Serikali iwe makini, join the chain inaweza kuwa mkakati wa kutakatisha fedha chafu na kuziingiza katika mfumo rasmi

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.
 
Pesa kutoka nje mpaka serikali wanapewa, na wanapewa na hao hao wazungu. Au hizo pesa wakipewa majizi ya kura ni sawa, ila wakipewa wapinzani ndio tatizo? Kaa kwa kutulia maana michango inamwagika kila kona ya dunia. Kama kuna cha maana wazungu wanakitamani hapa nchini, mbona ccm hawakitumii kumaliza umasikini hapa nchini?
 
Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kina tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za mataifa ya magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, serikali iwe makini.
Akili za Kimaskini hizi....nyie ndo ukimwona jirani yako anapata maendeleo unamwita FRIMASONI...UJINGA HUZAA UCHAWI
 
Pesa kutoka nje mpaka serikali wanapewa, na wanapewa na hao hao wazungu. Au hizo pesa wakipewa majizi ya kura ni sawa, ila wakipewa wapinzani ndio tatizo? Kaa kwa kutulia maana michango inamwagika kila kona ya dunia. Kama kuna cha maana wazungu wanakitamani hapa nchini, mbona ccm hawakitumii kumaliza umasikini hapa nchini?
usiite majizi yakura mwizi anaweza akabakiza Hawa Waite wakwapuaji mkwapuaji habakizi anavoenda kugundua ndani mnamavi ndo anashituka ,daaaaa kimeo Hiki au imekula kwangu

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.

Ni ujinga hakuna nchi makini inakataa pesa ambayo inatoka nje kwasababu ya chama. Pesa yote inayoingia itaishia kitumika na kuongeza mapato kuzuia pesa ni ujinga na fikra za kimasikini. Mimi nipo USA ukija hapa unaweza kuuziwa chochote nyumba, shamba hawajali ilimradi una pesa hata kama sio raia unaweza kununua kama una pesa
 
Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.

Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.

Una wivu Sana kisa siasa. Nyie ndio wale mtu kamtumia mlinzi wake laki sita tayari mnamfungulia kwsi ya ugaidi. Kuhusu money laundering hilo ni jukumu la Benki Kuu ambalo ndilo linasimamia money transactions kila siku.
 
Kama mliiga Chadema Digital mnashindwa nini kuiga Join the Chain ?

IMG-20180405-WA0006.jpg
 
Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.
Ukiitwa Mchawi wa mchana kweupe utabisha???
 
Back
Top Bottom