Serikali kuahirisha Mechi ya Simba na Yanga ili kuwalazimisha wananchi wafuatilie tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi ni kitendo cha aibu

Hayo ndiyo matokeo ya kuchanganya siasa na Mpira,
 
Mechi iliahirishwa sababu ya vurugu za mashabiki na ikapangiwa siku nyingine kwa ajili ya usalama. Sasa Mwinyi kuzindua kitabu Kuna hatari gani kwenye mechi?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mbona unamsingizia Mwinyi kweli ndiyo sababu ya kusogezwa mbele kwa huo mchezo? ONA AIBU
 
Huu ni ujinga wa kiwango Cha lami
 
Kasoro kubwa...ila mie sishangai Mama kaanza kuonyesha uhalisia wa aili yake ....maamuzi ya kiswahili
 
Hapo kuna miviongozi ilikuwa kwenye uzinduzi wa kitabu huku ikiwa na hamu ya kucheki mechi ndiyo iliyoshinikiza mechi kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…