mbutamaseko
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 743
- 1,071
Wanajua Hamna la kuwafanya zaidi ya kulia lia. Wao posho tu walipandishiana na kutaja viwango hadharani. Acha wawanyooshe. Wafanyakazi hawajielewagi utadhani vyeti walinunua. Au wengi ni mabashite ndio maana hawana maamuzi ya maana ?Hamjamboni nyote?
Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni.
Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
View attachment 2300672
View attachment 2300511
sawa tunamsubiri bro atowe tamko la serikali.Hamjamboni nyote?
Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni.
Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
View attachment 2300672
View attachment 2300511
Mkuu kwani kuna mtu kakulazimisha kufanya hiyo kazi? Ukiona haikulipi achana nayo, tafuta itakayokulipa , msitake kusumbua watu vichwa , kumbe magufuli alikua sawa kabisa.Wakuu umofia kwema!
Baada ya Jana kupigwa na kitu kizito, serikali nayo imetoa tamko linaloashilia kuwepo kwa Ahadi mbele yake, chama cha wafanyakazi nao wanaonekana kukusudia kukaa mezani kufanya michongo na serikali.
Hakuna madaraja, hakuna madaraja mserereko hakuna kupanda kwa mshahara.
Woga sio jadi yetu! Ongezeko la mishahara ni haki yetu. Turudi kwenye haki ya kikatiba ya mgomo na maandamano makubwa. Hatuna sababu ya kufundisha, kutibu watu ama kusukuma mitambo kwa mishahara ya kinyonyaji.
Alisema mwalimu nyerere "wafanyakazi muungane, hakuna cha kupoteza isipokuwa minyororo yenu"
Ongezeko la Asilimia 100 ni lazima, tuliyotayari kwenda Kula tausi tujuane. Nitaongoza msafara
Mimi binafsi nimeongezewa 3.58%Mlisikis vibaya alisema 2.3% na sio 23% kwa akili tu ya kawaida kwa uchumi upi wa kuongeza hii 23
23% ilikua ni kwa wafanya kazi wa kima cha chini cha mshahara sio kwa wote , Nchi haina pesa hizo jamani , muwe wazalendoMlisikis vibaya alisema 2.3% na sio 23% kwa akili tu ya kawaida kwa uchumi upi wa kuongeza hii 23
Mama anahujumiwa na sukuma gang.Nani anampotosha Mama!!??
Haijalishi unamchukukia kiasi gani , she is your president, Hadi mwaka 2030,jiandae kisaikolojia.
Na nyie wafanyakazi wa umma,nyenye nyee zimekuwa nyingi,mnadanganywa kama watoto,pesa za nyongeza zitatoka wapi?kwani mapato yameongezeka?,je Kuna matumizi yamefutwa?uchumi umekuwa?Mara ngapi afedheheke kinachomkera wameongeza posho wao wakubwa huku chini maumivu ubinafsi wa Hali yajuu aa Hawa viongozi, waogope jamani, tozo Kila Kona, gharama za maisha zimepanda. Kwani si angekaa tu kimya kuliko Nye Nye Nye nyingi afu unakuta 12600 upuuzi mtupuu!!
Nimemchukia huyu maza na vibaraka wake!!
Tunawaomba watumishi wawe na utu pamoja na utulivu kwa hiki kipindi ambacho mama anafungua nchi.Itakuwa tangazo lilikosewa.
Ni kosa la hao watendaji wa huko Ikulu, na Mwigulu hakutoa maelezo, ni ngumu mshahara kupanda kwa zile % za Mheshimiwa.
Mgomo na maandamano ndio itakuongezea mshahara? IdiotWakuu umofia kwema!
Baada ya Jana kupigwa na kitu kizito, serikali nayo imetoa tamko linaloashilia kuwepo kwa Ahadi mbele yake, chama cha wafanyakazi nao wanaonekana kukusudia kukaa mezani kufanya michongo na serikali.
Hakuna madaraja, hakuna madaraja mserereko hakuna kupanda kwa mshahara.
Woga sio jadi yetu! Ongezeko la mishahara ni haki yetu. Turudi kwenye haki ya kikatiba ya mgomo na maandamano makubwa. Hatuna sababu ya kufundisha, kutibu watu ama kusukuma mitambo kwa mishahara ya kinyonyaji.
Alisema mwalimu nyerere "wafanyakazi muungane, hakuna cha kupoteza isipokuwa minyororo yenu"
Ongezeko la Asilimia 100 ni lazima, tuliyotayari kwenda Kula tausi tujuane. Nitaongoza msafara
Sasa mbona hapo hata huyo wa 8 ana 13% tu, 23% amepewa nani?23% ilikua ni kwa wafanya kazi wa kima cha chini cha mshahara sio kwa wote , Nchi haina pesa hizo jamani , muwe wazalendoView attachment 2300796