#COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona
Unaifahamu death rate ya Taifa na sababu zake.

Mkuu unataka kusema Moshi ndiyo reference ya vifo?...au kwa mtu asiyefahamu wait wanavyokufa and aka one Moshi?....kichwa cha habari kinaleta taharuki sana hapo.

Halafu anapotaka kuweka heading kama hizo andika fact za kutosha utaeleweka vizuri acha kuandika watu hofu bila fact....watu wanakufa ndiyo lakini siyo kwa kutia chumvi unakotaka wewe.

Unakumbuka Wilaya ya Makete ilivyopigwa kwa Ukimwi taarifa zilisemaje?....leta facts acha rumours
 
Unaifahami death rate ya Taifa na sababu zake.
Mkuu unataka kusema Moshi ndiyo reference ya vifo?...au kwa mtu asiyefahamu wait wanavyokufa and aka one Moshi?....kichwa cha habari kinaleta taharuki sana hapo...

Kwamba taarifa za vifo zinaleta taharuki?

Si ndiyo haya hapa:

Hiiiiii bagosha!
 
Kwamba taarifa za vifo zinaleta taharuki?

Si ndiyo haya hapa:

Hiiiiii bagosha!
Mkuu hayo ni maoni siyo facts
 
Tuacheni utani huu ugonjwa mikoa mingine Kuna nafuu ukienda Moshi Kijiji kimoja kwa siku wanaweza wakafa watu mpaka watatu.pengine Ni kwa sababu ya muingiliano wa pale himo ila bado wengine wanatoka huko mikoa mbalimbali.imefikia mpaka wachaga wanaogopa kurudi nyumbani..acheni tu tufe maana si mlishasema ugonjwa hamna Sasa mnaona aibu kusema upo.
Aise ni kweli wifi yangu aliniambia kule watu wanakufa sana, acha maiti zinazotoka mikoa mingine.

Alisema sasa kila mtu anaogopa kwenda kuzika.

Hali siyo nzuri,
 
Aise ni kweli wifi yangu aliniambia kule watu wanakufa sana, acha maiti zinazotoka mikoa mingine.

Alisema sasa kila mtu anaogopa kwenda kuzika.

Hali siyo nzuri,

Kama kawaida malaika washetani watakupinga hata bila aibu watengenezeshe sababu za vifo ikibidi wengine hata iwe wamekufa tu kwa ajali za boda boda.

Aibu yao!
 
Watu wa moshi wana shida sana kiafya..mapombe wao..ulaji mbovu hasa nyama..visusio unategemea watabaki salama...wengi wao wana visukari unene ulio pitiliza..ombi langu watu wamoshi hata kama mnapata hela mjari pia na afya zenu..korona ipo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Waswahili wanasema: "Ajidhaniaye kasimama na ajiangalie asije akaanguka."

Kwa hiyo wewe mkuu umesimama wala huu ugonjwa hauwezi kukuta kwa maana kwa hela zako wewe unajali sana afya yako. Au siyo?

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Wengine ni stress za maisha na kukosa pesa. Na moshi wakwe zetu kule bila hela wanahisi hawawezi kuishi.... Unategemea nini sasa wakizikosa.
 
Waswahili wanasema: "Ajidhaniaye kasimama na ajiangalie asije akaanguka."

Kwa hiyo wewe mkuu umesimama wala huu ugonjwa hauwezi kukuta kwa maana kwa hela zako wewe unajali sana afya yako. Au siyo?

Au nasema uongo ndugu zangu?
Hapana sijasimama ila ukweli lazima usemwe risk factors zinaeleweka..na watu wa moshi wengi wao wamo katika hizo risk factors..wataarifu ndugu zako..tuendelee kuchukua tahadhari

Umeruka kimanga eeh? Kumbe na wewe uko kwenye boat hii hii iliyoongea pia na kina Mpango au yule balozi eh?

Au wewe ni hii mitu hapa:

IMG_20210218_174254_207.jpg

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Sisi kuna mzee wa jirani hapa, alifariki kwa Covid-19 baada ya kuugua siku tatu, ila cha ajabu kwenye cheti cha kifo RITA wameandika amekufa kwa stroke.
Covid ina damage organs na hata ukipona huponi kabisa unakuwa mgonjwa maisha.Complication ya Covid ina kufanya update stroke ,liver cancer ,kidney cancer .Ndio maana ukiwa mgonjwa mgonjwa ,age 69-90 ,diebetic blood type A,B,AB be careful
 
Unaifahamu death rate ya Taifa na sababu zake.
Mkuu unataka kusema Moshi ndiyo reference ya vifo?...au kwa mtu asiyefahamu wait wanavyokufa and aka one Moshi?....kichwa cha habari kinaleta taharuki sana hapo...

Kuna watu mna urasimu wa 'standard gauge', na usio wa lazima.

Hizo data unaamrisha na kuzitaka wewe kama chombo gani na ili iweje?

Huyo kaongea kama muongeaji mwingine yeyote tu.
Unapaswa uamini au tena usimuamini na umpuuze,- haikugharimu kitu.

Au wewe Ndata unataka umdake maana imeshasemwa nani wanapaswa kutoa taarifa nawe unataka taarifa za ndani,
Una hatari wewe. 😆

Kama ni kweli hata hivyo, Hiyo si hali nzuri.
 
Back
Top Bottom