Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Toka TEC watoe waraka wao dhaifu huku Masambwe tunajinywea tu KOMONI kwa raha zetu....bariiiidiiiiMlitetemeka lakini mpaka mstaafu mzee wa msoga akatoka pangoni[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka TEC watoe waraka wao dhaifu huku Masambwe tunajinywea tu KOMONI kwa raha zetu....bariiiidiiiiMlitetemeka lakini mpaka mstaafu mzee wa msoga akatoka pangoni[emoji16]
Utake usitake....Whether upotoshaji au ukweli... People don't want it.
Huko duniani Uchumi unasimamiwa na DiniDini na MASLAHI ya uchumi wapi na wapi ?!!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Atayaongoza Tundu Lissu ?!! [emoji1787][emoji1787]Wasiotaka waandamane
Wewe utapita...Msijali watz!
Atakuja rais mwingine mwenye akili atatunasua kwenye hili tego hata kama tutalipa fidia ya mabilioni itakuwa bora zaidi kuliko kuendelea kuukumbatia huu uharo!
[emoji1787][emoji7][emoji7]CASE CLOSED!
Tukalime hata watu wa roporopo watashindwa ukulima simple wa namna hii. View attachment 2731098
...kauli ya kujifariji hiyo...hama payback wala baba yake....Ujumbe umefika vzr tu, pia watanzania wa leo wameelimika na uelewa mpana kbs so endeleeni kufanya mamb mtakavyo ila payback itakua mbaya san!! Kikubwa uzima tu.
Wewe ni mwenzangu [emoji120]Sikuwa mnafiki, siku zote nilikuwa naunga mkono DPW
Ila Samia ndio mwenye hati miliki ndio maana hataki kusikia la mtuWewe utapita...
Mimi nitapita...
Tanzania ipo milele....
TEC si wenye hatimiliki ya taifa hili....
Laana hiyo haipo...kama mpango huu hauna RUSHWA basi Mola akawabariki sana.
ILA kama mpango huu umejaa RUSHWA na mmeuza raslimali zetu kwa maslahi yenu na watoto wenu, laana na upanga wa MOTO wa Mwenyezi Mungu ukawe juu yenu na watpto wenu,
#Hakuna mwenye Misuli ya kuligawa na kuliuza taifa hili[emoji120][emoji7][emoji2956][emoji2956]Wanaukumbi.
Kila hatua na kadri majadiliano yatakavyokuwa yanaendelea ikiwemo kuafikiana au kukubaliana pande zote kati ya Serikali ya Tanzania na mwekezaji kwenye uendelezaji wa bandari ya Dar es Salaam , umma wa Watanzania tumehakikishiwa kuwa utajulishwa.
Hayo yamesemwa Agosti 26, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Gerson Msigwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ambapo amesisitiza kuwa hadi sasa hakuna mkataba wowote wa utekelezaji kuhusu uendeshaji na uendelezaji wa bandari ambao umeshasainiwa.
Msigwa amesema, baada ya hatua ya makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai hatua itakayofuata ni mikataba ya utekelezaji.
Kuhusu mikataba hiyo ya utekelezaji, Msigwa amesema
"Baada ya makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kinachofuata sasa ni mikataba ya utekelezaji, katika mikataba hiyo ya utekelezaji ndio itasema sasa miradi itakuwa ni ya muda gani"
Msigwa ameendelea kwa kusema kuwa, hatua itakayofuata ni uandaaji wa nyaraka na katika hatua hii ndipo miradi ya utekelezaji itaandaliwa huku akiendelea kusisitiza kuwa hakuna bandari iliyouzwa.
Unatuletea stori za vibanda vya urithi na uwekezaji wa trilioni 26?!!Hawa waarabu nao ni matapeli, yaani unaendeleaje kuwekeza sehemu ambayo ina makele kibao kuhusu mradi wako bila woga wowote?
Yaani ni sawa na wewe kuendelea na mchakato kununua nyumba ya urithi ambayo tayari wanafamilia hawaelewani - itakuwa ni ujinga kwa mwaka.
Umeshindwa vita wewe....Watazingatia maoni gani wakati IGA imeshapitishwa na bunge bila kusikiliza maoni ya wadau?
Msigwa anaeopoka ujinga tu.
Hilo Jeshi unaliamuru wewe hapo kibandani kwako ?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]Huyu mtu ni very stupid. Mikataba hiyo inakuwa governed na IGA, haiwezi kukiuka kipengele cha " mpaka shughuli zitakapoisha". Shughuli za bandari znaisha line? Nawashauri Dubai wasije maana hata jeshi litawageuka. hakuna atakayekubali kuuza bandari zetu...
Unajichosha bure...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msigwa anaongea uongo, ile IGA inamruhusu mwarabu kuanza kazi tangu siku iliposainiwa, October 2022.
Kama mwarabu yupo huru kuanza kazi tangu wakati huo, maana yake anatembea na makubaliano ya kwenye IGA ambayo haijaweka ukomo wa utekelezaji wa shughuli za uwekezaji.
Hawa wajinga baada ya kuona wamekosa majibu kuhusu IGA, sasa wameona watupeleke kwenye HGA kuficha utupu wao, kwasababu wanajua hizo HGA watazificha tusizione.
Ulitaka awe chawa wa TEC ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]Tatizo ni kuwa Gerson Msigwa kama chawa wengine haaminiki.
Anaweka kipaumbele kwa propaganda kuliko uhalisia..
View attachment 2731156
Sijasema hivyo mkuu!Kwa hiyo DPW watafanya kazi ya TRA?!
Wewe ni muasi...tatizo ni Uislamu, haufundishi partriotism ndiyo maana hakuna nchi ya Kiislamu unayopenda kwenda kuishi ambayo inafwata Uislamu, shida iko hapo Waislamu hawaamin katika Nation idea wanaamini ummah, sasa ummah siyo nation, ndiyo kila mtu achota ummah.
Dawa pekee na suluhisho la kudumu Tanzania ni partition kama India na Pakistani, leo hii India is a flourishing democracy wakati Pakistani ni shithole ummah …
Hatutaki kusikia KENGE yoyote anatuandikia kitabu cha majuto na kuelezea mikasa yake jinsi wahuni walivyomuingiza MKENGE...kauli ya kujifariji hiyo...hama payback wala baba yake....
CASE CLOSED[emoji123]