Serikali kuendelea na uwekezaji wa Bandari na DP World kama ilivyopangwa

Serikali kuendelea na uwekezaji wa Bandari na DP World kama ilivyopangwa

Hayo yamesemwa Agosti 26, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Gerson Msigwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ambapo amesisitiza kuwa hadi sasa hakuna mkataba wowote wa utekelezaji kuhusu uendeshaji na uendelezaji wa bandari ambao umeshasainiwa.
Tatizo ni kuwa Gerson Msigwa kama chawa wengine haaminiki.
Anaweka kipaumbele kwa propaganda kuliko uhalisia..
1693210879605.png
 
tatizo ni Uislamu, haufundishi partriotism ndiyo maana hakuna nchi ya Kiislamu unayopenda kwenda kuishi ambayo inafwata Uislamu, shida iko hapo Waislamu hawaamin katika Nation idea wanaamini ummah, sasa ummah siyo nation, ndiyo kila mtu achota ummah.

Dawa pekee na suluhisho la kudumu Tanzania ni partition kama India na Pakistani, leo hii India is a flourishing democracy wakati Pakistani ni shithole ummah …
 
Uongo ukirudiwa rudiwa mara nyingi unakuwa ukweli.

.....hakuna bandari iliyouzwa.....


Msemaji aliendelea kusisitiza.
Afafanue maana ya Hicho kipengele Cha ukomo na urithi Nini maana yake
 
tatizo ni Uislamu haufundishi partriotism ndiyo maana hakuna nchi ya Kiislamu unayopenda kwenda kuishi ambayo inafwata Uislamu, shida iko hapo Waislamu hawaamin katina nation idea wanaamini ummah, sasa ummah siyo nation …
Huwezi mtenganisha Muislamu na uislam.
Thus hata kama ni ajira,au upendeleo wowote ataanza na Muislamu mwenzake kabla ya factors zingine mfano professionality, experience,nk
 
Sasa watu wametoa maoni wameitwa wapinzani. Halafu baadae et watazingatia
Maoni ya wadau ni maoni Gani yanayozidi
Hayo ya wananchi. Halafu watu wanaong'ang'aniza swala hili wakati watanzania wanakataa wanamaanisha bandari ni ya kwao au vip?
Maoni yatazingatiwa,shida Iko wapi?
 
Wanaukumbi.

Kila hatua na kadri majadiliano yatakavyokuwa yanaendelea ikiwemo kuafikiana au kukubaliana pande zote kati ya Serikali ya Tanzania na mwekezaji kwenye uendelezaji wa bandari ya Dar es Salaam , umma wa Watanzania tumehakikishiwa kuwa utajulishwa.

Hayo yamesemwa Agosti 26, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Gerson Msigwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ambapo amesisitiza kuwa hadi sasa hakuna mkataba wowote wa utekelezaji kuhusu uendeshaji na uendelezaji wa bandari ambao umeshasainiwa.

Msigwa amesema, baada ya hatua ya makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai hatua itakayofuata ni mikataba ya utekelezaji.

Kuhusu mikataba hiyo ya utekelezaji, Msigwa amesema

"Baada ya makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kinachofuata sasa ni mikataba ya utekelezaji, katika mikataba hiyo ya utekelezaji ndio itasema sasa miradi itakuwa ni ya muda gani"

Msigwa ameendelea kwa kusema kuwa, hatua itakayofuata ni uandaaji wa nyaraka na katika hatua hii ndipo miradi ya utekelezaji itaandaliwa huku akiendelea kusisitiza kuwa hakuna bandari iliyouzwa.
Kama unamuamini Msigwa wewe ni punguani!
 
Msijali watz!

Atakuja rais mwingine mwenye akili atatunasua kwenye hili tego hata kama tutalipa fidia ya mabilioni itakuwa bora zaidi kuliko kuendelea kuukumbatia huu uharo!
Hayo ni mawazo ya upinzani,hayana budi kuwepo,siyo Kila kitu kinachofanywa na serikali kitaungwa mkono na wote,raisi wetu mama Samia hakika anaupiga mwingi,ametengeneza filamu ya the royal tour imetuingizia watalii hapa nchini wengi kama nzige,sasa ameingia mkataba wa undeshaji wa bandari na kampuni nguli duniani katika uendeshaji wa bandari,bandari yetu inaenda kuwa moja ya bandari yenye huduma bora Africa nzima,huku ikiingizia nchi Pato kubwa,wasiompenda raisi wetu Samia 'wameliteka' Hilo jambo nakuanza kuwaaminisha watanzania wa kawaida kwamba eti bandari inauzwa,hiyo yote ni wivu tu kwamba raisi Samia asije kupata sifa kubwa kutokana na mafanikio yanayoenda kupatikana kwenye bandari.
 
Msijali watz!

Atakuja rais mwingine mwenye akili atatunasua kwenye hili tego hata kama tutalipa fidia ya mabilioni itakuwa bora zaidi kuliko kuendelea kuukumbatia huu uharo!
Duh !
 
Huwa nashangaa sana pale ambapo wananchi sijui hujiona ndio wenye maamuzi dhidi ya waliowapa nafasi!
Shangaa na wewe !! Sisi wananchi ni wa kutoa maoni tu sio wa kutoa maamuzi !!
Hata huko Amerika wana msemo wao eti kwamba Government of the people by the people for the people !! Lakini bado wenye kutoa maamuzi ni wale waliopewa nafasi za kufanya hivyo !!

Swali muhimu hapa je tunawapataje watu waadilifu wa kuwapa hizo nafasi ya kufanya maamuzi kwa niaba yetu ???!!
Na tukishawapata tunafanya fanyaje kuhakikisha wanazipata zile nafasi tunazotaka watu hao waadilifu wazipate bila kudhulumiwa !!

Uchaguzi huru na wa Haki ! Je ni kwa namna gani tunaweza kufanya uchaguzi ukawa ni Huru na wa Haki ??!!

Tafakari !
 
Back
Top Bottom