Yani hapa nina hasira nahisi kupasuka kwann wamefanya uzembe kiasi hiki? taifa masikini linaangamia hiliBahati mbaya sana umemuonea Ummy mwalimu kwa kosa ambalo sio lake yeye kama yeye hana mamlaka ya kufunga viwanja vya ndege huyo uliyemsifia kwa kuchukua uamuzi yeye na mwenzake (nadhani unamfahamu) ummy yeye ni mtu wa kutoa ushauri tu wenye maamuzi wapo ndio wa kulaumiwa
Uwezo wangu wa kuwajibisha ni huyu waziri. Kwa sababu ilikuwaje mashine au watu aliowaweka Airport KIA hawakuweza kumtambua mkonjwa? Wsngapi wamepita bila kugundulika? Na hao wazungu wa leo waliogundulika wamepita wapi? Maafisa wa afya walikuwa wapi?Bahati mbaya sana umemuonea Ummy mwalimu kwa kosa ambalo sio lake yeye kama yeye hana mamlaka ya kufunga viwanja vya ndege huyo uliyemsifia kwa kuchukua uamuzi yeye na mwenzake (nadhani unamfahamu) ummy yeye ni mtu wa kutoa ushauri tu wenye maamuzi wapo ndio wa kulaumiwa
Ndio hapa tunapopima akili kubwa na akili ndogo.Hivi kwanini wapinzani hamuendi WHO kuomba tunyimwe vipimo vya korona kama mlivyofanya kwa fedha za world bank.
Apishe watu wengine. Na jukumu la kudhibiti corona airport la waziri mkuu au la Ikulu.Hujui usemalo, mwenye mamlaka ya kufynga mipaka ni rais peke yake, Ummy ana kazi yake ya kupambana na gonjwa na kutoa elimu.
Unafikiri kwani Majakiwa amefunga shule na si Ymmy?
Kila mamlaka ina mipaka.
Ummy hatatumbuliwa kwa hili labda patokee uzembe katkika kudhibiti humu ndani au namna wanavyo handle wagonjwa na sio Ishu ya mipaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna jambo dogo inapokuja swala la maslahi ya Taifa, ni wakati sasa wapinzani mkajifunza kufanya siasa za kistaarabu na sio kupenda kutafuta sifa kwa mambo yasiyokuwa na tija.
Lakini kumbuka kuna watu wanatoka ktk nchi ambazo hazijagundua uwepo wa coronaV lakini wananchi wake tayari wameambukizwa na wakija Tz wanatuletea! Kama ni kufunga ilitakiwa siku ya kwanza tu china walipogundua uwepo wa corona, na tena ni mipika yote bila kujali chochote. sasa kama nchi, tunaweza kweli kujipiga pin wenyewe kiasi hicho kwa muda mrefu! Hamtaanza tena kulalama na kumtukana Magufuli?Katika mambo ambayo siamini ni pale mtu anaposhindwa kuiga mambo mazuri. Uganda wamefunga na kuzuia wageni kuingia nchini mwao, kenya wamezuia na mpaka nusura itokee mgogoro baada ya kugundua wagonjwa wanatoka ulaya na marekani. Sasa dada yangu Ummy kama waziri upo kama pazia. Leo hii tuna wagonjwa watatu wotete wamepitia viwanja vya ndege. Hivi mnawafanya watanzania wajinga na wasio na akili?
Hata hivyo nakupongeza waziri Mkuu naona kama umechukua majukumu kushughulika na ugonjwa huu. Tafadhali funga mipaka na funga viwanja vya ndege hasa kwa nchi zilizo na shida kubwa hasa Ulaya. Asia na Marekani.
Ebu fikirini tunawaelekeza kama hawajui kazi yao.
Mtatuelewa mamii wakianza kufariki, ndipo hapo tukapoPima udhabiti wa uwezo wa serikali yetu kupambana na majanga.
Waziri wa Afya Atumbuliwe please.
Yule ummy mwalimu sijui kwanini bado Yuko kwenye hio nafasi Hadi leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe unaweza ukaendaHivi kwanini wapinzani hamuendi WHO kuomba tunyimwe vipimo vya korona kama mlivyofanya kwa fedha za world bank.
Nawakumbusha wahusika wajibu wao, wanafahamu ila wanajifanya kusahau, kwa bahati mbaya sisi hatusahau tunakumbuka matendo yao ya kifedhuli. Wasijifanye kutupenda sasa.Hata wewe unaweza ukaenda
Katika mambo ambayo siamini ni pale mtu anaposhindwa kuiga mambo mazuri. Uganda wamefunga na kuzuia wageni kuingia nchini mwao, kenya wamezuia na mpaka nusura itokee mgogoro baada ya kugundua wagonjwa wanatoka ulaya na marekani. Sasa dada yangu Ummy kama waziri upo kama pazia. Leo hii tuna wagonjwa watatu wotete wamepitia viwanja vya ndege. Hivi mnawafanya watanzania wajinga na wasio na akili?
Hata hivyo nakupongeza Waziri Mkuu. Naona kama umechukua majukumu kushughulika na ugonjwa huu. Tafadhali funga mipaka na funga viwanja vya ndege hasa kwa nchi zilizo na shida kubwa hasa Ulaya, Asia na Marekani.
Ebu fikirini tunawaelekeza kama hawajui kazi yao.
Mtatuelewa mamii wakianza kufariki, ndipo hapo tukapopima uthabiti wa uwezo wa serikali yetu kupambana na majanga.
Waziri wa Afya atumbuliwe please.