Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie
Hamjamboni nyote?

Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni.

Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
View attachment 2300672
View attachment 2300511
Wanajua Hamna la kuwafanya zaidi ya kulia lia. Wao posho tu walipandishiana na kutaja viwango hadharani. Acha wawanyooshe. Wafanyakazi hawajielewagi utadhani vyeti walinunua. Au wengi ni mabashite ndio maana hawana maamuzi ya maana ?
 
Wakuu umofia kwema!
Baada ya Jana kupigwa na kitu kizito, serikali nayo imetoa tamko linaloashilia kuwepo kwa Ahadi mbele yake, chama cha wafanyakazi nao wanaonekana kukusudia kukaa mezani kufanya michongo na serikali.

Hakuna madaraja, hakuna madaraja mserereko hakuna kupanda kwa mshahara.

Woga sio jadi yetu! Ongezeko la mishahara ni haki yetu. Turudi kwenye haki ya kikatiba ya mgomo na maandamano makubwa. Hatuna sababu ya kufundisha, kutibu watu ama kusukuma mitambo kwa mishahara ya kinyonyaji.

Alisema mwalimu nyerere "wafanyakazi muungane, hakuna cha kupoteza isipokuwa minyororo yenu"

Ongezeko la Asilimia 100 ni lazima, tuliyotayari kwenda Kula tausi tujuane. Nitaongoza msafara
Mkuu kwani kuna mtu kakulazimisha kufanya hiyo kazi? Ukiona haikulipi achana nayo, tafuta itakayokulipa , msitake kusumbua watu vichwa , kumbe magufuli alikua sawa kabisa.
Nyongeza ya 23% ni kwa kima cha chini tu , wewe unataka 100% c ukafanya kazi zako mwenyewe upate asilimia unazohitaji wewe
FB_IMG_1658554812119.jpg
 
 
Mlisikis vibaya alisema 2.3% na sio 23% kwa akili tu ya kawaida kwa uchumi upi wa kuongeza hii 23
23% ilikua ni kwa wafanya kazi wa kima cha chini cha mshahara sio kwa wote , Nchi haina pesa hizo jamani , muwe wazalendo
FB_IMG_1658554812119.jpg
 
mi mgeni wa haya masuala ,kwa mfano mtu aliyekuw anapokea 360k hapo analamba kama shngap kwenye hiyo nyongeza kwa wanaofaham.
 
Haijalishi unamchukukia kiasi gani , she is your president, Hadi mwaka 2030,jiandae kisaikolojia.

Hata Magufuli tuliambiwa ni Rais mpaka mwaka 2035. Lakini kilichompata. Duhh.

Tatizo lenu nyie chawa huwa hamuelewi serikali zinavyoendeshwa kisayansi.

Mradi tu ukishapewa ubwabwa na vijisenti unapagawa.

Aiseee! Hmmm!
 
Mara ngapi afedheheke kinachomkera wameongeza posho wao wakubwa huku chini maumivu ubinafsi wa Hali yajuu aa Hawa viongozi, waogope jamani, tozo Kila Kona, gharama za maisha zimepanda. Kwani si angekaa tu kimya kuliko Nye Nye Nye nyingi afu unakuta 12600 upuuzi mtupuu!!

Nimemchukia huyu maza na vibaraka wake!!
Na nyie wafanyakazi wa umma,nyenye nyee zimekuwa nyingi,mnadanganywa kama watoto,pesa za nyongeza zitatoka wapi?kwani mapato yameongezeka?,je Kuna matumizi yamefutwa?uchumi umekuwa?
Ili upate pesa,ama uongeze mapato kutoka kuuza huduma na bidhaa nje,au upunguze Matumizi,
Mama angefuta halmashauri kadhaa,za pwani,na Dar,Dar ikarudi kuwa na wilaya tatu,pwani na Dar ziwe chini ya RC mmoja,FUTA vyeo vya UDC,punguza idara serikalini,punguza magari serikalini,sasa hajafanya hata moja,harafu Bado mkaamini kutakuwa na nyongeza ya asilimia 23%!!?
Inabidi mkapimwe vichwa milembe!!
Huyu mama na ccm,Alimfunga Mbowe kwa kesi ya ugaidi,akafuta kesi,akamkalibisha Ikulu,akampa pole,then wale walishiriki kutengeneza ushqidi wa mchongo,wamepewa vyeo.Aliyekuwa anqshiriki kubambikia watu kesi,leo hii ndio mpelelezi mkuu!!
There must be something wrong in her HE madame prezoo,if not she is evil,and she doenot respect the wananchi,all members of establishment they don't care how we feel,they will just brutalize us,as long as we allow them,njia pekee na lugha wanayoielewa Hawa ni mapinduzi tu,shaba kwenda mbele
 
