Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 701
- 895
Nchi ya majangili tupuMsajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi.
Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024 katika Mkutano wa Msajili wa Hazina na Wahariri wa Vyombo vya habari, Mchechu amenukuliwa akisema “UDART sasa hivi ni kampuni inayomilikiwa 85% na Serikali, ilipoanza ilikuwa inaendeshwa na Sekta binafsi Serikali ilikuwa na mchango mdogo, tukajikuta ina madeni mengi, mabasi yake ndio hivyo, kwa miezi miwili nimekuwa nafanya vikao na DART kampuni inayosimamia miundombinu, na UDART inasimamia uendeshaji na mabasi”
“Tunaenda kuongeza idadi ya mabasi na kesho nina kikao na benki ya NMB ambayo ndio wanatukopesha, tutakuwa na kikao pale NMB na UDART, DART, LATRA kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa fedha wa kupata mabasi yasiyopungua mabasi 100 ambayo yataweza kutusaidia”
“La pili kwa hatua tuliyofikia tunahitaji kampuni zaidi ya tano au sita, sio kampuni moja tu ambayo siku wakigoma au kupata matatizo Mji wote umesimama, unapokuwa na Waendeshaji wengi pia ni rahisi kujua nani anatoa huduma nzuri”
“Tutahitaji miezi sita kuanzia tunapotoa oda mpaka mabasi yaje, tutafanya maongezi na NMB kesho tutajua lini mabasi yatakuwa yanafika, najua nitamuachia Mkurugenzi Mkuu wa UDART na Bodi yake kuisema kwa Umma lakini kazi yetu ni kuhakikisha wanapata pesa”
Millard Ayo
Yaletwe mabasi ya umeme. Wizi wa diesel ukome.Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi.
Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024 katika Mkutano wa Msajili wa Hazina na Wahariri wa Vyombo vya habari, Mchechu amenukuliwa akisema “UDART sasa hivi ni kampuni inayomilikiwa 85% na Serikali, ilipoanza ilikuwa inaendeshwa na Sekta binafsi Serikali ilikuwa na mchango mdogo, tukajikuta ina madeni mengi, mabasi yake ndio hivyo, kwa miezi miwili nimekuwa nafanya vikao na DART kampuni inayosimamia miundombinu, na UDART inasimamia uendeshaji na mabasi”
“Tunaenda kuongeza idadi ya mabasi na kesho nina kikao na benki ya NMB ambayo ndio wanatukopesha, tutakuwa na kikao pale NMB na UDART, DART, LATRA kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa fedha wa kupata mabasi yasiyopungua mabasi 100 ambayo yataweza kutusaidia”
“La pili kwa hatua tuliyofikia tunahitaji kampuni zaidi ya tano au sita, sio kampuni moja tu ambayo siku wakigoma au kupata matatizo Mji wote umesimama, unapokuwa na Waendeshaji wengi pia ni rahisi kujua nani anatoa huduma nzuri”
“Tutahitaji miezi sita kuanzia tunapotoa oda mpaka mabasi yaje, tutafanya maongezi na NMB kesho tutajua lini mabasi yatakuwa yanafika, najua nitamuachia Mkurugenzi Mkuu wa UDART na Bodi yake kuisema kwa Umma lakini kazi yetu ni kuhakikisha wanapata pesa”
Millard Ayo
Hiyo PPP hapo wameona hakuna mpenyo mkubwa wa upigaji kama watakwopata sasa.Hii nchi Ina mipango ya ajabu Sana. Kwanini wasitumie PPP.
Asilimia 85 kwa Serikali kuimiliki UDART ni kubwa sana na ndio inayohamasisha wizi na ubadhirifu. UDART ijiorodheshe kwenye soko La hisa ili kampuni imilikiwe na wananchi na makapuni binafsi. Serikali ibakie na asilimia 25 au 30, zilizobaki ziorosheshwe DSE ili zinunuliwe ili wigo wa umiliki uongezeke sambamba na usimamizi.Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi.
Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024 katika Mkutano wa Msajili wa Hazina na Wahariri wa Vyombo vya habari, Mchechu amenukuliwa akisema “UDART sasa hivi ni kampuni inayomilikiwa 85% na Serikali, ilipoanza ilikuwa inaendeshwa na Sekta binafsi Serikali ilikuwa na mchango mdogo, tukajikuta ina madeni mengi, mabasi yake ndio hivyo, kwa miezi miwili nimekuwa nafanya vikao na DART kampuni inayosimamia miundombinu, na UDART inasimamia uendeshaji na mabasi”
“Tunaenda kuongeza idadi ya mabasi na kesho nina kikao na benki ya NMB ambayo ndio wanatukopesha, tutakuwa na kikao pale NMB na UDART, DART, LATRA kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa fedha wa kupata mabasi yasiyopungua mabasi 100 ambayo yataweza kutusaidia”
“La pili kwa hatua tuliyofikia tunahitaji kampuni zaidi ya tano au sita, sio kampuni moja tu ambayo siku wakigoma au kupata matatizo Mji wote umesimama, unapokuwa na Waendeshaji wengi pia ni rahisi kujua nani anatoa huduma nzuri”
“Tutahitaji miezi sita kuanzia tunapotoa oda mpaka mabasi yaje, tutafanya maongezi na NMB kesho tutajua lini mabasi yatakuwa yanafika, najua nitamuachia Mkurugenzi Mkuu wa UDART na Bodi yake kuisema kwa Umma lakini kazi yetu ni kuhakikisha wanapata pesa”
Millard Ayo
Huo mradi si ulishabinafsishwa mwekezaji anakuja na nini ?Hii nchi Ina mipango ya ajabu Sana. Kwanini wasitumie PPP.
Ndomaana viongozi wanakomaa wasitoke kwenye mfumo,maana serikalini ukipiga bilioni kadhaa,hufanywi chochote,ila huku MWIZI WA SIMU YA TSH.24 ELFU,anauawa.Kuna yaoharika ambayo yabgetengenezeka kwa gharama ndogo tu,
Mali ya umma raha sana
Mchechu ni husiness minded bravo, hawa wanatakiwa wapewe mabasi ya mkopo ili wawe na ari ya kutoa huduma nzuri na efficient kwani kuna machungu ya marejesho,hii mambo serikali inafanya uwekezaji mkubwa wa miundombinu bado iwape mtaji,bado vitendea kazi , ndio inaleta inefficiency na taasisi kufanya kazi buziness as usual, na ndio maana mashirika mengi yana kila kitu ila yanatengeneza hasara kwakuwa hakuna anayeumiza kichwa, ruzuku itakuja 😡😡Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85% ili kuongeza mabasi zaidi ya 100 ya mwendokasi.
Akiongea Jijini Dar es salaam leo July 15,2024 katika Mkutano wa Msajili wa Hazina na Wahariri wa Vyombo vya habari, Mchechu amenukuliwa akisema “UDART sasa hivi ni kampuni inayomilikiwa 85% na Serikali, ilipoanza ilikuwa inaendeshwa na Sekta binafsi Serikali ilikuwa na mchango mdogo, tukajikuta ina madeni mengi, mabasi yake ndio hivyo, kwa miezi miwili nimekuwa nafanya vikao na DART kampuni inayosimamia miundombinu, na UDART inasimamia uendeshaji na mabasi”
“Tunaenda kuongeza idadi ya mabasi na kesho nina kikao na benki ya NMB ambayo ndio wanatukopesha, tutakuwa na kikao pale NMB na UDART, DART, LATRA kwa ajili ya kufanikisha mchakato wa fedha wa kupata mabasi yasiyopungua mabasi 100 ambayo yataweza kutusaidia”
“La pili kwa hatua tuliyofikia tunahitaji kampuni zaidi ya tano au sita, sio kampuni moja tu ambayo siku wakigoma au kupata matatizo Mji wote umesimama, unapokuwa na Waendeshaji wengi pia ni rahisi kujua nani anatoa huduma nzuri”
“Tutahitaji miezi sita kuanzia tunapotoa oda mpaka mabasi yaje, tutafanya maongezi na NMB kesho tutajua lini mabasi yatakuwa yanafika, najua nitamuachia Mkurugenzi Mkuu wa UDART na Bodi yake kuisema kwa Umma lakini kazi yetu ni kuhakikisha wanapata pesa”
Millard Ayo
Nitajibu swali la pili tu.Kwanza mtujibu haya maswali
1.Kwanini mradi umefeli?
2.Waliosababisha hayo wamechukuliwa hatua gani?
3.Mmechukua hatua gani madhubuti ili msianguke tena?
Wanajuwaga kununua/kukopaHalafu baadaye kidogo watauziwa Waarab!
Watawapa wawekezajiYaliyopo yamewashinda kuyaendesha hayo Mia ndo wataweza?