Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mangula.Mtanzania gani aliyeugua bwashee?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mangula.Mtanzania gani aliyeugua bwashee?!
Nilidhani mrs Tumbiri!Mangula.
Kwani mke wa kima mmemtegeshea sumu kama mlivyomtegea Mangula?Nilidhani mrs Tumbiri!
Ni virungu tu vya Segerea.......kama Corona na Chloroquine!kwan mke wa kima mmemtegeshea sumu kama mlivyomtegea Mangula?
Oh ndiyo mtapambana na corona kama mnavyopambana na wapinzani sio?Ni virungu tu vya Segerea.......kama Corona na Chloroquine!
Kwani Chadema mna jeshi?oh ndiyo mtapambana na corona kama mnavyopambana na wapinzani sio?
Mnadhibiti upinzani kama mnavyodhibiti Corona?Kwani Chadema mna jeshi?
Upinzani unadhibitiwa tu ili usifurukute!
Kama kinavyodhibitiwa kipindupindu!mnadhibiti upinzani kama mnavyodhibiti Corona?
Safi sana, hakika CCM mmekua na kukomaa kisiasa chini ya Comrade Chakubanga.Kama kinavyodhibitiwa kipindupindu!
Hatujafunga mipaka, Polepole anasema tukifunga mipaka na kudhibiti watalii nchi itapata marhara makubwa sana.
Kwake yeye Bora Watanzania waugue ila watalii wazidi kuingia, kwake utalii ni Bora kuliko Watanzania. Huyu Ni kiongozi wa chama na msomi anazungumza haya adharani na Hakuna anayetoka serikalini kumpinga wala kukemea. Nchi nyingi zinafunga mipaka yake ila sisi tunafungua kusubiri watalii?
Tanzania ya vitu itateketeza watu, Bora uwe hai ukiwa maskini kuliko kufa kwa uzembe ukiwa tajiri. Polepole unapotumia Kodi za wananchi kuwaangamiza unawakosea.
Hakika kufikia October bara itakuwa kijani kama visiwani!safi sana, hakika CCM mmekua na kukomaa kisiasa chini ya Comrade Chakubanga.
Wabongo mmezidi unafki kama maccmHatujafunga mipaka, Polepole anasema tukifunga mipaka na kudhibiti watalii nchi itapata marhara makubwa sana.
Kwake yeye Bora Watanzania waugue ila watalii wazidi kuingia, kwake utalii ni Bora kuliko Watanzania. Huyu Ni kiongozi wa chama na msomi anazungumza haya adharani na Hakuna anayetoka serikalini kumpinga wala kukemea. Nchi nyingi zinafunga mipaka yake ila sisi tunafungua kusubiri watalii?
Tanzania ya vitu itateketeza watu, Bora uwe hai ukiwa maskini kuliko kufa kwa uzembe ukiwa tajiri. Polepole unapotumia Kodi za wananchi kuwaangamiza unawakosea.
yes kijani na nyekundu.Hakika kufikia October bara itakuwa kijani kama visiwani!
Kwenye joto haishiki kasi bwashee!Corona huanza mdogomdogo,ila ikishika kasi,kishindo chake huwa sio cha mchezo.