Serikali kuahirisha Mechi ya Simba na Yanga ili kuwalazimisha wananchi wafuatilie tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi ni kitendo cha aibu

Athari na chembechembe zingine zilizobaki za utawala wa awamu ya tano kujitolea matamko.

Michezo ina mfumo wake maalum ambayo hupangwa kwa muda mrefu lakini mazoea ya awamu ya 5 yameharibu kabisa utawala wa sheria, mifumo, taratibu na kanuni.

Nchi inategemea zaidi tamko la waziri, wizara, mkuu serikali za mkoa au rais au rais wa TFF bila kuzingatia mambo mtambuka kisheria, kimichezo n.k

Utasikia hata humu JF mtu anaweka " Rais wa Kenya aruhusu waTanzania ..." huku ni kuonesha jinsi jamii ya Tanzania ilivyoathirika na kutegemea zaidi matamko, hisani za mtu / watu wenye mamlaka badala ya kufuata sheria, katiba, kanuni , taratibu labda tu pale panapotokea hali ya hatari kwa wananchi na hizo pia zimeainishwa katika sheria na katiba kwa wingi kabisa nini kifanyike.

hakuwahi kuingilia mpira!!!!

wewe utajinyea kesho utasingizia awamu iliyopita
 
Yaani anatokea mtu mmoja kwa sababu ana madaraka tu anaagiza ratiba ya tukio kubwa kama hili liahirishwe, bila kujali maelfu ya wananchi ambao wako uwanjani, Hiki ni kiburi cha madaraka!
Si ni mamaenu yule au leo kawa sio mama tena
 
Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani.

Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali makubwa ya Kitaifa na kwa kanuni za Ligi

Sasa inashangaza Leo, mchezo ukiwa umebakisha masaa mawili tu, Serikali inaiagiza TFF kubadili ratiba ya mchezo huu wakati kukiwa na maelfu ya wananchi Uwanjani. Hili ni kosa, Serikali imewakosea sana wananchi.

Kwanza ni lini serikali ikawa na mamlaka ya kupanga ratiba za ligi?

Pili, Serikali inataka Kuwachonganisha wananchi na Mzee wetu mzee Mwinyi, Mtu asiyependa makuu, Kwa nini mlifanye tukio lake kuwa ni adha kwa wengine?—Je mzee Mwinyi ndiye aliyewatuma kubadili ratiba ya mambo mengine ya kijamii kwa ajili yake binafsi?

Huu utaratibu wa kufanya mambo kwa zimamoto zimamoto ni dalili za serikali dhaifu, isiyojiamini inayokurupuka!

Tunataka yeyote aliyehusika kubadili ratiba hii ya mchezo, ambayo wananchi walishawekeza akili zao na muda wao achukuliwe hatua mara moja! . Hatuwezi kuvumilia mikurupuko kama hii.

Na isitokee mkasingizia kuhusu Mfungo wa Ramadhani, Suala la ramadhani lilishajulikana toka mfungo ulipoanza kwa hiyo msisingizie eti kuwapa Waislamu muda mzyri wa kufuturu, Kwanza hata huo muda wa saa moja jioni Waislamu watakuwa bado wanafuturu kwa hiyo Msituletee hoja hii!

Tunataka serikali isifanye mambo kwa sababu yenyewe ina uwezo wa kutoa amri basi lazima itekelezwe, serikali lazima iheshimu timetable za wananchi.

Nimekereka sana na uamuzi huu wa Serikali kuingilia ratiba za Mpira, Ni mambo ya ajabuajabu kabisa haya!
What if Rais SAMIA SULUHU ndio alitoa agizo hilo je ajiuzulu ?

Je wewe utaridhika ikiwa atapaswa kuwajibika kwa namna gani ?

Ni swali tu
 
Hata haihusiani,Yanga wamekimbia wenyewe.Aibu yenu.
 
