Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Wamezindua leoUpendo kwa Walimu unazidi sana!
Mwenye fununu tafadhali!!?
Nasubiri cha kwangu kishikwambi KWA hamu Sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamezindua leoUpendo kwa Walimu unazidi sana!
Mwenye fununu tafadhali!!?
Nasubiri cha kwangu kishikwambi KWA hamu Sana!
Wametumia Billion ngapi!?Wamezindua leo
Bora kukaa kimya tu kama ujui,kuanzia darasa la nne hadi la saba kwenye somo la sayansi kuna mada za internet na mada za program jedwali na andishi,hivyo hivi vishikwambi vitawasaidia sana walimu katika kufundisha.Hii ipo kisiasa zaidi, mwalimu anafundisha kwa chaki ubaoni huko Nanjilinji unampa kishkwambi cha nini? Kuangalizia muvi?
Labda kama wameona baada ya sensa hawana pa kuvipeleka wakaamua kuwapa walimu.
Ila kusema vitaboredha utoaji wa elimu nchini ni uongo.
Ukiwa mtu wa kunyoosha mambo hutoboiTanzania kubadilika ni ngumu sana tunajikwamisha wenyewe hsa watendaji wa serikali wanakwamisha mambo mengi sana mazuri.
Mimi ni shuhuda 2021 nilipeleka a very good ict project kwa tamisemi na wizara ya elimu kwaajili ya shule zetu hizi za umma na ilikuwa simple na inayoendana mazingira yetu.
Kilichotokea huko ni kusifiwa tu good project ooh hii itaeta mabadiliko sasa kwenye ushirikiano hupewi hata kupata kibali tu nilisota mwaka na sikupata the end vijana wa ict waliograduate kama 13 ambao ndio waliunda mfumo huo wa elimu walianza kutawanyika mmoja mmoja na ndio mchezo ukausha hivyoo.
Hii nchi ni ngumu sana kufanikiwa hasa km wewe ni mtu wa kunyoosha mambo.
Ni ngumu sana hii nchi.
Kwa sasa hivi hakuna mwalimu hana kishikwambi.Kwa walimu ndio rahisi kupigia nani atahakiki vimefika vyote