Serikali iwe Makini Kabla TLS Haijajigeuza Kuwa ‘Chama cha Siasa kali’

Hii ndiyo TLS tunayoitaka. Fanyeni mpanga Mwabukusi atoke pale la sivyo tabu mtaipata nyie wanyonya haki za watu
 
img-20231011-wa0002.jpg

Soon Mjengoni✊️✊️
 
Wewe chawa hufiki hata 1% ya uwezo wa kufikiri wa Mwabukusi wewe una uwezo wa kuandika mapambio tu ndiyo maana unadharaulika tu humu
Utaanzaje kunifananisha mimi na huyo mtu ambaye kazi yake ni kuropoka tu na mihemuko?
 
Lucas Mwashambwa hapa jukwaani unachukuliwa kama zombie tu,na laiti ungekuwa na akili ungebadilisha hata uwasilishaji wako wa mada lakini hutaki kujifunza unajigamba kuwa unatoa madini.
 
Kwa hiyo wewe unataka ulinganishe akili yangu na hiyo yako kisoda?
 
Back
Top Bottom