Taarifa za kiintelijinsia zinapasha kwamba yanga walipanga kuwaumiza wachezaji muhimu wa simba ili wasicheze mechi yao na kaizer chiefs tarehe 15/5. Hii ingepelekea simba kufungwa kirahisi na kaizer chiefs na lengo la yanga kuikomoa simba lingetimia. Serikali kwa kutambua hilo ikabidi iahirishe mechi kutoka saa 11 hadi saa 1 usiku kinyume na kanuni na wakijua fika kwamba yanga wangegomea kucheza. Na kugoma kwa yanga itakuwa faida kwa simba ambayo jtatu inaondoka kwenda SA na wachezaji wake wakiwa wazima. Mission accomplished.
 
Haya mambo ya kuvunja sheria yalianzia kwa jiwe na huu ni muendelezo.

How Jiwe anaweza kuziepuka hizi lawama?
Magufuri akulea upumbavu acha kumdhalilisha,hapa ingelikuwa enzi za Magufuri tulikwisha ona barua ya Msigwa kutoka Ikuru Watu wameliwa vichwa tiyari.Magufuriali alifundisha uwajibikaji hata kama alivunja kanuni ni kwa maslahi ya uma.
 
Umeandika upumbavu gani?
 
hakuwahi kuingilia mpira!!!!

wewe utajinyea kesho utasingizia awamu iliyopita

Hawa ndiyo viongozi wanaoweza kupiga simu ATCL Air Tanzania wakitoa tamko ndege isiruke ilhali bado wapo bafuni wanaoga na wanajua safari wangeikosa lakini wanatumia madaraka yao ndege isifuate ratiba.

Matumizi mabaya ya madaraka na mamlaka kupitia vyeo yalitamalaki awamu ya tano na bado yapo vichwani mwa wakubwa wengi.

Vigogo waliokuwa ktk hafla ya Mzee Mwinyi walitaka wasikose mechi hii ya derby kwa gharama yoyote ile ili wawahi uwanjani bila kujali maelfu ya mashabiki uwanjani, na wale waliolipia vingamuzi vya televisheni zao, wadhamini wa mchezo, mipango ya lishe ya wachezaji n.k
 
08 May 2021

Video : Viongozi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa kitabu wakitambulishwa

Vigogo waliohudhuria shughuli ya Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzindua kitabu chake, wakitajwa kwa vyeo vyao, wakisimama kutambuliwa na kuonekana wakati itifaki ikizingatiwa ikiwemo mawaziri na waziri anayehusika na michezo, makatibu wakuu wa wizara, viongozi wa CCM , mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania, viongozi wa dini n.k walikuwapo ukumbini.
 
Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani.

Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali makubwa ya Kitaifa na kwa kanuni za Ligi

Sasa inashangaza Leo, mchezo ukiwa umebakisha masaa mawili tu, Serikali inaiagiza TFF kubadili ratiba ya mchezo huu wakati kukiwa na maelfu ya wananchi Uwanjani. Hili ni kosa, Serikali imewakosea sana wananchi.

Kwanza ni lini serikali ikawa na mamlaka ya kupanga ratiba za ligi?

Pili, Serikali inataka Kuwachonganisha wananchi na Mzee wetu mzee Mwinyi, Mtu asiyependa makuu, Kwa nini mlifanye tukio lake kuwa ni adha kwa wengine?—Je mzee Mwinyi ndiye aliyewatuma kubadili ratiba ya mambo mengine ya kijamii kwa ajili yake binafsi?

Huu utaratibu wa kufanya mambo kwa zimamoto zimamoto ni dalili za serikali dhaifu, isiyojiamini inayokurupuka!

Tunataka yeyote aliyehusika kubadili ratiba hii ya mchezo, ambayo wananchi walishawekeza akili zao na muda wao achukuliwe hatua mara moja! . Hatuwezi kuvumilia mikurupuko kama hii.

Na isitokee mkasingizia kuhusu Mfungo wa Ramadhani, Suala la ramadhani lilishajulikana toka mfungo ulipoanza kwa hiyo msisingizie eti kuwapa Waislamu muda mzyri wa kufuturu, Kwanza hata huo muda wa saa moja jioni Waislamu watakuwa bado wanafuturu kwa hiyo Msituletee hoja hii!

Tunataka serikali isifanye mambo kwa sababu yenyewe ina uwezo wa kutoa amri basi lazima itekelezwe, serikali lazima iheshimu timetable za wananchi.

