Serikali kugawa vishikwambi kwa walimu Nchini

Na pia watalazimisha vishikwambi viwe na laini za TTCL ama namna gani?
 
Walimu meno nje. Ila hizi tablet hazina sana issue maana navyowajua mtatembea nazo kila sehemu
 
Bora kukaa kimya tu kama ujui,kuanzia darasa la nne hadi la saba kwenye somo la sayansi kuna mada za internet na mada za program jedwali na andishi,hivyo hivi vishikwambi vitawasaidia sana walimu katika kufundisha.
 
Ukiwa mtu wa kunyoosha mambo hutoboi
 
Tusipuuzie sana jitihada, hata kama tablets zilizotolewa hazina ubora bado ipo haja ya kushukuru "angalau". Mnaodai kuwa kuna maeneo yasiyo na network lakini hata offline notes zipo tu kazi itaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…