Serikali ituambie sasa ni lini na wapi zabuni ya uwekezaji wa bandari ilifanyika?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Profesa Makame Mbarawa amekuwa akisema DP world ilipewa mkataba wa bandari kwa kuwa ilishinda kwenye kuomba zabuni ya uwekezaji wa Bandari (akidai ikizishinda kampuni zingine saba) na wakati huo huo document za mikataba ambazo zimetiwa saini na Professor Mbarawa huyo huyo zinaonyesha DP world walipewa mkataba moja kwa moja bila kupitia mchakato mwingine wowote wa kuomba zabuni baada ya Rais Samia kutembelea Dubai na kutia saini makubaliano ya DP world kuja kuwekeza kwenye bandari yetu.

Kwa kuwa suala la uwekezaji wa bandari ni suala la kisheria, na sheria ya utoaji Zabuni inataka kufanyika mambo kadhaa muhimu ikiwemo.
1. Kutoa tangazo la Zabuni kwenye gazeti la serikali.
2. Kufunguliwa (kuwekwa wazi) kampuni zilizoomba Zabuni.
3. Kushindanishwa (kujadiliwa) kwa Zabuni kwa haki ili kumpata mzabuni mmoja atakayepewa mkataba.
4. Kutangazwa rasmi kwa mshindi wa Zabuni.

Sasa ili kuondoa huu utata, bila kumumunya maneno, tunaitaka sasa serikali ifanye haya;
-Ituambie ni lini na wapi Zabuni za uwekezaji wa bandari yetu ilitangazwa

-Ni lini makampuni yaliyoomba hizo Zabuni yaliwekwa wazi (zabuni ziliwekwa wazi)

-Ni kampuni gani hizo Saba zilizotajwa na Profesa Mbarawa ziliomba kuwekeza kwenye Zabuni za Bandari.

-Ni lini na wapi Zabuni za uwekezaji wa bandari zilifanyika.

-Ni vipi ushindani wa Zabuni ya uwekezaji wa bandari ungekuwa wa haki ikiwa DP world tayari walikuwa wameanza ubia na serikali ya Tanzania kupitia urais wa Tanzania katika kutaka kuwekeza bandarini.
 
Nilikuwa namheshimu sana Prof Mbarawa baada DPW khaaa siamini kama ndio yule Mpemba mpenda haki
 
Mbarawa namuhurumia sana, hana confidence kwasababu anajua ansema uongo, anajua watanganyika wanajua anasema uongo, anashindwa tu kumwambia bosi wake mimi siwezi kuongea tena mbele ya wanahabari.
 
Tanzania nchi ya maajabu leo kila mwananchi kawa mwanasheria, leo kila mtu anataka kuona zabuni kuna mamia ya zabuni yanatoka kila leo lakini hatuna habari ila watu wanasahau kuna kitu kina SSJ( Single source justification) unaweza kutumia kama exception hata SGR imetumika hiyo. Bwawa la Nyerere kuna mtu aliona zabuni ile? manunuzi ya ndege je tuliona zabuni ilitoka labda kwa Boeng, Airbus au bombadier? wakati wa JPM hakuna wanaharakati, wanasiasa au wacha Mungu aliyetoka kuthubutu kusema kitu. JPM alikuwa hana huruma ukivuka mipaka yako. Rais Samia huu upole utamponza sana hii nchi haitaki mtu mpole. CCM imechaguliwa kuongoza nchi siku muda ukiisha wanaopinga waende wachague wanayemtaka na atakayeshinda atafanya maamuzi.
 
Profesa Makame Mbarawa amekuwa akisema DP world ilipewa mkataba wa bandari kwa kuwa ilishinda kwenye kuomba zabuni ya uwekezaji wa Bandari (akidai ikizishinda kampuni zingine saba) na wakati huo huo document za mikataba ambazo zimetiwa saini na Professor Mbarawa huyo huyo zinaonyesha DP world walipewa mkataba moja kwa moja bila kupitia mchakato mwingine wowote wa kuomba zabuni baada ya Rais Samia kutembelea Dubai na kutia saini makubaliano ya DP world kuja kuwekeza kwenye bandari yetu.

Kwa kuwa suala la uwekezaji wa bandari ni suala la kisheria, na sheria ya utoaji Zabuni inataka kufanyika mambo kadhaa muhimu ikiwemo.
1. Kutoa tangazo la Zabuni kwenye gazeti la serikali.
2. Kufunguliwa (kuwekwa wazi) kampuni zilizoomba Zabuni.
3. Kushindanishwa (kujadiliwa) kwa Zabuni kwa haki ili kumpata mzabuni mmoja atakayepewa mkataba.
4. Kutangazwa rasmi kwa mshindi wa Zabuni.