Nimekereka sana na uamuzi huu wa Serikali kuingilia ratiba za Mpira, Ni mambo ya ajabuajabu kabisa haya!
Halafu nimemsikia mzee Walter Bgoya mchapishaji wa kitabu hicho ambacho kinauzwa tzs 75,000 kama sijakosea kuwa Watanzania sio wasomaji vitabu kwani hapo nyuma ameingia hasara alipochapisha kitabu cha historia ya klabu ya Simba ambapo siku ya mechi alipeleka uwanjani kwa mstaajabu wake ni kopi chache sana ziliuzwa, vile akawaandalia karamu Wachaga alipozindua kitabu cha historia ya Wachaga lakinialiambulia hasara wachaga wakala mapochopocho wee lakini kitabu hawakununua na hata Wanyaky nao akawachaishia kamusi ya Kinyaki /Kiswahili na lugha ya mama lakini napo wapi hakuuza nakala nyingi kama alivyotarajia, kwa kifupi hata ukilazimisha vipi Watanzania sio wasomaji vitabu, wengi wamegubikwa na udaku wa magazeti ya Shigongo na sasa mitandao ya akina Diamond na akina Amber.

Hata ulazimishe vipi hakuna anayefuatilia hayo mambo ya vitabu, ukiuliza ni wangapi basi wamesoma vitabu vya akina Mengi,Mkapa ni wachache sana,sio sababu ya lugha hapana sisi wa kizazi hiki hatuna huo utamaduni wa kusoma vitabu, ukiona mtu anasoma vitabu labda anasomea mitihani!
 
Rais wa TFF ni Simba damu.

Ametumia hiyo fursa kumnusuru mnyama aliyekuwa apigwe bao la ushindi saa 11:57 jioni!
Tekero wao aliwaambia hali sio nzuri badili muda Kidau na huyo Karia sijui ni mtu wapi wanatuharibia mpira pamoja tajiri wao
 
Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani.

Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali makubwa ya Kitaifa na kwa kanuni za Ligi

Sasa inashangaza Leo, mchezo ukiwa umebakisha masaa mawili tu, Serikali inaiagiza TFF kubadili ratiba ya mchezo huu wakati kukiwa na maelfu ya wananchi Uwanjani. Hili ni kosa, Serikali imewakosea sana wananchi.

Kwanza ni lini serikali ikawa na mamlaka ya kupanga ratiba za ligi?

Pili, Serikali inataka Kuwachonganisha wananchi na Mzee wetu mzee Mwinyi, Mtu asiyependa makuu, Kwa nini mlifanye tukio lake kuwa ni adha kwa wengine?—Je mzee Mwinyi ndiye aliyewatuma kubadili ratiba ya mambo mengine ya kijamii kwa ajili yake binafsi?

Huu utaratibu wa kufanya mambo kwa zimamoto zimamoto ni dalili za serikali dhaifu, isiyojiamini inayokurupuka!

Tunataka yeyote aliyehusika kubadili ratiba hii ya mchezo, ambayo wananchi walishawekeza akili zao na muda wao achukuliwe hatua mara moja! . Hatuwezi kuvumilia mikurupuko kama hii.

Na isitokee mkasingizia kuhusu Mfungo wa Ramadhani, Suala la ramadhani lilishajulikana toka mfungo ulipoanza kwa hiyo msisingizie eti kuwapa Waislamu muda mzyri wa kufuturu, Kwanza hata huo muda wa saa moja jioni Waislamu watakuwa bado wanafuturu kwa hiyo Msituletee hoja hii!

Tunataka serikali isifanye mambo kwa sababu yenyewe ina uwezo wa kutoa amri basi lazima itekelezwe, serikali lazima iheshimu timetable za wananchi.

Nimekereka sana na uamuzi huu wa Serikali kuingilia ratiba za Mpira, Ni mambo ya ajabuajabu kabisa haya!
Tatizo naona viongozi wanapenda sana kupewa attention! Kwa hiyo wakawa wanaona tuko busy na Derby na wao wanatulazimisha tushuhudie zawadi ya benzi.
 
