Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Unaongea nini ?!!Huwezi mtenganisha Muislamu na uislam.
Thus hata kama ni ajira,au upendeleo wowote ataanza na Muislamu mwenzake kabla ya factors zingine mfano professionality, experience,nk
Hivi hizo dini zenu za Kutoka nje zimekuja kutufanya tusithaminiane utu na UBINADAMU ?!!
Aliyekufundisha hayo mwambie kumlllmaammmyeeekeee!