Kabinti ka ludilo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 409
- 468
Oya ukimpata aliyeongezewa 65,000 niite mbwa nimekaa pale hata 55000 hakuna23% ilikua ni kwa wafanya kazi wa kima cha chini cha mshahara sio kwa wote , Nchi haina pesa hizo jamani , muwe wazalendoView attachment 2300796
🤣🤣🤣🤣Itakuwa waziri wa fedha.
Mwigulu Nchemba
Wadau mko tayari kwenda kula tausi[emoji23][emoji23]Wakuu umofia kwema!
Baada ya Jana kupigwa na kitu kizito, serikali nayo imetoa tamko linaloashilia kuwepo kwa Ahadi mbele yake, chama cha wafanyakazi nao wanaonekana kukusudia kukaa mezani kufanya michongo na serikali.
Hakuna madaraja, hakuna madaraja mserereko hakuna kupanda kwa mshahara.
Woga sio jadi yetu! Ongezeko la mishahara ni haki yetu. Turudi kwenye haki ya kikatiba ya mgomo na maandamano makubwa. Hatuna sababu ya kufundisha, kutibu watu ama kusukuma mitambo kwa mishahara ya kinyonyaji.
Alisema mwalimu nyerere "wafanyakazi muungane, hakuna cha kupoteza isipokuwa minyororo yenu"
Ongezeko la Asilimia 100 ni lazima, tuliyotayari kwenda Kula tausi tujuane. Nitaongoza msafara
uko sahihi kwa 100%TATIZO la mama anataka amfurahishe kila mtu, kikundi, chama. Mwisho wa siku mambo yana kuwa kama hayo. Awe mkweli tu, kama kitu hakiwezekani aseme wazi wazi.
[emoji28][emoji28][emoji28]Watu mnajua kudeka, eti mama[emoji28]
Mwenyewe kasema anaitwa Chui jike aka Hangaya.
Nyie bado mnalia mama, mama...haya kanyonye basi!
Kiongozi hata kwa hiko kima cha chini, kwa ongezeko hilo ni uongo uliotukuka,tuseme kima cha chini ni 300,000/=,23.3% yake ni 69,900/=,haya hata ukitoa makato ndio ibakie elf20 kweli'l,yaani kiufupi hesabu ya ongezeko haiwezi kuwa hiyo iliyoongezeka,ni wamedanganywaKwanza hata bila serikali kutoa ufafanuzi inaeleweka kuwa 23.3% ni nyongeza ya mtu anayelipwa kima cha chini kabisa cha mshahara na wala si nyongeza ya asilimia hiyo kwa wote! Mbona ingekuwa hivyo serikali ingefilisika mwezi mmoja tu! Pili, bajeti ilishapitishwa, hivyo hakuna litakalobadilika zaidi ya haya niliyoandika hapa! Labda subirini nyongeza ya miaka inayofuata lakini siyo mwaka huu wa fedha!
Nipo mstari wa mbele pamoja na weweWakuu umofia kwema!
Baada ya Jana kupigwa na kitu kizito, serikali nayo imetoa tamko linaloashilia kuwepo kwa Ahadi mbele yake, chama cha wafanyakazi nao wanaonekana kukusudia kukaa mezani kufanya michongo na serikali.
Hakuna madaraja, hakuna madaraja mserereko hakuna kupanda kwa mshahara.
Woga sio jadi yetu! Ongezeko la mishahara ni haki yetu. Turudi kwenye haki ya kikatiba ya mgomo na maandamano makubwa. Hatuna sababu ya kufundisha, kutibu watu ama kusukuma mitambo kwa mishahara ya kinyonyaji.
Alisema mwalimu nyerere "wafanyakazi muungane, hakuna cha kupoteza isipokuwa minyororo yenu"
Ongezeko la Asilimia 100 ni lazima, tuliyotayari kwenda Kula tausi tujuane. Nitaongoza msafara
Utumishi wa huyo anayedai nyongeza unahitajika au hapana... Kama unahitajika anahaki ya kudai kulingana na mkataba wake wa ajira. Mshahara sio favour ni haki ya mtumishi, nyongeza sio favour ni haki ya mtumishi... Watu waelewe hilo.!!!Haijalishi unamchukukia kiasi gani , she is your president, Hadi mwaka 2030,jiandae kisaikolojia,
By the way mtu hawezi ishi na kuwa na Maisha Bora kwa kutegemea vitu vya kupesa, mshahara ni sawa na kitu Cha kupewa, hivyo hata ukilipwa milioni Saba bado utalalamika.
Kwa kilichoweka kinatosha, tusubiri mwaka kesho Mungu akipenda.
Hata yule waliyesema watamlazimisha kumwongezea muda nae yupo wapi.... Hawajifunzi????...Sio lazima awe Mpaka 2030! Hata yule wa Sri Lanka alidhani hivyo hivyo, Yuko Wapi' Sasa? 2030 ni mbali, lolote linaweza kutokea Watu wakichoka...!!
Tafuta nyaraka za mishahara za wakati wake utaona.... Mishahara ilipaaaa enzi za kikwete... Tafuta utaona mwenyewe uhalisia...!!....JK aliwezaje kuwapandisha Wafanyakazi Wote Mishahara Kwa Alfu Hamsini???....
Kama huko juu hujafika.... Kaagize suti ukuu wa wilaya unanukia...!!Serikali iliahidi ongezeko la mshahara wa kima cha chini kwa 23%. Kama kuna mfanyakazi alikuwa anapokea mshahara huo wa kima cha chini na nyongeza yake haikufika 23% huyo ndie wa kulalamika.
Wengine wote wanaolalamika, kauli ya kocha wa zamani wa Uto (Luc Eymael) kuhusu kubwabwaja na kupiga makelele inawahusu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]wamekosa nini wajukuu zake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]Mi nimemchukia hadi na wajukuu zake mfyuuuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]na mi mmekutana nae Mmoja hivi mitusi mizito anatoa[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nimekutana na askari polisi analalamika huyo balaaa
Shida anataka apendwe na Kila mtu Kama keki ,which is not possibleNamwonea huruma huyu mama,hakika uongoz ni kaz ngumu sana
Matter call wewe[emoji2] Abeg.
Acheni kazi
Sasa hata wa kima cha chini hajaongezewa that %...ni ndogo kabisa ya hiyoHivi alisema anaongeza mishahara yote kwa 23% au ni kwa kima cha chini pekee? Maana labda tulaumu kuongezea vitu visivyoeleweka ila sio kulaumu hiyo 23% maana it was clear ni kwa kima cha chini.