Serikali: Kila Mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi

Inamaana tozo za miamala ya simu, vat ya kwenye vifurushi, tozo/kodi za kwenye bidhaa bado hazitoshi?
Kweli hii serikali imedhamiria kukusanya mapato toka kwa wanachi wanyonge!
 
Na mitandao yao iliyokuwa ya wizi mno jana nimeweka bando la week kisha nikazima data nikawa naendelea na kazi kuja kuwasha eti mb zimeisha hasira nizokuwa nazo 😬
Hii imenikuta Leo nikafatilia may be simu ina jiupdate nimekuta Google photos simu inafanya backup yaan 1gb imeisha ndani ya saa moja na nilikua nimelala jaribu kwenda Google photos may be simu yako inajibackup na kuhamisha picha zako Google photos
 

Attachments

  • IMG_20220614_203802.jpg
    74.2 KB · Views: 4

Watu walipe kodi hii iko sawa kabisa, hii nchi kuna wahuni wanaishi kwa raha hawalipi kodi wala chochote wao wapo tena wengine ni watu wazito mishahara mikubwa
 
Nafikiri wanajaribu kutafuta namna ya kuongeza budget kwaajili ya safari za mama yenu, kutembea mwaka mzima bila kumaliza hata wiki moja ikulu si kitu easy.
 
Naunga mkono hili.
Kuna watu mijini wanacheza karata asubuhi mpaka manane.Wanakula vipi na kuishi vipi ni kizungumkuti.

Hii ilikuwepo miaka ya 60.Sasa usipotafuta kitu cha kufanya mtu akalime, na alipe kodi.

Watu walilemaa na kufikiri kodi ni za watu fulani tu.
 
Hiyo Kodi ni ngumu Sana kukufanya.
Moja ya Kanuni za Kodi ni kwamba Kodi isiwe ngumu kukusanya.
Watatumia resources nyingi kukusanya pesa kiduchu.
Serikali haishindwi kitu.
Hamjui kuwa Uingereza hadi leo kuna kodi ya TV.
 
Halafu hizo kodi zinaenda wapi?
 

Watanzania wamekosa Nini? Yani tozo na Kodi juu?. I'll Nina amini Kama upinzani ungekuwepo bungeni your yasingetokea.
 

Tozo Ni zaidi ya Kodi.
 
No rahisi mno kwani purchases na sales zinaingia kwenye Tin yako mojakwa moja kwa hiyo huna haja ya hesabu kiivyo.
No njia rahisi sana kuliko ya sasa
1. Fikiria kila ukinunua na kuuza muamala unakuwa directly reflected kwenye Tin
Njia kubwa inayotumika kukwepa Kodi ni kutokutoa risiti and at the same time cancellation of purchases....kwa njia hii huwezi kuficha purchases ...utakuwana accumulated stock above and over ikiwa hutatoa sales receipts
 
"Kuongoza kenya nisawa na kuongoza wagonjwa mahututi ila kuongoza Tanzania nisawa na kuongoza maiti" Jomo kinyatta.

Tena Tanzania sio maiti ni mizoga. Labda kizazi Cha miaka hamsini ijayo ndio kitaleta mabadiliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…