Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio figusi mkuu, haya mambo yanagusa mustakabali wa nchiKuna laana nyingine mtu anaweza kujichumia mwenyewe bila kujua. Unaweza kuwa unahaso sana michongo haiendi kumbe tatizo ni hili. Yaani mtu unaumia roho watu kuchangishana? Figisu figisu za namna hii hazitakusaidia chochote zaidi zitakuharibia bure! Trust me bro!!!!
Walikuwa wana maana sana kukutoa hicho chinembe sababu ulizaliwa huna akili!!Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.
kipimo cha uzalendo ndio kinapimwa kwa style hiyoMkuu, sisi wazalendo tukitulia, taifa litapotea hili
Moscow ya Kinondoni au Maskva?Najiandaa kutuma mchango wangu nikiwa hapa moscow
Propaganda zetnu hizo.Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.
Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama TaifaNashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.
Mkipewa nyie Sawa wakipewa wenzenu haramu? Hivi hii nchi mlimilikiswa na Nani?Wanajulikana kuwa ni wachina, hao wanaowachangia Chadema hawajulikani
Mkipewa nyie Sawa wakipewa wenzenu haramu? Hivi hii nchi mlimilikiswa na Nani?Wanajulikana kuwa ni wachina, hao wanaowachangia Chadema hawajulikani
Kwa hiyo unaleta mashtaka hapa Jf? Kwani Jf ndio mahalama? Nyambafu yakoNashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.
Sasa wewe umejuaje kuwa wamepata pesa halafu usijue wamezipataje?Wanajulikana kuwa ni wachina, hao wanaowachangia Chadema hawajulikani
Kaka ebu kuwa wazi fedha ndo chafuu au hujapenda ao waliokuja na ilo wazoo vipi kama wangekuwa watu wengine ndo wamekuja na iyo idea fedha zingekuwa safiii sioNashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.
Wewe ni mchawi hutaki maendeleo ya vyama vingine unamawazo ya kijamaa wakati tupo kwenye ubepari