Serikali iwe Makini Kabla TLS Haijajigeuza Kuwa ‘Chama cha Siasa kali’

Hii ndiyo TLS tunayoitaka. Fanyeni mpanga Mwabukusi atoke pale la sivyo tabu mtaipata nyie wanyonya haki za watu
 
Swali gani hilo la kijinga, kwahiyo unatishia MAGEREZA ambayo hata MANDELA alipitia huo UZEZETA😁
Nimekuuliza unafikiri ni kwanini mwabukusi alitupwa jalalani alipotaka kutia pua kuomba ubunge?
 
Wewe chawa hufiki hata 1% ya uwezo wa kufikiri wa Mwabukusi wewe una uwezo wa kuandika mapambio tu ndiyo maana unadharaulika tu humu
Utaanzaje kunifananisha mimi na huyo mtu ambaye kazi yake ni kuropoka tu na mihemuko?
 
Utaanzaje kunifananisha mimi na huyo mtu ambaye kazi yake ni kuropoka tu na mihemuko?
Lucas Mwashambwa hapa jukwaani unachukuliwa kama zombie tu,na laiti ungekuwa na akili ungebadilisha hata uwasilishaji wako wa mada lakini hutaki kujifunza unajigamba kuwa unatoa madini.
 
Lucas Mwashambwa hapa jukwaani unachukuliwa kama zombie tu,na laiti ungekuwa na akili ungebadilisha hata uwasilishaji wako wa mada lakini hutaki kujifunza unajigamba kuwa unatoa madini.
Kwa hiyo wewe unataka ulinganishe akili yangu na hiyo yako kisoda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…