Sasa ili kuondoa huu utata, bila kumumunya maneno, tunaitaka sasa serikali ifanye haya;
-Ituambie ni lini na wapi Zabuni za uwekezaji wa bandari yetu ilitangazwa

-Ni lini makampuni yaliyoomba hizo Zabuni yaliwekwa wazi (zabuni ziliwekwa wazi)

-Ni kampuni gani hizo Saba zilizotajwa na Profesa Mbarawa ziliomba kuwekeza kwenye Zabuni za Bandari.

-Ni lini na wapi Zabuni za uwekezaji wa bandari zilifanyika.

-Ni vipi ushindani wa Zabuni ya uwekezaji wa bandari ungekuwa wa haki ikiwa DP world tayari walikuwa wameanza ubia na serikali ya Tanzania kupitia urais wa Tanzania katika kutaka kuwekeza bandarini.
Professor mbURAWA, hii ni aibu kwa watawala na huu mkataba unazidi kuwadhalilisha
 
Tanzania nchi ya maajabu leo kila mwananchi kawa mwanasheria, leo kila mtu anataka kuona zabuni kuna mamia ya zabuni yanatoka kila leo lakini hatuna habari ila watu wanasahau kuna kitu kina SSJ( Single source justification) unaweza kutumia kama exception hata SGR imetumika hiyo. Bwawa la Nyerere kuna mtu aliona zabuni ile? manunuzi ya ndege je tuliona zabuni ilitoka labda kwa Boeng, Airbus au bombadier? wakati wa JPM hakuna wanaharakati, wanasiasa au wacha Mungu aliyetoka kuthubutu kusema kitu. JPM alikuwa hana huruma ukivuka mipaka yako. Rais Samia huu upole utamponza sana hii nchi haitaki mtu mpole. CCM imechaguliwa kuongoza nchi siku muda ukiisha wanaopinga waende wachague wanayemtaka na atakayeshinda atafanya maamuzi.
Ukute na wewe una familia unaiongoza na unaitwa baba kabisa!!
 
Magufuli alimuuzia nani SGR ama Bwawa la Nyerere ama ATCL?
 
Ina maana huoni tatizo waziri kusema uongo kuwa kulikuwa na makampuni saba (7) yaliyoshindanishwa? Akiambiwa ayataje hayo makampuni pamoja na matangazo ya kushindanishwa kuna tatizo gani?

Usijivike uchama ukasahau kuwa pamoja na kuchaguliwa na wananchi, viongozi yawapasa kufuata sheria za nchi. Siku nyingine usipende kujadili hoja kwa mihemko na itikadi za kichama au za kidini. Kama unataka kujadili, basi jikite kwenye hoja iliyopo mezani na si vinginevyo.
 
Tanzania nchi ya maajabu leo kila mwananchi kawa mwanasheria, leo kila mtu anataka kuona zabuni kuna mamia ya zabuni yanatoka kila leo lakini hatuna habari ila watu wanasahau kuna kitu kina SSJ( Single source justification) unaweza kutumia kama exception hata SGR imetumika hiyo. Bwawa la Nyerere kuna mtu aliona zabuni ile? manunuzi ya ndege je tuliona zabuni ilitoka labda kwa Boeng, Airbus au bombadier? wakati wa JPM hakuna wanaharakati, wanasiasa au wacha Mungu aliyetoka kuthubutu kusema kitu. JPM alikuwa hana huruma ukivuka mipaka yako. Rais Samia huu upole utamponza sana hii nchi haitaki mtu mpole. CCM imechaguliwa kuongoza nchi siku muda ukiisha wanaopinga waende wachague wanayemtaka na atakayeshinda atafanya maamuzi.
Hujafikiri kwa kina. Ununuzi wa bombadier, ujenzi wa SGR pamoja na ujenzi wa bwawa la mwalimu Nyerere hizo ni one time events, na zina defined timelines. Uwekezaji wa bandari kwa mkataba huu huwezi linganisha na uliyoyataja. Fahamu kuwa mkataba wa bandari hadi sasa HAKUNA ALIYETAMKA NI WA MUDA GANI. Hii ina maana ni life time contract. Na mbaya zaidi, mkataba unataja kuwa hata kukiwa na ukorofi wa kidiplomasia, hautafunjwa, yaani ni kosa kuuvunja.
 
Nani ana operate airport, watu mnafahamishwa mara mia lakini kwakuwa hamtaki na tunaendeshwa ni mihemuko ya kisiasa ndio tunabaki kuongea vitu havina mantiki mara mmeuza mara hakuna kikomo mare hakuna tender hujui watu wanataka nini.
 
We hujielewi
 
We hujielewi
Wewe mwenye kuelewa tuambie TICTS walikuwa wanafanya nini? Swissport wanafanya nini. acheni kuleta siasa kwenye mambo ya msingi mna hoja subiri chaguzi 2024 na 2025 matokea yake ndio utajuwa nafasi yenu iko wapi. Mtu hata akishinda 50.5% ana mandate ya kuamua kwa niaba uya nchi. Unaona wamevunja katiba nenda mahakamani.
 
Back
Top Bottom