Itakuwa tangazo lilikosewa.

Ni kosa la hao watendaji wa huko Ikulu, na Mwigulu hakutoa maelezo, ni ngumu mshahara kupanda kwa zile % za Mheshimiwa.
 
Mimi nasema safi sana bi mkubwa...wafanyakazi huwa wanakurupuka tu yani kama wengi wao sio wasomi,ona wanavotia huruma sasa iv

Mmekubali kutumika kama malaya kwa ajenda za serikali yani kifupi hamjitambui mbwa nyie

Mlipaswa kuwa kipaumbele ktk kutetea maslahi ya wananchi lakin nyie kutwa maandamano ya pongezi na kujipendekeza.

Huo utakua ni ufafanuzi na sio mabadiliko yani kifupi mtasubir sana na bado mtabaki kulalamika bila kutafuta suluhu ya ndani yenu wenyew

Mm nawapa siri serikali inawetegemea sana na inawaogopa sana ila hamjielewi nyie..iv kuna walimu,watumishi wa afya na watu kibao bado hamjioni umuhimu wenu????
 
Yani annual increment ni kubwa kuliko ongezeko la mshahara [emoji1787][emoji1787]
 
Huyu mama alishaambiwa Sana mwigulu ndie kikulacho chake asikii, huyu msingida yeye ana ajenda zake 2025.
Kwa mawazo yake anadhani atakuja kuwa Raisi wa nchi hii kwa tamaa zake asahau. Huyu ni pure blood dictator.
 
Itakuwa tangazo lilikosewa.

Ni kosa la hao watendaji wa huko Ikulu, na Mwigulu hakutoa maelezo, ni ngumu mshahara kupanda kwa zile % za Mheshimiwa.
Tunawaomba watumishi wawe na utu pamoja na utulivu kwa hiki kipindi ambacho mama anafungua nchi.
 
Wakuu umofia kwema!
Baada ya Jana kupigwa na kitu kizito, serikali nayo imetoa tamko linaloashilia kuwepo kwa Ahadi mbele yake, chama cha wafanyakazi nao wanaonekana kukusudia kukaa mezani kufanya michongo na serikali.

Hakuna madaraja, hakuna madaraja mserereko hakuna kupanda kwa mshahara.

Woga sio jadi yetu! Ongezeko la mishahara ni haki yetu. Turudi kwenye haki ya kikatiba ya mgomo na maandamano makubwa. Hatuna sababu ya kufundisha, kutibu watu ama kusukuma mitambo kwa mishahara ya kinyonyaji.

Alisema mwalimu nyerere "wafanyakazi muungane, hakuna cha kupoteza isipokuwa minyororo yenu"

Ongezeko la Asilimia 100 ni lazima, tuliyotayari kwenda Kula tausi tujuane. Nitaongoza msafara
Mgomo na maandamano ndio itakuongezea mshahara? Idiot
 
23% ilikua ni kwa wafanya kazi wa kima cha chini cha mshahara sio kwa wote , Nchi haina pesa hizo jamani , muwe wazalendoView attachment 2300796
Sasa mbona hapo hata huyo wa 8 ana 13% tu, 23% amepewa nani?

Magufuli alituambia kuwa yeye si kutoa maneno matamu matamu, tukachukia.
Tulipewa maneno matamu tukakatika mauno, Leo imetufikia ilivyo. Tusubiri maneno matamu hewa mengi Tuluke Mayeno.
 
Back
Top Bottom