza unaiamini ,by the way pole sie kiboko msheli bado tunazurura hata bila barakoa huku magomeni
stay safe mzee.sijajua kama marekani inaruhusu raia wa kigeni kuingia hukoClubs zinajiongeza kuwa restaurants.
Mwezi ujao nitafikisha mwaka mmoja wa kufanya kazi kutoka nyumbani na kuwa natoka nje mara moja moja sana.
Kiukweli mimi sioni tabu sana kuwa ndani, katika miaka 10 iliyopita, naona mitano nimefanyia kazi kutoka nyumbani.
Sipendi kujimix sana anyway.
Kuna dada mmoja nilikuwa namsikiliza kwenye BBC World Service. Alikuwa anasema kama Covid-19 itasaidia kupunguza watu waliokuwa wanampa hugs katika kusalimiana, atashukuru sana.
I kinda feel like I needed time to be home, watch movies, evqluqte my investment portfolio, reflect, read, not be all over the place shopping for the 600th shoe or some crazy shit like that I don't even need, etc.
Habari zote ziko online hapa COVID-19 and Your Healthstay safe mzee.sijajua kama marekani inaruhusu raia wa kigeni kuingia huko
Sasa kama unajiita Zuzu nani alaumiwe?Siwezi sikiliza ujinga wako
Hao wanaoanika data mbona hazijawasaidia kuondoa corona nchini kwao? Data zinatumiwa na mabeberu kuleta hofu!! Hatutaki!Wewe data zako za maambukizi ziko wapi?
Msiwe wajinga wajinga!
Inabidi mrudi Praimari kuelewa misingi ya sayansi.Hao wanaoanika data mbona hazijawasaidia kuondoa corona nchini kwao? Data zinatumiwa na mabeberu kuleta hofu!! Hatutaki!