Hayo ni Majibu mepesi kwenye maswali magumu,usijitoe ufahamu mkuu, jiulize pesa ya kuongeza kwenye vikao wanazolipana zinatoka wapi na Kwa Nini hawa watumishi wengine wanyongwe,
 
...Hakuna Jipya! Hakuna ufafanuzi Wowote utakaotosha kutuambia Kwa Nini tumepata nyongeza ya Alfu Ishirini ?
Iwe angalau nyongeza ya Hamsini Alfu ndio muite Wafanyakazi mezani muongee, Sio mlete bla bla za vita vya Urusi!!!
 
...Sio lazima awe Mpaka 2030! Hata yule wa Sri Lanka alidhani hivyo hivyo, Yuko Wapi' Sasa? 2030 ni mbali, lolote linaweza kutokea Watu wakichoka...!!
 
Wao kuongezewa posho wanastahiki hao huko juu!
Acha baasi jusifu na kuabudu
 
...Wewe ni Mtanzania??...
 
Hata Magufuli tuliambiwa ni Rais mpaka mwaka 2035. Lakini kilichompata. Duhh.

Tatizo lenu nyie chawa huwa hamuelewi serikali zinavyoendeshwa kisayansi.

Mradi tu ukishapewa ubwabwa na vijisenti unapagawa.

Aiseee! Hmmm!
...Wanapagawa na kutoa maneno ya Shombo na kutukejeli! Kuli alisema... Yana Mwisho Haya....
 
...
Ukianza vibaya Kwa kutukejeli sisi Wafanyakazi, lakini Umemaliza Vizuri Sana....Sasa ni Sri Lanka TU....!
 
Itakuwa tangazo lilikosewa.

Ni kosa la hao watendaji wa huko Ikulu, na Mwigulu hakutoa maelezo, ni ngumu mshahara kupanda kwa zile % za Mheshimiwa.
....JK aliwezaje kuwapandisha Wafanyakazi Wote Mishahara Kwa Alfu Hamsini???....
 
....Sasa inapaswa Sri Lanka TU, ndio tutaheshimiana!......
 
Serikali iliahidi ongezeko la mshahara wa kima cha chini kwa 23%. Kama kuna mfanyakazi alikuwa anapokea mshahara huo wa kima cha chini na nyongeza yake haikufika 23% huyo ndie wa kulalamika.

Wengine wote wanaolalamika, kauli ya kocha wa zamani wa Uto (Luc Eymael) kuhusu kubwabwaja na kupiga makelele inawahusu.
 
Hili ndo jinga lingine number 1.... mmeongeza elfu 13, hata sio elfu 20....,Too shameful to WHOEVER TALKED THE 23% STARTING WIT THE TOP MOST....

Unakaa kabisa unadanganya watu wazima....

RIP JPM, tumeshakukumbuka.
Hivi alisema anaongeza mishahara yote kwa 23% au ni kwa kima cha chini pekee? Maana labda tulaumu kuongezea vitu visivyoeleweka ila sio kulaumu hiyo 23% maana it was clear ni kwa kima cha chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…