Serikali kujenga madarasa mapya manne katika kila shule ya Sekondari ya Serikali. Watoto wote 1M kuanza shule Januari 2022

UPUUZI MTUPU!!!! Alikuwa wapi huyu wa jinsia ya kike kuyajenga madarasa hayo 2016 au 2017 hadi asubiri 2021

Mkuu BAK ,

mtu kama wewe unaheshima kubwa sana humu si vema kutoa matusi

"Kila kitu ni swala ni muda "

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Sasa kama kitu ni UPUUZI tusiseme? Acheni kuweka vitu vya KIPUUZI PUUZI kama hampendi kuambiwa ukweli.

Mkuu BAK ,

mtu kama wewe unaheshima kubwa sana humu si vema kutoa matusi

"Kila kitu ni swala ni muda "

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Ushauri hayo madarasa yajengwe kwenye shule zenye upungufu sio kwa uwiano eti tuu kila shule iwe na madarasa 4..

Hongera Sana mama tuko na wewe.
 
Kwahio Hayo madarasa Manne una uhakika yatabeba wanafunzi wote kila kata Mkuu??...

Halaf Mkuu tukitoa hayo madarasa Mindombinu mingine Vip??Au unataka tu watoto waende shule halaf wamalize hawajui chochote??
Kwani we unaona vipi? Kunayo iliyosimama?
 
Miondombinu gani hakuna mkuu wangu,

Hebu tuweni na shukrani wazee,

Mbona Mama anamaliza kila kitu kwa wakati yani,

#KAZI IENDELEE
Hao ni wale wenye fitina,hiyana na chuki tuu wala hakuna hoja ndio maana unaona wanahangaika kutaka akwame kitu ambacho hakitaa kitokee.
 
Mbona asipofanya hamjilalamikii mnamlalamikia?

RAIS AKIPATIA NONGWA AKIKOSEA NONGWA SISI WATU WA NAMNA?

#KAZI IENDELEE KWA KASI & NGUVU ZAIDI
Achana na wapuuzi hao Wana chuki tuu ila Mama atawafunika vibaya Sana.
 
Kwa akili zako fupi Kwani unadhani pesa huwa inatoka wapi kama sio kwa mwananchi?
 
Huu muda wa kusifia tungewekeza kwenye kutenda na fikra za kuboresha huenda wakulima wasingekosa wateja wa mahindi yao.., wala Wananchi wasingeminywa kwa Tozo wakati kuna vyanzo kede kede kuliko nchi zote zilizotunguka
Wewe umefanya lipi Kati ya ha hayo unayosema? Au unabwabwaja bila kuonesha mfano? Unataka nani akufanyie?
 
Kumbe ulitaka usubirie baada ya mda gani? Hoji mwisho wa mwaka wa serikali Juni 2022..

Fedha za tozo ni kwa ajili ya elimu,afya,maji na barabarani Vijijini.
 
Kwa akili zako fupi Kwani unadhani pesa huwa inatoka wapi kama sio kwa mwananchi?

Kumbe pesa zinatoka kwa wananchi? Halafu nyie wenye akili ndefu ndiyo sasa mnaimilikisha kwa vigogo wasiochangia lolote? Kwa hivyo tuwashukuru mno kwa lolote watakalo fanya na sehemu yoyote ya pesa hizo kwa vile sasa ni zao?

Huu si zaidi ya utwana?

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…