antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Tatizo ni kuwa Gerson Msigwa kama chawa wengine haaminiki.Hayo yamesemwa Agosti 26, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Gerson Msigwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ambapo amesisitiza kuwa hadi sasa hakuna mkataba wowote wa utekelezaji kuhusu uendeshaji na uendelezaji wa bandari ambao umeshasainiwa.
Uongo ukirudiwa rudiwa mara nyingi unakuwa ukweli.Kipengele Cha kutowepo kwa ukomo, kipengele Cha urithi wa mkataba kimeleta hayo mawazo ya kuuzwa
Afafanue maana ya Hicho kipengele Cha ukomo na urithi Nini maana yakeUongo ukirudiwa rudiwa mara nyingi unakuwa ukweli.
.....hakuna bandari iliyouzwa.....
Msemaji aliendelea kusisitiza.
Huwezi mtenganisha Muislamu na uislam.tatizo ni Uislamu haufundishi partriotism ndiyo maana hakuna nchi ya Kiislamu unayopenda kwenda kuishi ambayo inafwata Uislamu, shida iko hapo Waislamu hawaamin katina nation idea wanaamini ummah, sasa ummah siyo nation …
Maoni yatazingatiwa,shida Iko wapi?Sasa watu wametoa maoni wameitwa wapinzani. Halafu baadae et watazingatia
Maoni ya wadau ni maoni Gani yanayozidi
Hayo ya wananchi. Halafu watu wanaong'ang'aniza swala hili wakati watanzania wanakataa wanamaanisha bandari ni ya kwao au vip?
Kwangu sijaona tatizoWapinzani na TEC..!!?
Me nlidhani bandari ni ya umma which includes you
#Watazirudishaje na walishatumia
Mbona tunaambiwa Dubai si serikali mara ni nchi muda mwingine tunaambiwa si nchi ni kampuni ukweli ni upi
Kama unamuamini Msigwa wewe ni taahira!Maandamano yameishia wapi?
Kama unamuamini Msigwa wewe ni punguani!Wanaukumbi.
Kila hatua na kadri majadiliano yatakavyokuwa yanaendelea ikiwemo kuafikiana au kukubaliana pande zote kati ya Serikali ya Tanzania na mwekezaji kwenye uendelezaji wa bandari ya Dar es Salaam , umma wa Watanzania tumehakikishiwa kuwa utajulishwa.
Hayo yamesemwa Agosti 26, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Gerson Msigwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ambapo amesisitiza kuwa hadi sasa hakuna mkataba wowote wa utekelezaji kuhusu uendeshaji na uendelezaji wa bandari ambao umeshasainiwa.
Msigwa amesema, baada ya hatua ya makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai hatua itakayofuata ni mikataba ya utekelezaji.
Kuhusu mikataba hiyo ya utekelezaji, Msigwa amesema
"Baada ya makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kinachofuata sasa ni mikataba ya utekelezaji, katika mikataba hiyo ya utekelezaji ndio itasema sasa miradi itakuwa ni ya muda gani"
Msigwa ameendelea kwa kusema kuwa, hatua itakayofuata ni uandaaji wa nyaraka na katika hatua hii ndipo miradi ya utekelezaji itaandaliwa huku akiendelea kusisitiza kuwa hakuna bandari iliyouzwa.
Sasa maoni SI ndo hayohayo yanayotolewa. Halafu mtu akitoa maoni anatiwa mbaloni. Kuna maoni mengine?Maoni yatazingatiwa,shida Iko wapi?
Ningekuwa punguani bi mkubwa wako angenikubali? Weww unawaamini wapiga nyeto utakuwa na akili kweli.Kama unamuamini Msigwa wewe ni punguani!
Wee kilaza unajisifia kupakuliwa kinyesi na Waarabu!Ningekuwa punguani bi mkubwa wako angenikubali? Weww unawaamini wapiga nyeto utakuwa na akili kweli.
Hayo ni mawazo ya upinzani,hayana budi kuwepo,siyo Kila kitu kinachofanywa na serikali kitaungwa mkono na wote,raisi wetu mama Samia hakika anaupiga mwingi,ametengeneza filamu ya the royal tour imetuingizia watalii hapa nchini wengi kama nzige,sasa ameingia mkataba wa undeshaji wa bandari na kampuni nguli duniani katika uendeshaji wa bandari,bandari yetu inaenda kuwa moja ya bandari yenye huduma bora Africa nzima,huku ikiingizia nchi Pato kubwa,wasiompenda raisi wetu Samia 'wameliteka' Hilo jambo nakuanza kuwaaminisha watanzania wa kawaida kwamba eti bandari inauzwa,hiyo yote ni wivu tu kwamba raisi Samia asije kupata sifa kubwa kutokana na mafanikio yanayoenda kupatikana kwenye bandari.Msijali watz!
Atakuja rais mwingine mwenye akili atatunasua kwenye hili tego hata kama tutalipa fidia ya mabilioni itakuwa bora zaidi kuliko kuendelea kuukumbatia huu uharo!
Duh !Msijali watz!
Atakuja rais mwingine mwenye akili atatunasua kwenye hili tego hata kama tutalipa fidia ya mabilioni itakuwa bora zaidi kuliko kuendelea kuukumbatia huu uharo!
Wewe utakuwa umelelewa na Padre John ujajua tabia zao ndiyo maana upo radhi ufe usiache kuwatetea.Wee kilaza unajisifia kupakuliwa kinyesi na Waarabu!
Shangaa na wewe !! Sisi wananchi ni wa kutoa maoni tu sio wa kutoa maamuzi !!Huwa nashangaa sana pale ambapo wananchi sijui hujiona ndio wenye maamuzi dhidi ya waliowapa nafasi!