Bodi ya ligi walipiga simu harakaharaka kwa vilabu. Klabu yangu pendwa haikukubaliana na ujinga huo ikapeleka timu kwa mujibu wa kanuni. Klabu nyingine ikakubali muda mpya. Mechi ikavunjika. TFF wakasema wamesikitishwa, Yanga wakasema wamesikitishwa, Simba wakasema wamesikitishwa na wakadai pointi 3 za mezani, wizara ikasema imesikitishwa; kitu cha ajabu hakuna kati yao aliyesema ni nani amewasikitisha.

Jana waziri Majaliwa anampa agizo waziri wa michezo kupanga tarehe mpya ya mechi. Hasemi nini ilikuwa sababu ya kuvuruga mechi yetu.

Leo wizara imeandika barua ya kurasa mbili. Imewaachia TFF wapange ratiba mpya lakini haisemi nini kilikuwa chanzo cha kuvuruga mechi ile bali eti ilikuwa na nia njema.

Sarakasi zote hizi zinaashiria ni mama mwenyewe ndiye aliyetoa agizo mechi isogezwe mbele; ama kwa kutaka kwenda kujiongezea umaarufu au kwa sababu nyingine anazozijua yeye, NDIO MAANA HAKUNA WA KUMNYOOSHEA KIDOLE.

Tumerejea kuwa nchi ya mapimbi.
YS1.jpg

YS2.jpg
 
5. Kuhusu fidia ya usumbufu kwa mashabiki, wadau, wafanyabiashara walioacha kazi zao, waliofunga biashara, waliotumia fedha zao kusafiri na matumizi mengine mengi, nk !???

NB: Vidole 5 kwa Bi Mkubwa. ^Mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote^
 
Mama kachemka mapema sana sana

Mama anaonekana akilewa madaraka na yeye atakuwa dicteta tu,
 
Bodi ya ligi walipiga simu harakaharaka kwa vilabu. Klabu yangu pendwa haikukubaliana na ujinga huo ikapeleka timu kwa mujibu wa kanuni. Klabu nyingine ikakubali muda mpya. Mechi ikavunjika. TFF wakasema wamesikitishwa, Yanga wakasema wamesikitishwa, Simba wakasema wamesikitishwa na wakadai pointi 3 za mezani, wizara ikasema imesikitishwa; kitu cha ajabu hakuna kati yao aliyesema ni nani amewasikitisha.

Jana waziri Majaliwa anampa agizo waziri wa michezo kupanga tarehe mpya ya mechi. Hasemi nini ilikuwa sababu ya kuvuruga mechi yetu.

Leo wizara imeandika barua ya kurasa mbili. Imewaachia TFF wapange ratiba mpya lakini haisemi nini kilikuwa chanzo cha kuvuruga mechi ile bali eti ilikuwa na nia njema.

Sarakasi zote hizi zinaashiria ni mama mwenyewe ndiye aliyetoa agizo mechi isogezwe mbele; ama kwa kutaka kwenda kujiongezea umaarufu au kwa sababu nyingine anazozijua yeye, NDIO MAANA HAKUNA WA KUMNYOOSHEA KIDOLE.

Tumerejea kuwa nchi ya mapimbi.
View attachment 1780645
View attachment 1780652
Aisee...! Hilo elekezo la kwanza kuhusu" mechi ya Simba na Yanga iliyohairishwa "mbona linanichanganya. Linasema, mechi irudiwe!! mechi itarudiwaje wakati haijachezwa? Unarudia kitu ambacho hujakifanya!? Au ni mbinu ya kuhalalisha madai ya Simba ya kutaka wapewe ushindi wa mezani wa 3 points na 2 goals?
===
Nisaidieni, yawezekana kiswahili ndicho kinanipiga chenga.
 
Hiyo nia njema ya kusogeza mbele huo mchezo ilikuwa ni ipi? Binafsi nilitegemea waeleze pia kwa nini waliahirisha lakini pia watoe "commintment" kuwa siku nyingine na wao wataheshimu sheria, kanuni na taratibu zinazosimamia na kuendesha shughuli nyingine na sio mtu tu kukurupuka na kuwaingiza watu hasara za kipuuzi.
 
Back
Top Bottom