Serikali kutoa ruzuku ya bilioni 100 kunusuru bei ya mafuta. Yaomba mkopo IMF na Benki ya Dunia

Kwa hiyo bilioni 100 itatolewa mara moja tu, ama kila mwezi au kila baada ya muda gani?
Binafsi sioni kama hiyo ruzuku kama itapunguza bei ya mafuta vya kutosha.
 
Ukiangalie ule mkeka wa kodi kwenye mafuta ipo namna ya kucheza na zile kodi na kuweza hata kuondoa tsh1000 kama kweli kuna lengo la kupunguza mzigo kwa mwananchi..

Baadala yake hiyo tsh1000 ifidiwe kwa kupunguza matumizi ya serikali, kukata au kuondoa kabisa posho za Excutives wote wakiwemo wabunge ( tuko kwenye dharula)..

Watalaam wakaechini wadadavue cost za mafuta kwenye hizo V8/month na excutives wengine wanaofanya kazi mjini watumie magari yao private after working hours/weekend na V8 za serikali baada ya kazi ziwarudishe nyumbani na madereva warudi kupaki maofisini....

Wafanyakazi wengine wasio na ulazima wa kutumia magari watumie public transport na magari waache nyumbani...
Safari zote nje ya kazi au shughuli za kiofisi kwa kutumia facilities za serikali iwe marufuku.

Serikali iache mara moja kulipa posho za vikao na viwe ni sehemu ya kazi maofisini, Safari zisimamishwe isipokuwa kuwe na kibari maalum kutoka Ikulu, Vikao vifanyike online baadala ya watu kusafiri..
Energy management kuhakikisha taa, AC, Computer nk vinazimwa vinapokuwa havitumiki ili kupunguza utilities bills..

Kodi ya vileo/pombe kutoka nje iongezwe maradufu kufidia gaps pia, Guests house, hotels na maduka yoote yafanyiwe usimamizi wa kutosha kwenye utoaji wa risiti za efd...
Mifumo yoote ya ulipaji mapato ya serikali online tuhakikishe inafanya kazi na malipo yoote yawe online..

Serikali ikiweka mbinyo kwenye matumizi yake basi hili la mafuta linaweza kabisa kuwekwa sawa.
 
Subiria uongoze serikali ya wajinga wenzako ndio utatoa hiyo 1,000 ..

Niliwaambia mapema kwamba Kamwe serikali haiwezi kuondoa pesa za miradi Ili tuu wewe ununue mafuta bei chini..

Na kama itatoa basi itatoa taratibu taratibu kulingana na bei ya mafuta Duniani na impacts ya mafuta kwenye uchumi in case production imepungua na si vinginevyo.
 
Hata kama Rais alikosea mwanzo aliposema bei ya mafuta itapanda tujiandae, lakini kwa hii hatua aliyochukua namuunga mkono hasa ya kutoa ruzuku ya bilioni 100, we all learn from mistakes.
Kwa nini tozo zisifutwe. Na kule zilipokuwa zinaenda wajibane
 
Mtumishi afanye Kazi ya umma afu alipie 30% ya pesa zake kufanya Kazi ya umma? Kuwa serious basi hata kama ni mjinga.
 
wauze mavi-8 yote ya wakurugenzi na madc pesa zielekezwe kwenye kupunguza gharama ya mafuta pia mikutano mingi ifanywe online na sio kwenye mihotel ya nyota 5
Wakiuza kwa hiyo watakuwa wanatembea kwa miguu kwenda kufanya Kazi au sio?

Kwamba hizo V8 ndio zitadhibiti bei kupanda au sio? 🤣🤣
 
Kinukishe, tuko nyuma yako mkuu.
 
Hiyo 1000 ya kufuta na 1000 ya kutia vitatoka wapi?

Kuondoa au kupunguza ruzuku ni sahihi ila haiwezi kutosha
 
Hata kama Rais alikosea mwanzo aliposema bei ya mafuta itapanda tujiandae, lakini kwa hii hatua aliyochukua namuunga mkono hasa ya kutoa ruzuku ya bilioni 100, we all learn from mistakes.
Kwa hiyo kusema Bei zitapanda ni kosa!!?..je hazipandi, kama si Tanzania huko duniani hazipandi!?..
 
Exchange rate haiwekwi bali soko linaamua
 
Kukosa ubunifu tu wangeweza sana kuhamisha baadhi ya Tozo kwenda kwenye bidhaa zingine Ili walau mafuta yashuke na multiplier effect ishushe inflation.

Otherwise unaweza suspend Mradi mmojawapo kwa hii miezi mitatu Ili Ile tozo say ya REA ama Road Fund itolewe ndani ya interim period.

Kung'ang'ania tozo wakati mafuta yanapandisha bei zingine utakuta hiyo trillion 1 unayoimezea mate ikapoteza thamani kwa 20% due to inflation kufikia mwakani so ukakuta hujaokoa lolote kwenye Miradi.
 
Wewe uko nje wenzio tuko ndani,kufanya hayo unavyosema itategemeana na mwenendo wa Uchumi na yanafanyika hatua kwa hatua..

Kuhamishia tozo kwenye bidhaa nyingine ndio hakuleti inflation? Je kutatuhakikishia pesa ya barabara?

Umekariri tozo,tozo wakati pale kuna excise duty kubwa kuliko hizo zingine zote.
 
Badala ya kutoa tozo kwenye mafuta ili yashuke tunatengeneza tena dependency kwa kwenda kukopa. Sijui what kind of thinking is this.
 
Hiyo ruzuku zipewe taasisi zinaweka tozo kwenye bei ya mafuta ili tozo zao ziondoke. Hilo litakuwa suluhisho la kudumu.
Pili ondoa msururu wa taasisi, nyingi ni ulaji tu kwa kutoa makaratasi yasioongeza thamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…