Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

Corona imeshaingia kwenye zaidi ya nchi 40 kwa sasa, kuwazuia wachina sio suluhu tena, ni kujiandaa tu kwa case yoyote itakayokuja iwe contained mapema kabla ya kusambaa, hiyo ndio suluhu kubwa kwa sasa. Hata hao mabeberu zenu wamarekana tayari wana wamepata jana case ambayo wameshindwa ku relate ameipatia wapi.
 
Ndio maana Mkuu your being advised umrejee Muumba wako ili uwe na hakika wa maisha ya sasa na baadae..!

As long as haupo in power and in control don't expect the world to work on your favor kila wakati. Sometime power and control is not a guarantee.

We need God more than the world to be safe, and this has nothing to do na jinsi gani uko na akili.

Tumepewa akili kuzitumia lakn tusizitegemee. Mfano ni hapa akili zako zinakuambia kuna kitu ni sahihi kifanyike ili tuwe safe dhidi ya corona lakn hazina msaada na utaishia kulalama tu.

Akili zina limit Mkuu.
 
Hii italigharimu taifa zaidi. Hii inaweza ikawa sababu ya kuongeza zaidi huo umasikini. Ni nani mwenye pesa yake atataka kukanyaga Tanzani kwa sasa akijua kama hatuchuji watu kutoka kwenye nchi za haya maradhi?
Saudi Arabia wamesitisha mpaka watu kwenda kufanya ibada ya Hijja na umra kwa sasa until further notice! Yaani hapa ndio unaona uzito wa hili jambo! Sisi Tz na umasikini huu kweli gonjwa hili likiingia si tutakufa kama kuku wa magwa!
 
Yale madege meko aliyonunua si ndio muda wa kupiga hela sasa mkuu atazuiaje mchina asiingie wakati anampa hela?Hiyo corona yeye hana habari nayo atakuambia hapa kazi tu!
 

Hebu kaa utafakari tena majibu yako! Hata ukiwa na Mungu haupaswi kumjaribu. Umepewa maarifa uyatumie. Narudia, tafakari maana ulichoandika kitasomwa na wengi.
 
Mkuu hizo sio gharama za umasikini, bali ujamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ndivyo, ukiugua usitibiwe,subiri kifo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumewazuia wanafunzi wetu waliopo China waje, ila wachina wameruhusiwa dah...
Inauma sana mkuu. Kwa vile wewe umejificha huko canada unaona watanzania wakifa ni sawa tu,halafu unaongea habari za Mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una akili za watu wa 1930s huwezi judge kutumia uwezo wa mtu afu unavoita mazuzu walioishia 7 ndio unajionesha unatatizo msomi huwezi jibu matusi au kutukana watu ovyo io elimu yako itakuwa sawa na mwakyembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Bibi umezidi kuendekeza udini Hadi unasababisha tumuone Allah na mudi wake kama hawajielewi.

Huyo Allah ameshindwa kuwatetea mahujaji wake huko Saudi Arabia na Iran ataweza kututetea sisi Manyani, Watumwa ambao hatuna uarabu Kama watoto wake wapendwa waarabu!?

Allah kweli au Allah za roho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi mkuu tunaomba upambane hao watalii wa kutoka Wuhan wasifike kwetu Chato
 
So kwa umasikini wetu waendelee kuja tu Mkuu Pascal?
Hapana hili ni janga la kujitakia, hatuwezi kuruhusu hiyo hali ikatokea. If it happens the government will be in great blame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepatwa na nini mkuu Pascal Mayalla ? Mana huu mwandiko ni balaa. Anyway ujumbe umefika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi mkuu tunaomba upambane hao watalii wa kutoka Wuhan wasifike kwetu Chato
No kwa vile mimi ni mtetezi wa uwanja wa ndege wa Chato, nashauri watalii wa kutoka Wuhan waanzie Buigiri, ili uwanja wetu ule uwe busy kidogo kimataifa,

P
 
Hiki ni kiingereza cha sheria nahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nchi fulani ya Afrika mashariki ikigundua uwepo wa corona itaficha, wala haitatangaza![emoji12][emoji12][emoji12]
 
Kuna nchi fulani ya Afrika mashariki ikigundua uwepo wa corona itaficha, wala haitatangaza![emoji12][emoji12][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…