NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Wanafanya spinning ya matukio kwenye masuala mtambuka kama haya!!ngoja tuone!!Hamjamboni nyote?
Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni.
Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
View attachment 2300672
View attachment 2300511
Hahaha.......kandoto katamu!Wakuu umofia kwema!
Baada ya Jana kupigwa na kitu kizito, serikali nayo imetoa tamko linaloashilia kuwepo kwa Ahadi mbele yake, chama cha wafanyakazi nao wanaonekana kukusudia kukaa mezani kufanya michongo na serikali.
Hakuna madaraja, hakuna madaraja mserereko hakuna kupanda kwa mshahara.
Woga sio jadi yetu! Ongezeko la mishahara ni haki yetu. Turudi kwenye haki ya kikatiba ya mgomo na maandamano makubwa. Hatuna sababu ya kufundisha, kutibu watu ama kusukuma mitambo kwa mishahara ya kinyonyaji.
Alisema mwalimu nyerere "wafanyakazi muungane, hakuna cha kupoteza isipokuwa minyororo yenu"
Ongezeko la Asilimia 100 ni lazima, tuliyotayari kwenda Kula tausi tujuane. Nitaongoza msafara
TATIZO la mama anataka amfurahishe kila mtu, kikundi, chama. Mwisho wa siku mambo yana kuwa kama hayo. Awe mkweli tu, kama kitu hakiwezekani aseme wazi wazi.Hili jambo linaweza kuifedhehesha sana Serikali ya Mama!
Anajipotosha mwenyeweNani anampotosha Mama!!??
Watu wagumu sana kuelewa.Kwanza hata bila serikali kutoa ufafanuzi inaeleweka kuwa 23.3% ni nyongeza ya mtu anayelipwa kima cha chini kabisa cha mshahara na wala si nyongeza ya asilimia hiyo kwa wote! Mbona ingekuwa hivyo serikali ingefilisika mwezi mmoja tu! Pili, bajeti ilishapitishwa, hivyo hakuna litakalobadilika zaidi ya haya niliyoandika hapa! Labda subirini nyongeza ya miaka inayofuata lakini siyo mwaka huu wa fedha!
Ukiniletea unyoya wake tu na wala si nyama nitajua jeshi la Polisi limebadilika chini ya IGP WamburaWakuu umofia kwema!
Baada ya Jana kupigwa na kitu kizito, serikali nayo imetoa tamko linaloashilia kuwepo kwa Ahadi mbele yake, chama cha wafanyakazi nao wanaonekana kukusudia kukaa mezani kufanya michongo na serikali.
Hakuna madaraja, hakuna madaraja mserereko hakuna kupanda kwa mshahara.
Woga sio jadi yetu! Ongezeko la mishahara ni haki yetu. Turudi kwenye haki ya kikatiba ya mgomo na maandamano makubwa. Hatuna sababu ya kufundisha, kutibu watu ama kusukuma mitambo kwa mishahara ya kinyonyaji.
Alisema mwalimu nyerere "wafanyakazi muungane, hakuna cha kupoteza isipokuwa minyororo yenu"
Ongezeko la Asilimia 100 ni lazima, tuliyotayari kwenda Kula tausi tujuane. Nitaongoza msafara
Watu mnajua kudeka, eti mama😅Hili jambo linaweza kuifedhehesha sana Serikali ya Mama!
Haijalishi unamchukukia kiasi gani , she is your president, Hadi mwaka 2030,jiandae kisaikolojia,Mara ngapi afedheheke kinachomkera wameongeza posho wao wakubwa huku chini maumivu ubinafsi wa Hali yajuu aa Hawa viongozi, waogope jamani, tozo Kila Kona, gharama za maisha zimepanda. Kwani si angekaa tu kimya kuliko Nye Nye Nye nyingi afu unakuta 12600 upuuzi mtupuu!!
Nimemchukia huyu maza na vibaraka wake!!
Teh tehHata muongee vipi nothing will change in short hamna uchungu na watu wa chini, mngekua watu Kama ngeshusha na posho kenge ninyi!![emoji19][emoji57]
Tangazo lilikuwa linajifafanua lenyewe, tuliolielewa hatukutarajia mabadiliko makubwa.Swali rahisi la kujiuliza ni moja, kwanini walipokua wanatangaza hili ongezeko hawakutoa ufafanuzi af leo ndo wanajidai kutoa ufafanuzi? Hii ni damage control tu hakuna lolote
Hakuna muajiriwa mwenye ujanja wa kuishi nje ya mshahara,we uoni wakistaafu upewa teuzi Ili wasife mapema,usione mabiashara makubwa wanafanya wakiwa makazini yote yanategemea ofisi kupitia kodi zetu, ukitaka kuthibitisha hilo iangalie biashara hio baada ya kustaafu, nyingi nazo huwa zinastaafu kwa maana ofisi imekata.[emoji2] Abeg.
Acheni kazi
Mlisikis vibaya alisema 2.3% na sio 23% kwa akili tu ya kawaida kwa uchumi upi wa kuongeza hii 23Alitakiwa atoe ufafanuzi Kipindi kile watu wanapotoshana kuhusu 23%!