Serikali kuendelea na uwekezaji wa Bandari na DP World kama ilivyopangwa

Serikali kuendelea na uwekezaji wa Bandari na DP World kama ilivyopangwa

Wewe utakuwa umelelewa na Padre John ujajua tabia zao ndiyo maana upo radhi ufe usiache kuwatetea.
Acha ujinga wewe mwanaume mzima unajisifia kuliwa kiboga na mwarabu! Wazazi wako wamekula hasara kubwa! Mwana siyo riziki na ndiyo kisa cha kuitwa Ritz!
 
Sheria ya manunuzi ya umma ifuatwe, iitishwe zabuni ya wazi ili makampuni mbalimbali yaombe.......hiyo IGA ni utapeli wa mchana kweupe, na kwa sababu mmeshalamba asali na mkaahidiwa mgao wa hisa kwenye uwekezaji wa milele mnatufanya sisi hatuna akili.
 
Wa
Mama anajipa wakati magumu sana hasa kama ataendelea mpaka 2030. Inawezekana akachukiwa sana na wananchi. Hasira za wananchi soon wataanza kujionyesha.
Bongo nyie wapiga kelele tu idiot hamna chochote cha kufanya wapuuzi wakubwa nyie
 
Uuzwaji wa bandari za Tanganyika uendane na mabadiliko ya sheria kuruhusu kushitakiwa kwa rais ili awajibike kwa mazambi anayoyafanya ambayo ni kichaa na punguani pekee anayeweza kufanya hivyo.
 
Kwani Serikali ni Msigwa au Rais? Serikali inawekwa na wananchi. Msigwa anasema haya ni "Makubaliano" Mahakama inasema ni "Mkataba". Huu ni mkataba wa kibiashara. Wananchi kuelezwa kila hatua itakayofuata siyo suluhu; la muhimu ni kama uhuru wa wananchi na faida kwa Tanzania ni kubwa kuliko ambavyo ingepatikana vinginevyo. Hiyo ndiyo kamali au bet iliyopo mezani. Mwishoni wananchi ndiyo wanaosema, siyo msemaji wa Serikali wala serikali; mradi kura kwenye chaguzi zijazo zisiibiwe.
Uko sahihi. Kuelezwa kila hatua itakayofuata bila kuelezwa yaliyomo katika mkataba hakutasaidia kitu. Na hata wakielezwa kama hawatakuwa na uwezo wa kuleta mabadiliko nayo itakuwa bure.

Amandla...
 
Sasa mkataba ulishasainiwa unataka iweje?

Eti itaendelea ila itachukua mawazo ya wadau, inayapeleka wapi hayo mawazo na mkataba ulishasainiwa?
 
Maadamu Wabunge wanaenda Vatican kutubu kwa baba mtakatifu anayeketi Kitini pake Petro Mtume inatosha

Msamaha wa Dhambi tuliupata Calvary [emoji23][emoji23]
Dini na MASLAHI ya uchumi wapi na wapi ?!!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Mwarabu anawauliza CCM
Bandari mnatoa hamtoi, mnatoa hamtoi
Pesa zetu mmekula, loliondo mmetupa
Bandari mnatoa hamtoi ,,,[emoji1787][emoji1787][emoji38]
Bora tutoe tu kwani tuna shida....wewe shida huna ?!!!
 
Kwani Serikali ni Msigwa au Rais? Serikali inawekwa na wananchi. Msigwa anasema haya ni "Makubaliano" Mahakama inasema ni "Mkataba". Huu ni mkataba wa kibiashara. Wananchi kuelezwa kila hatua itakayofuata siyo suluhu; la muhimu ni kama uhuru wa wananchi na faida kwa Tanzania ni kubwa kuliko ambavyo ingepatikana vinginevyo. Hiyo ndiyo kamali au bet iliyopo mezani. Mwishoni wananchi ndiyo wanaosema, siyo msemaji wa Serikali wala serikali; mradi kura kwenye chaguzi zijazo zisiibiwe.
Kura haziibwi na CCM haishindwi
 
Mwananchi unaruhusiwa kutoa maoni yako lakini sio kila unachoongea kifuatwe Serikali inachoangalia maslahi ya taifa kwanza mambo ya kutuletea siasa uchwara za akina mdude hatuwezi kufika popote hata ule waraka wa TEC ni maoni tu si lazima yafuatwe Serikali haiendeshwi kidini ila inapokea maoni kutoka kwa viongozi wa dini.
 
Back
Top Bottom