Na nyie wafanyakazi wa umma,nyenye nyee zimekuwa nyingi,mnadanganywa kama watoto,pesa za nyongeza zitatoka wapi?kwani mapato yameongezeka?,je Kuna matumizi yamefutwa?uchumi umekuwa?
Ili upate pesa,ama uongeze mapato kutoka kuuza huduma na bidhaa nje,au upunguze Matumizi,
Mama angefuta halmashauri kadhaa,za pwani,na Dar,Dar ikarudi kuwa na wilaya tatu,pwani na Dar ziwe chini ya RC mmoja,FUTA vyeo vya UDC,punguza idara serikalini,punguza magari serikalini,sasa hajafanya hata moja,harafu Bado mkaamini kutakuwa na nyongeza ya asilimia 23%!!?
Inabidi mkapimwe vichwa milembe!!
Huyu mama na ccm,Alimfunga Mbowe kwa kesi ya ugaidi,akafuta kesi,akamkalibisha Ikulu,akampa pole,then wale walishiriki kutengeneza ushqidi wa mchongo,wamepewa vyeo.Aliyekuwa anqshiriki kubambikia watu kesi,leo hii ndio mpelelezi mkuu!!
There must be something wrong in her HE madame prezoo,if not she is evil,and she doenot respect the wananchi,all members of establishment they don't care how we feel,they will just brutalize us,as long as we allow them,njia pekee na lugha wanayoielewa Hawa ni mapinduzi tu,shaba kwenda mbele