Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Nani anajiita zuzu, hujui kusomaSasa kama unajiita Zuzu nani alaumiwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anajiita zuzu, hujui kusomaSasa kama unajiita Zuzu nani alaumiwe?
Basi tukuite Ze Duduz!Nani anajiita zuzu, hujui kusoma
mimi pia sielewi na ndo maswali najiuliza. Ila kwenye ndege chance ni ndogo sana trust me. Wanachukua precaution zote mhimu kuliko ukiwa huko TZ. Mungu atusaidie.Tutajuaje labda ulikipata ukiwa kwenye ndege, kwamba unataka kusema maabara yetu ni hamna kitu kabisa Yani?
Itakuwa wanavipimo feki na wanatupiga Vita ya kiuchumi.mimi pia sielewi na ndo maswali najiuliza. Ila kwenye ndege chance ni ndogo sana trust me. Wanachukua precaution zote mhimu kuliko ukiwa huko TZ. Mungu atusaidie.
Sawa. Hizi mentality za kijinga zinaigharimu nchi. Mawazo yako hadi wasomi maprofessa na madaktari bingwa wanawaza kama wewe. Sasa wewe ni wa kukusamehe. Tuendelee kufa labda huko mbele tunaona mwangazaItakuwa wanavipimo feki na wanatupiga Vita ya kiuchumi.
mimi pia sielewi na ndo maswali najiuliza. Ila kwenye ndege chance ni ndogo sana trust me. Wanachukua precaution zote mhimu kuliko ukiwa huko TZ. Mungu atusaidie.
Definately mkuu ndo mana sample yangu na za wengine zikapelekwa for further investigation. Kuna Tanzanian Kibao hapa wana corona mtu mpumbavu pekee ataamini ni vita ya kiuchumi.Sorry kama ulishalijibu hili swali...Vipi unaonyesha dalili zote za kodiv19 SA variant?
Hii ni vita ndugu, shirika moja limetangaza kuingiza kiasi Cha tilion 41.6 kwa kuuza chanjo ya uviko hybrid 21.Sawa. Hizi mentality za kijinga zinaigharimu nchi. Mawazo yako hadi wasomi maprofessa na madaktari bingwa wanawaza kama wewe. Sasa wewe ni wa kukusamehe. Tuendelee kufa labda huko mbele tunaona mwangaza
Whatever the case kama kuingiza hela bado kuna makampuni mengi tu hata yanayozalisha dawa mseto wanapata hizo hela. Hata kama ni vita inatakiwa kupigana sio kupuuza.Hii ni vita ndugu, shirika moja limetangaza kuingiza kiasi Cha tilion 41.6 kwa kuuza chanjo ya uviko hybrid 21.
Kwani huko nje wanachanjwa wanaume peke yao, wanawake hawachanji?Hofu ya chanjo za corona haipo Tanzania peke yake bali mpaka miongoni mwa madaktari kwenye nchi ambazo zimetengeneza chanjo hizo.Kutokana na hali hiyo ziko nchi zinatumia polisi kuwalazimisha watu kuchanjwa.
Miongoni mwa hofu hizo ni kuwa hizi chanjo hazijafanyiwa utafiti wa kutosha kama inavyokuwa kawaida kwa chanjo nyengine na kibaya zaidi zimetumia teknolojia mpya ya mrn kuingilia mfumo wa kijenetiki. Kuna wasiwai kuwa baada ya miaka michache wale waliochanjwa kwa ajili ya corona wakapata athari tofauti na makusudio na ikawa si rahisi kurejesha hali zao za awali.Baadhi ya aina za chanjo zaweza kuwaathiri wanawake na baadhi ya chanjo zikawaathiri wanaume.
Moja ya athari hizo yawezekana waliopata chanjo hizi wakapoteza uwezo wa kuzaana.Kwa wanaume kukosa nguvu na mbegu za uzazi na kwa wanawake kukauka mayai ya uzazi kupelekea kushingwa kubeba mimba.
Ikitokea hali hiyo ndipo wakati wale watu wa nchi zilizokataa kuwachanja watu wao kwa lazima watukuwa ni mali sana duniani.Tanzania ikiwa moja ya nchi hizo kunaweza kukawa na harakati kubwa ya wanaume wa Tanzania kusafirishwa kimagendo kwenda nchi za wazungu ili wakaoe idadi ya wake wanaowataka kwa ajili ya kuhuisha kizazi cha binadamu kwenye miji ambayo wanyama na wadudu watakuwa wameongezeka sana kutokana na kupungua kwa watu.
Kwanini itakuwa ni safari za kimagendo kwa sababu na Tanzania yenyewe itakuwa inawazuia raia zake wasiondoke.Kunaweza kukawa na taarifa za mabasi yaliyojaa vijana yakikamatwa mipakani kuelekea nchi jirani ambako ndege zitakuwa zinawasubiri vijana hao wakaozeshwe wanawali wa nchi hizo.