Serikali kukopa Fedha NMB kwaajili ya kununua Mabasi 100 ya Mwendokasi

Kwa hiyo yule Mwarabu mwekezaji haji tena? Waandishi wa habari kwa hiyo huwa hamko up to date ya mambo yanayoendelea nchini?

Si mungemuuluiza kuwa huyo mwekezaji mwarabu kagaili au?

Waandishi wa habari nchi hii wajinga sana
Tuna reporters tu hatuna journalists
 
Wananununua mabasi mengine ya nini wakati kampuni ameshapewa mwarabu?
Yale yale mambo ya bandari serikali imewekeza mtaji mkubwa hata kabla haijaanza kurudisha kapewa mwarabu.
Waandishi wa habari Tanzania kabla proffession yenu haijaonekana ya wapumbavu ulizeni hilo swali huyo msajili wa hazina
Pascal Mayala unayejiita mwandishi wa habari nguli na wenzio vijiweni wanaojiita waandishi wa habari nguli ulizeni kwa niaba ya wananchi
 
Serikali ya Puerto Rico imekubaliana na mwekezaji ikope inunue bus za kutosha ndio wapewe hiyo Tenda bila kuwa na Bus za kutosha huyo muhuni awezi kuingia mkataba nao hao Puerto Rico baada ya hizo Bus kufika itachukua miezi 7 tu kuwapa wahuni huo mradi..
 
Njia ya kupiga pesa, ngoja uje usikie gharama ya hayo mabasi 100.
Urefu wa kamba unahusika.
 
Tukishanunua ndio tutamkodisha
Yaani aje na msuli tu mchele na viungo na nyama atavikuta huku.
Nilipokua nasoma shule moja ya kiislamu enzi za Juliasi, waarabu ndio Kati ya watu ambao walikua hawana akili darasani.
Leo hii tuna wa import waje kutuongoza.
 
Kwa nini hayo mabasi wasiyabinafsishe tu kwa sekta binafsi, halafu hiyo serikali ikajikita kwenye ukusanyaji wa kodi na pia kutengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji!
Ni vigumu sana sekta binafsi kuendesha kwa faida kwa sababu ya uwepo wa DART na UDART ambavyo vitakuwa ni vyombo vya ulaji bila kuangalia ufanisi na faida.
Kama yalivyo mashirika mengi ya uma na serikali yenyewe ni vichwa vya wendawazimu (wote wenye akili, waninga na hata majuha) hujifunzia hapo.
 

Na yale magari ya viongozi wa Serikali nayo kwenye bajeti ni kwa mkopo au makusanyo ya ndani?
 
Miradi ya watu hiyo . serikali aijaeai kufanya biashara na kufanikiwa never ever
 
Hivi NMB kweli wako tayari kuwakopesha UDART?
Seriously, NMB wamechoka kupata faida, wachumi wao wanatumia vigezo gani kutoa mikopo?
Miaka nane udart hawajanunua hata pikipiki kila mwaka Ni hasara, ilhali hawana mpinzani hata foleni hawana, leo uwakopeshe wanunue Basi Tena sio moja, Mia moja. Kuna mtu kawaambia Hilo shimo zinapotumbukia pesa za udart limefukiwa?
Maybe NMB knows something we don't know. If yes, nmb please enlighten me.
 
probably held at gun point, kushinikizwa kutoa huo mkopo.....
 
Yaliyopo yamewashinda kuyaendesha hayo Mia ndo wataweza?
Kumbe upumbavu una angle nyingi..kwa hiyo dawa ni kukopa na kununua mengine, ila si kujua kwa nini yaliyopo yako hivyo na yameshindwa kurudisha pesa yaliyonunuliwa..ana uhakika gani haya 100 yatarudisha mkopo??
 
Case hizi hizi za miradi mfu kama hii zimewapeleka TIB shimoni, na BOT wanajua..TIB imekopesha ujenzi wa stand za mabus, kiko wapi sasa..mkopo haujarudishwa, stand zenyewe hazitumiki, upumbavu mtupu!! nitawashangaa km NMB watakubali huu ujinga wa mkopo wa kununua mabasi ya UDART, si wamepata mbia..imekuwaje tena habari imekuwa mkopo???
 
Wamtoe kwenye hii nafasi, mtu mwenye akili timamu huwezi kuleta huu ujinga hadharani!
 
Nchi hii miaka 200 tutakua hapahapa......watu wana ubinafsi wa hali ya juu sana. Wanakula tu bila kujali.
Huyu Mchechu kaiingiza NHC kwenye madeni yasioelezeka, NMC imejenga majengo ambayo haiwezi kiyauza wala kukodisha.sasa kaaanza huko tena. For some reason kuna watu wanamuona aka akili sana....hovyo kabisa....buree kabisa..
 
Hivi sasa ndio vilikuwa vitu vya kubinafsisha
 
Kumbe upumbavu una angle nyingi..kwa hiyo dawa ni kukopa na kununua mengine, ila si kujua kwa nini yaliyopo yako hivyo na yameshindwa kurudisha pesa yaliyonunuliwa..ana uhakika gani haya 100 yatarudisha mkopo??
Wanafanya maamuzi kwa kukurupuka
 
Kuna sehemu nilisoma wanasema wao WB ,IFM na wengineo huonga mtu ambaye ni kiongozi kuamua vitu vya nchi kwa faida yao.

Wenye jicho la tatu tunaona ni kama ilivyobandari,tunachimba kwa tril 1 halafu tunamkabidhi mwekezaji tu.
nahisi hii tutanunua mabasi,na tutasema hatuwezi yaendesha tunamkabidhi mwekezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…